Kamati Kuu ya CCM Yaridhia Kikwete kusuka upya Baraza lake la Mawaziri

kuridhia sio kuvunjwa kwa baraza la mawaziri, mimi siamini, nitakuwa thomaso, mpaka niweke kidole changu kwenye hayo makovu nndio nitaamini, yaani itangazwe na vyombo husika, avunje baraza la mawaziri walimshikia bunduki? au limejivunja lenyewe?
 
100% Nape amesikika katika Clouds fm kuwa CC imeridhia ripoti ya CAG

Repoti ya CAG imeelezea uozo uliopo serikalini, lakini haijasema waziri gani ajiuzuru. Sasa huko kuridhia kwa cc ya nape, itakuwa wameridhia motion ya bunge...
 
Wakuu hii ishu ni ukweli nimeipata pia kupitia kwa kiongozi mmojawao.
 
kamati kuu ya halmashauri kuu ya ccm imeridhia
uamuzi wa rais Jakaya Kikwete kuunda upya baraza lake la mawaziri.- ITV
 
Kwamujibu wa chanzo changu cha kuaminikika toka kikaokiku cha mkutano wa cc ya ccm, kinapasha kuwa baraza lote la mawaziri limevunjwa!

Nimejiridhisha na habari hii,asilimia 99%

Mkuu acha upotoshaji nape ameongea na waandishi wameagiza mawaziri wenye tuhuuma wawajibiswe na uteuzi wa wakuu wa mikoa5 mpya wameteuliwa
 
Kwangu mimi naona kama haitoshi maana hawa magamba hawaaminiki,na jibu hilo la kusema eti imearidhia,serikali imesikia,serikali inashughulikia kwangu nimeshayazoea ninachosubiri ni kusikia akitangaza baraza jipya japo sitegemei kama kutakuwa na changes kwani wote hawa wanatoka katika kizazi cha magamba yaliyokubuhu kwa ufisadi.
Naendelea kusubiri
 
Sasa baada ya kulivunja, wote wenye tuhuma za wizi watachukuliwa hatua gani? Au ndo wakale walichotuibia?
 
Raisi anapokea maazimio ya Bunge la Jamhuri ya Tanzania au ya wabunge wa CCM?
 
habar hizi sio zle zle za kina ijumaa na uwazi? ngoja nibak kuwa tomaso until proved
 
Baada ya kuwapangua tunaomba wenye mapungufu washughulikiwe maana Tanzania siyo shamba la bibi yao.
 
JK bwana so lengo lake avunje baraza kwa mujibu wa CC while wenye akili tunajua kitu kimetoka bungeni na Muasisi wake ni Zitto na Supporting ni zile kamati CAG pia
 
Sio wapunguane bila kuwawajibisha wahusika halafu waseme 'Rais apangua baraza la mawaziri tuuuuuuuuuu' Mkulu wajibisha wahusika fungulia mashtaka taifa mali ndio tutakuelewa. Angalizo punguza baraza lako ondoa cheo cha naibu ubakiwe na permanent secretary.....punguzo la gharama kwa walipa kodi.
 
Back
Top Bottom