Kamati Kuu ya CCM Yaridhia Kikwete kusuka upya Baraza lake la Mawaziri

Hatutaki kuishia kulivunja hilo baraza halafu wezi hao wanaachiwa kupeta, wanasheria na wapenda haki wote, fungueni mashitaka mbali mbali kutegemea na ubadhirifu ulioonyeshwa na report ya CAG, hili litakuwa fundisho kwa watendaji wazemebe na wezi wa mali ya umma.
 
Subiri mahesabu ya CDM yakianikwa!!
You won't like it.
Kobello, kwani ufujaji ni suala la CCM VS CHADEMA? Unataka kusema kama CHADEMA wamefuja bilioni tatu basi ni halali CCM kufuja kodi kiwango hicho zaidi au pungufu! Dear Bro! Taarifa ya CAG si ufujaji wa CCM, ni ufujaji wa serikali ya CCM inayoongozwa na JK. Ni Ufujaji wa kodi siyo pesa za chama au ruzuku!

Hivi Watanzania lini tutaacha siasa za majitaka na kujikita katika kusaidia taifa kama Tanzania bila kujali itikadi za kisiasa.
 
Back
Top Bottom