Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
741
479
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui - Zanzibar tarehe 22 Novemba, 2023.
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui - Zanzibar tarehe 22 Novemba, 2023.View attachment 2821856
CCM Iliahidi, CCM Inatekeleza, Maendeleo yanaonekana kwa uwazi, kazi bado inaedelea vizuri sana....

Kidumu Chama Cha Mapinduzi...
 
Back
Top Bottom