Kamanda Kova asilaumiwe!

ukiwa na busara huwezi endelea fanya kazi za kuwaua ama kuwaumiza wengine, kova analaumiwa kwa sababu anjua anachofanya kuwa si sahihi sasa kwa busara ilimpasa kuachana na kazi hiyo maana inamjengea maadui na kumvunjia heshima kama vile pinda.
labda tukubaliane kuwa hana busara na njaa ndio inayomsumbua ndio maana anaendelea kufanya anayoyafanya.
maana kuchagua pesa kuliko utu ni uchache wa busara
ndio maana mfalme suleiman katika biblia hakumuomba mungu utajiri au hela au nguvu aliomba busara.
 
Hana alternative maana either you are with them or ........ wote mwafahamu yatakayomkuta.
 
Ndugu wanaJF, humu ndani kumejaa lawama na laana kwa kamanda wetu kipenzi, Kova. Najua uchungu uliopo mioyoni mwa watz wengi. Lakini tujiulize au tuvae viatu vya kamanda wetu;
- Je mwenyewe alipenda alicho kitangaza?
- Hakujua mwitikio wa watz utakuwaje?
- Je yeye ni mjinga?

Hakika majibu yetu sote ni HAPANA!

Kwa nini sasa?

ANA WAKATI MGUMU MAISHANI MWAKE KAMA KAMANDA!!! Tumtie moyo tu. Au mnadhani sikio linaweza kupita kichwa?
Kama ningekuwa mimi nisingetangaza..Mkuu wa upelelezi alokabidhiwa kazi hii ndiye angetangaza yeye maanake haingii akilini. Huwezi kukurupouka kutangaza muuaji kutokana na mtu kujitokeza huku majuu vichaa wengi hufanya hivyo kwa publicity tu. Ushahidi ulokusanywa hufananishwa na maelezo ya mtuhumiwa na kikubwa zaidi Dr. Ulimboka mwenyewe angemtambua mhusika hapo ndipo unaweza kutangaza.

Huyu mtu nayedaiwa kuwa jambazi maelezo yake yote yanfanana sana na yaliyoandikwa magazetini jambo mabalo hata miomi ningeweza kusema hivyo hivyo. Kama kweli huyu mtu ni jambazi kwa sifa ya Gangster, huyo Padre mbona hapewi ulinzi maana kavunja miiko ya Mapadre na upo uwezekano mkubwa kundi la majambazi wenzake kuja kumfanyizia. Mchungaji wetu jihadhari sana, maisha yako yako hatarini maana ili sinema hii ipate uzito wa kuaminika ni lazima udhuriwe vile vile.
 
Ndugu wanaJF, humu ndani kumejaa lawama na laana kwa kamanda wetu kipenzi, Kova. Najua uchungu uliopo mioyoni mwa watz wengi. Lakini tujiulize au tuvae viatu vya kamanda wetu;
- Je mwenyewe alipenda alicho kitangaza?
- Hakujua mwitikio wa watz utakuwaje?
- Je yeye ni mjinga?

Hakika majibu yetu sote ni HAPANA!

Kwa nini sasa?

ANA WAKATI MGUMU MAISHANI MWAKE KAMA KAMANDA!!! Tumtie moyo tu. Au mnadhani sikio linaweza kupita kichwa?

Hakika majibu yako ni HAPANA! Majibu yangu ni NDIYO, labda uniambie kama jeshi lina watu wanaotegemewa wako hivi basi ni ule udhaifu kutokana na kiongozi wa nchi kuwa dhaifu.
 
MASHAIBU YA DR ULIMBOKA MKONONI MWA DOLA SASA AFANDE SELE AUMBUKA VIBAYA MNO NA MUUAJI WA KUCHONGA 'MFANYABIASHRA WAO WAKUNUNUA KESI ZA JINAI ALIYEZURU NCHINI'

Wana-JF, mkistaajabu ya ACP Ahmed Msangi na simu pamoja na pochi ya 'marehemu' mfukoni mwake, sasa utayaona ya Afande Sele Mzee wa Visa vya Tunduma akiopoa 'Mtuhumiwa Brand New in Town kutoka nchi jirani kwa nembo ya 'Jambazi Sugu' ambaye kosa yake moja huko nyuma Mzee Kova hakujali kusema.

Mtu hata uvae uniform zote za nchi hii ili ndio uonekane polisi namba moja kama
AFANDE KIMARO wa Arusha miaka ile, lakini kama utakua na kiburi na jeuri kwa walalahoi wenye nchi na hata kuwaonyesha madharau juu ya maoni yao basi mwisho wa siku kwa mtaji huo wa ubaya ni aibu tupu!!!!!!!!!!!!

Hakika ni vema kila mmoja, akiwemo AFANDE SELE WA KANDA MAALUM DAR ES SALAAM, lazima aelewe kwamba kamwe Upolisi Murua wa mtu haitokaa ikamilike ipasavyo endapo mtu huyo ataonekana anazo CHEMBE CHEMBE ZA DHARAU NA JEURI kwa raia wenye nchi na badala yake kuonyesha utii wa kumlamba viatu MTUMISHI WETU NAMBA MOJA ndani ya nchi hii ambaye ni Rais Kikwete akidhania kwambaa eti huyo ndiye bosi.

Kwa kweli Baba huyu WaTanzania tulimkataza tangu mwanzo kwamba yeye Selemani Kova, Kaka Side pamoja na Chinja Chinja Ahmed Msangi HAWANA MORAL AUTHORITY kuchunguza kitu chochote hapa kuhusiana na Dr Ulimbomka lakini kwa jeuri yake ile ile ya kizamaaaaana sana alipokua kule Tunduma , sasa ona sasa!!!!!!!!!

Afande Kova sasa kaichafua serikali, aliokua akiamini kwamba anaifunika uzuri, kuliko hata hali ilivyokua hapo awali. Baba huyu kaibuka na UJUMBE WA MWAKA WA AROBAINE NA SABAAAAAAAAAAAA huku akitegemea kwamba HII HADHIRA YA DOTI KOMU YA LEO ITAMKOPA kitu hapo.

Kwa taarifa yake tuu ni kwamba tukipeleka taarifa yake hii kule 'Jamii Forum' ya nchi jirani yaani 'MASADA', taarifa zitakazopatikana pengine jopo zima iliokua ikifanya 'uchunguzi' italazimika tu kujiuzulu.

Chonde CCM, kaeni mkijua ya kwamba YOU CAN ALWAYS BE SUCCEEDING IN CHEATING PEOPLE SOME OF THE TIME BUT IT IS NEVER TRUE THA YOU SHALL ALWAYS WALK AWAY WITH IT IN CHEATING ALL OF TANZANIANS ALL OF THE TIME. Katika hili la Dr Ulimboka sasa ni dhahiri kwamba kila ujanja umegoma kufua dafu bora Afande Msangi akajisalimishe tu polisi watu tukaanzie hapo.

Kwa kuwa magazeti ya huko Kenya huwa si kama hizi zetu wahariri kubanwa koo na vyombo fulani ili wasiseme ukweli na ukweli mtupu, huyo CRIMINAL MERCHANT aliyejitolea kununua kesi kwa thamani ya mamilioni nchini akidaiwa kutokea Kenya mbona kila kitu kitaanikwa kweupe mezani!!!!!!!!!!!!!! Unacheza na kizazi cha doti komu!!!!!!!!!!!

Ndugu wanaJF, humu ndani kumejaa lawama na laana kwa kamanda wetu kipenzi, Kova. Najua uchungu uliopo mioyoni mwa watz wengi. Lakini tujiulize au tuvae viatu vya kamanda wetu;
- Je mwenyewe alipenda alicho kitangaza?
- Hakujua mwitikio wa watz utakuwaje?
- Je yeye ni mjinga?

Hakika majibu yetu sote ni HAPANA!

Kwa nini sasa?

ANA WAKATI MGUMU MAISHANI MWAKE KAMA KAMANDA!!! Tumtie moyo tu. Au mnadhani sikio linaweza kupita kichwa?
 
Ndugu wanaJF, humu ndani kumejaa lawama na laana kwa kamanda wetu kipenzi, Kova. Najua uchungu uliopo mioyoni mwa watz wengi. Lakini tujiulize au tuvae viatu vya kamanda wetu;
- Je mwenyewe alipenda alicho kitangaza?
- Hakujua mwitikio wa watz utakuwaje?
- Je yeye ni mjinga?

Hakika majibu yetu sote ni HAPANA!

Kwa nini sasa?

ANA WAKATI MGUMU MAISHANI MWAKE KAMA KAMANDA!!! Tumtie moyo tu. Au mnadhani sikio linaweza kupita kichwa?

Tumtie moyo kwa kuudanganya umma wa Watanzania!? We Vipi Mkuu?
 
Ndugu wanaJF, humu ndani kumejaa lawama na laana kwa kamanda wetu kipenzi, Kova. Najua uchungu uliopo mioyoni mwa watz wengi. Lakini tujiulize au tuvae viatu vya kamanda wetu;
- Je mwenyewe alipenda alicho kitangaza?
- Hakujua mwitikio wa watz utakuwaje?
- Je yeye ni mjinga?

Hakika majibu yetu sote ni HAPANA!

Kwa nini sasa?

ANA WAKATI MGUMU MAISHANI MWAKE KAMA KAMANDA!!! Tumtie moyo tu. Au mnadhani sikio linaweza kupita kichwa?

Ndio manake anakubali kutumiwa vibaya......angeweza tu kuwashauri hao waliomtuma kuwa jamani watanzania sio wajinga kiasi hicho hivyo nikitangaza huu uongo nitazidi kuiweka serikali pabaya.....akili za kuambiwa changanya na zako!
 
Kova kwa anayoyafanya bila kupima hawezi kukwepa kulaumiwa kwani watanzania wana hypothesis zao tofauti na anakotupeleka na asisahau kuwa Watanzania hawana imani na tume aliyounda ila yeye katumia ubabe, nafasi na mamlaka aliyonayo na hivyo matokeo yoyote yatakayopatikana ni yake na watawala na si ya raia au jamii ya watanzania. Kwani serikali na watawala ni watuhumiwa namba 1 kutokana na kauli zao na mazingira ambayo tatizo limetokea, kuelewa hilo haihitaji elimu ya juu. Tungesikia waliotuhumiwa kwa kauli zao na mazingira ya tukio ilivyotokea wamekuwa wa kwanza kukamatwa na kuhojiwa kidogo tungekuwa na imani na Jeshi la polisi lakini tunachoshuhudia wanamtafuta jambazi mbali na makazi yake. Kova lawama hakwepi.
 
Kila mtu ahahukumiwa au kulaumiwa kwa makosa yake!!

Makosa ya Kova kwangu mm ni haya:
a) Kudhani kuwa atai-handle issue nzima na KUFICHA ukweli bila kudhani walio nje wanaweza kuchambua ukweli na uongo!
b) Kukosa kujua "game of timing". Kwa kutoa taarifa zisizo kamili, ameacha maswali mengi kuliko majibu. Hakupaswa kutoa taarifa yoyote kwa sasa. Angesubiri hata Dr. Uli awe sehemu ya kukusanya taarifa ili aone gaps na kuzijaza kwa uongo wake!!

Hili ndilo jeshi ambalo tunapaswa kuliamini wakati tukijua madhaifu yake??? Unasimamaje kutoa taarifa kwamba "inasemekana kuna mtu wa serikali ambaye hata hivo afahamiki". Ameshindwa kutambua conspiracy theories za CHADEMA, Madaktari, Ndugu wa Wahanga wa mgomo na Serikali kuwa wanahusishwa kutegemea nani anaulizwa. Majibu yake yalipswa ku-address hizo conspiracies. Sasa amethibitisha nusu kuwa ni serikali.

Tunachosubiri sasa ni kupatiwa jina na utambulisho wa huyu afisa wa serikali ambaya jambazi sugu hajamfahamu. All others have been cleared of involvement in the Dr. Uli hollabaloo!!!
 
Kamanda Kova anastahili lawama zote kwa kuwa amekubali kuwa kibaraka wa viongozi wachache. Kuna mengi tu ambayo tuna uhakika kuwa anatumiwa na yeye ameridhika kwa kuwa na yeye ni mchumia tumbo tu. Kama angekuwa hapendi anachokifanya angeandika barua ya kujiuzuru uone kama anayetaka kumtumia hatorudi nyuma. Kova ni kiongozi goigoi ndia maana ameridhika kuwa kibaraka/kuwadi wa wengine. Kova hana usafi unaotaka tuuamini kuwa anao. Moron!!

Kova ana akili ndugu! Unafikiri hajui ya akina Kombe? Mwenzio anafunika kombe mwana haramu apite! Ungekuwa kwenye cheo chake ungesha kula shaba wewe!
 
Ni vyema kutomjadili huyu aliyetumwa na magamba.Huyu hana jipya zaidi ya kutetea ugali wake.Atakuja juta cdm tutakapochukua uongozi wa nchi hii kwa sababu wote waliohusika katika kuifanya nchi kuwa maskini na kudharaulika watawajibishwa ipasavyo

Hivi unadhani kuwa waliopo kwenye "System" wamelala? Wana mtandao hadi wa akina Mafia n.k. Usijidanganye kuwa kuchukua nchi mtawafanya chochote! Maana pesa wanazo, ulimwengu wanaujua vyema, mkianza KISASI mmekwisha! Ikitokea bahati hiyo ya kushika nchi, sana sana labda mseme "TUFUNGE UKURASA NA KUANZA UPYA". Kinyume cha hapo, NO WAY!
 
Ndugu wanaJF, humu ndani kumejaa lawama na laana kwa kamanda wetu kipenzi, Kova. Najua uchungu uliopo mioyoni mwa watz wengi. Lakini tujiulize au tuvae viatu vya kamanda wetu;
- Je mwenyewe alipenda alicho kitangaza?
- Hakujua mwitikio wa watz utakuwaje?
- Je yeye ni mjinga?

Hakika majibu yetu sote ni HAPANA!

Kwa nini sasa?

ANA WAKATI MGUMU MAISHANI MWAKE KAMA KAMANDA!!! Tumtie moyo tu. Au mnadhani sikio linaweza kupita kichwa?

Kwa hiyo unachojaribu kusema ni nini hasa? kwamba hatupaswi kuwa responsible na actions zetu. Think again.
 
Huyo nani, kajicho,sijui kovu ni sehemu ya mkakati huu, sio tu kwa sasa bali hata wakati wa kutekwa dr.Ulimboka,hawezi kujinasua,ni sehemu ya kikosi kazi, kwani hili la kwanza kwa kova!???
 
Kwa hiyo unachojaribu kusema ni nini hasa? kwamba hatupaswi kuwa responsible na actions zetu. Think again.

Ninachosema ni kuwa "Tuwe waangalifu na uchaguzi wetu maishani", ukichagua kuolewa kuzaa ni wajibu! Wala hautalaumiwa kwa kuzaa! The same applies to Kamanda.
 
Tatizo ugali kaka! Fani yake hii akijiuzulu labda akaajiriwe Security Companies, ambako mshahara ni kimo cha mbuzi, na yeye ameshazoea kimo cha twiga; huoni kuwa ni wakati mgumu?
mdau umeeleza short n klia,asante sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom