si kazi yangu kujibu hisia zako lakini kama uandhani una haki ya kuleta vurugu nawe njoo huku ili uone kila mmoja anavyowajibika kutimiza wajibu wake.Karibu na kama pia upo hapa kariakoo njoo uone mkuu hao mafisadi udeal nao 2015 nami nitakusaidia kukulinda ili upige kura pasi na hofu.Mafisadi wanaondolewa kwa kura na si kama vurugu hizi..!eti eeeenh,ila sheria haigusiiii mafisad?????huna la kuchangia nyamaza,,,,,,
umeona eee papito!! akiwa na stedi shoo wake elly longomba! zilikuwa enzi za burudani!acha kunikumbusha mbali hivyo mamito na ijumaa yote hii... na tarehe bado za kati kati taaaabu kweli kweli...
hizi vuruguza maruhan bila kutumia kaudikteta mambo hayatakwenda..... mwache m.k.w.e.re aendelee kutalii tu akirudi anakuta hamna pa kupita
yule ntu anafanya kazi kwa rimote control, mi hata sishangai.Hiyo amri wameipata wapi wakati amiri jeshi hayupo, au ametuma kwa email na simu...
Nchi imeishachafuka sasa sio kutembea kijinga lazima utembee na kitendea kazi kiuononi kwa ajili ya kujilinda.