Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

Mm nasubiri WAMEKUFA WANGAPI ..??? mbona sisikii wameshoot wangapi au wanaigizaaa tu...!!!
 
eti eeeenh,ila sheria haigusiiii mafisad?????huna la kuchangia nyamaza,,,,,,
si kazi yangu kujibu hisia zako lakini kama uandhani una haki ya kuleta vurugu nawe njoo huku ili uone kila mmoja anavyowajibika kutimiza wajibu wake.Karibu na kama pia upo hapa kariakoo njoo uone mkuu hao mafisadi udeal nao 2015 nami nitakusaidia kukulinda ili upige kura pasi na hofu.Mafisadi wanaondolewa kwa kura na si kama vurugu hizi..!
 
acha kunikumbusha mbali hivyo mamito na ijumaa yote hii... na tarehe bado za kati kati taaaabu kweli kweli...
hizi vuruguza maruhan bila kutumia kaudikteta mambo hayatakwenda..... mwache m.k.w.e.re aendelee kutalii tu akirudi anakuta hamna pa kupita
umeona eee papito!! akiwa na stedi shoo wake elly longomba! zilikuwa enzi za burudani!
 
Mkuu nipo kkoo hakuba vurugu kiasi hicho. Pana magari 4 yamejaa wanajeshi yanapiga msele
 
Chanzo fake mimi nimetoka Kariakoo sasa hivi jamaa wamepigwa mabomu mpaka ndani ya
msikiti wao na wametawanyika ila baada ya muda wanajikusanya na kuanzisha vurugu,
Lakini wanadhibitiwa vilivyo.
 
Hata kama Amiri Jeshi Mkuu yuko nje, wasaidizi wake wanafanya kazi maana lengo ni kuepusha uvunjifu wa amani na umoja wa kitaifa.
 
Back
Top Bottom