๐—ž๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—š๐—ฏ ๐—ก๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐˜‚๐—ท๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฒ ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ผ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
View attachment 2825416

Kampuni ya Meta sasa wamerudi kwa Kasi kwenye mchakato wao wa kuweza kuzifungia namba mbalimbali ambazo zinatumia program ya Whatsapp Gb.

Kuna kipindi Meta walitoa taarifa ya watu kuweza kuacha kutumia Whatsapp ambazo sio official kabisa ambazo ni Whatsapp Gb, Fm, Aero nk kwani watazifungia akaunti zao.

Ni kweli wengi wakakutana na rungu Hilo kwa kufungiwa Ndani ya siku moja , siku mbili , masaa , wiki nk lakini Bado watu wengi wakaendelea kutumia Whatsapp Gb kama kawaida.

Sasa kuelekea mwishoni mwa mwaka 2023 kampuni ya Meta imesema imeanza mchakato wa kuwafungia wale watu ambao Bado wanatumia Whatsapp Gb namba zao zitapigwa Ban ya kweli kweli na namba zao hawataweza kujisajili tena kwenye Whatsapp hata kama wapakua App ya Whatsapp Toka play store au app store.

Gb2%20-%201.jpg

Ukipigwa Ban akaunti yako itafutwa itaondolewa kwenye na group yote na utaweza kujirudisha , pia Whatsapp wamesema kuanzia 1 desemba kama ujafanya update ya Whatsapp yako hutaweza kupata muonekano mpya wa Whatsapp.

Jambo muhimu la kuzingatia acha kutumia Whatsapp Gb pia hakikisha unafanya update ya Whatsapp yako kupata feature mbalimbali mpya ambazo zimeachiwa na Whatsapp.

Tags mshikaji wako anayetumia Whatsapp Gb umkumbushe akaunti yake ikifutwa hairudi .

Cc #bongotech255
 
Hebu tuambieni kwanza kwanini mnatumia hayo makitu?? dronedrake
Mara yangu ya mwisho kutumia Yo wasap na wasap fm ilikuwa 2018

Eti mnahide kutokuonekana kama mliview status? Mbona hamko serious lakini ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ status naview, na kama sina cha kureply ni sina, sio mpk nianze kujikaza kuweka vitu vya kufanya nisionekane.

Mara unabaki na deleted sms na status,, sa zitawasaidia nn? Maana mm nikifuta kitu na nikakuta umekireply nakublue tick no maraaa who you are!!..
 
Natumia gbwhatsapp lkn hivyo ulivyosema hapo si kipaumbele hata kidogo.
Ya kwangu ni tofauti kabisa๐Ÿ˜…
 
Haina matiti ila kazi za ufukunyuku kuchunguza sana na tabia fulani fulani ni za walio hama team au wanawake mbali na hapo kuna kitu kinakutafuta
Kwamb haya mawazo yametoka katika mhimili sahihi wa utashi wako? Kweli? Kwanini mkisika Whatsapp Gb hizo mnaanza kufikiria tu lengo ni Ufyukunyuku na ufatiliaji wa kizandiki. kila mtu apende anachokifanya wakuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom