kuridhia sio kuvunjwa kwa baraza la mawaziri, mimi siamini, nitakuwa thomaso, mpaka niweke kidole changu kwenye hayo makovu nndio nitaamini, yaani itangazwe na vyombo husika, avunje baraza la mawaziri walimshikia bunduki? au limejivunja lenyewe?
JK ni msikivu siku zote
100% Nape amesikika katika Clouds fm kuwa CC imeridhia ripoti ya CAG
Kwamujibu wa chanzo changu cha kuaminikika toka kikaokiku cha mkutano wa cc ya ccm, kinapasha kuwa baraza lote la mawaziri limevunjwa!
Nimejiridhisha na habari hii,asilimia 99%