Kamanda Kova asilaumiwe!

Kama ningekuwa mimi nisingetangaza..Mkuu wa upelelezi alokabidhiwa kazi hii ndiye angetangaza yeye maanake haingii akilini. Huwezi kukurupouka kutangaza muuaji kutokana na mtu kujitokeza huku majuu vichaa wengi hufanya hivyo kwa publicity tu. Ushahidi ulokusanywa hufananishwa na maelezo ya mtuhumiwa na kikubwa zaidi Dr. Ulimboka mwenyewe angemtambua mhusika hapo ndipo unaweza kutangaza.

Huyu mtu nayedaiwa kuwa jambazi maelezo yake yote yanfanana sana na yaliyoandikwa magazetini jambo mabalo hata miomi ningeweza kusema hivyo hivyo. Kama kweli huyu mtu ni jambazi kwa sifa ya Gangster, huyo Padre mbona hapewi ulinzi maana kavunja miiko ya Mapadre na upo uwezekano mkubwa kundi la majambazi wenzake kuja kumfanyizia. Mchungaji wetu jihadhari sana, maisha yako yako hatarini maana ili sinema hii ipate uzito wa kuaminika ni lazima udhuriwe vile vile.

ni mchungaji wa kanisa la ufufuo mkuu na si padre kama ulivyoandika
 
Ni makosa kumtia kova moyo ili atudanganye si vyema hata kidogo, ni vyema aende nae akatubu msikitini kwa kuudanganya umma wa Watanzania hapana kova omba watanzania msamahaa
 
kaka kova anapenda sana sifa na kuonekana kwenye vyombo vya habari ndio maana akisikia kitu htafakari yeye ni kukurupuka tu

anatumiwa na hayuko huru kiufahamu
 
Ndugu wanaJF, humu ndani kumejaa lawama na laana kwa kamanda wetu kipenzi, Kova. Najua uchungu uliopo mioyoni mwa watz wengi. Lakini tujiulize au tuvae viatu vya kamanda wetu;
- Je mwenyewe alipenda alicho kitangaza?
- Hakujua mwitikio wa watz utakuwaje?
- Je yeye ni mjinga?

Hakika majibu yetu sote ni HAPANA!

Kwa nini sasa?

ANA WAKATI MGUMU MAISHANI MWAKE KAMA KAMANDA!!! Tumtie moyo tu. Au mnadhani sikio linaweza kupita kichwa?
Kama ni mkweli ndani ya moyo wake anangoja nini kujiuzulu? Unatushauri tumtie moyo iliaendelee kuidanganya nafsi yake! Hapana hiyo haiwezekani! alaaniwe yeye na mafisadi wanao mtumia.
 
Ndugu wanaJF, humu ndani kumejaa lawama na laana kwa kamanda wetu kipenzi, Kova. Najua uchungu uliopo mioyoni mwa watz wengi. Lakini tujiulize au tuvae viatu vya kamanda wetu;
- Je mwenyewe alipenda alicho kitangaza?
- Hakujua mwitikio wa watz utakuwaje?
- Je yeye ni mjinga?

Hakika majibu yetu sote ni HAPANA!

Kwa nini sasa?

ANA WAKATI MGUMU MAISHANI MWAKE KAMA KAMANDA!!! Tumtie moyo tu. Au mnadhani sikio linaweza kupita kichwa?
Hata kama anatumiwa inafika mahali inabidi uchanganye na zako siyo kamanda mzima unasema mliye mkamata ni GANGSTAR MZOEFU wa kuteka na kuuwa wakati hakuna record yoyote ya kipolisi inayo mhusu huko kwao, INTERPOL Wala Tanzania.halafu unasema alikwenda kutubu gangstar anamjua MUNGU?
 
Nimeshindwa kuiona ile habari iliyotolewa hapa ya kuwa linaandaliwa jambazi sugu kuhusika na tukio la Ulimboka.
Limetokea, walichobadilisha ni kuchakachua kidogo na kuleta jambazi la Kenya.

Katika habari ile, jambazi hilo lililoandaliwa linauwawa, kwa hivyo huyu Joshua anaweza kuuwawa. Wakisoma au wakinong'onezwa habari hii, wanaweza wasimuue, bali tukasikia limetoroka gerezani/limesaidia kutoroka.

Tamthilia inaendelea wiki ijayo
 
Ajiuzulu tu, atajuana na Sheikh wake Msikitini kwao
Ni makosa kumtia kova moyo ili atudanganye si vyema hata kidogo, ni vyema aende nae akatubu msikitini kwa kuudanganya umma wa Watanzania hapana kova omba watanzania msamahaa
 
Ndugu wanaJF, humu ndani kumejaa lawama na laana kwa kamanda wetu kipenzi, Kova. Najua uchungu uliopo mioyoni mwa watz wengi. Lakini tujiulize au tuvae viatu vya kamanda wetu;
- Je mwenyewe alipenda alicho kitangaza?
- Hakujua mwitikio wa watz utakuwaje?
- Je yeye ni mjinga?

Hakika majibu yetu sote ni HAPANA!

Kwa nini sasa?

ANA WAKATI MGUMU MAISHANI MWAKE KAMA KAMANDA!!! Tumtie moyo tu. Au mnadhani sikio linaweza kupita kichwa?

dance mia miaaaaa...
 
Ndugu wanaJF, humu ndani kumejaa lawama na laana kwa kamanda wetu kipenzi, Kova. Najua uchungu uliopo mioyoni mwa watz wengi. Lakini tujiulize au tuvae viatu vya kamanda wetu;
- Je mwenyewe alipenda alicho kitangaza?
- Hakujua mwitikio wa watz utakuwaje?
- Je yeye ni mjinga?

ndugu yangu kufanya kazi katika mazingira ya namna hii ni pengine hatari kuliko ukoma! duniani lawama na hata mbinguni kuna gehena inkungoja
 
Sisi watanzania tunakosea kumhukumu Kova kwa swala hili la Joshua Mkenya kuhusika na tukio la Ulimboka. Tunamuonea Kova

1. Ni utamaduni wa serikali hii kupika uongo na kudanganya wananchi kuhusu mambo mbalimbali. Hata Bunge hudanganywa
2. Ni utamaduni wa Polisi kubambika watu kesi za mauaji na uharamia.
3. Kova amekuwa mara kwa mara akiitisha mikutano na waandishi aw habari kutangaza habari za uongo za kukamatwa majambazi "sugu waliokuwa wanatafutwa muda mrefu" Anachukua silaha za ujambazi uliofanyika zamani anaonesha kana kwamba ndo kazikamata. Ili aonekane anafanya kazi yake kwa umahiri. Ujambazi unaongezeka hadi wananchi wamezoea hawalalamiki tena
4. Jeshi la Polisi kwa ujumla halipelelezi kesi bila mlalamikaji kutoa pesa na nyenzo nyingine. Nani ataliwezesha jeshi la Polisi kupeleleza tukio la Ulimboka? Je, jeshi la Polisi lina ujuzi wa kupeleleza au kutesa watu wakiri makosa?
5. Jeshi la Polisi linatuhumiwa kuhusika na tukio la Ulimboka, mnatarajia Kova anaweza kupeleleza Msangi kama ndiye aliyemtuma Msangi?

Kwa maelezo hayo hapo juu, namsifu sana Kova kwa ubunifu aliofanya wa kutupatia mtuhumiwa Mkenya na kulihusisha kanisa. Nahisi Kova aliumoza kichwa sana na amejitahidi kutafuta namna ya kulinausua jeshi la Polisi na serikali.

Kwanini tuhangaike kutafuta kujiuliza kam Kenya kuna watu wenye tabia ya uharamia na mauaji wakati tunajua hivyo tayari, Mungiki, Mauaji baada ya Uchaguzi etc

Kwa nini tuhangaike kuhoji uadilifu wa viongozi wa dini? Kwa nini kiongozi huyo wa dini asifurahi kwamba serikali imemshukuru kwa kutoa ushirikiano?

Tunafanya makosa kumtuhumu Kova kudanganya leo wakati ndiyo utendaji wa kazi aw kawaida siku zote, penda usipende

Endelea Kamanda Kova, I salute you!
 
Gurudumu,

Hii serikali pamoja na taasisi zake ilishakuwa irrelevant zamani, ila wali-bank kwenye ujinga na woga ambao sehemu kubwa ya jamii inao. Pia walitumia mass disinformantion and missinformation strategies by CCM mouth-pieces kuficha madhaifu yao.

Fast foward, sasa mambo yako hadharani, wananchi wanaendelea kuamshwa na wanaamka so karibu patapambazuka na tutaanza ukurasa mpya wenye matumaini ya kweli.

Kama uliyoainisha, Kova kama ma-RPC wengine, ni sehemu ya mtandao mpana wa uhalifu PT na nchini. Ulianzishwa na akina Mahita na umeenea karibu nchi nzima. Ni bahati mbaya kuwa waTz ni wasahaulifu sana na hatupendi kuchukua hatua hata baada ya kujiridhisha na facts. Hope will come to an abrupt end.
 
Mkuu mleta mada umemalizia kwa kumwambia aendelee na kazi yake unayoiita nzuri?unadhani kama anasoma hapa anaweza kuchambua na kuelewa unavyotaka aelewe?nimependa bandiko,ila huo utani wakati ishu ni hatari na maisha ya watu hatarini ni noma.Sasa hata kama tunataka kulifix jeshi la polisi,akiachwa aendelee ndo jambo la maana?Accountability is the key to the changes that we want.It is the begining...Kova amekosea and my opinion;he should resign!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom