Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 747
- 1,816
App ya WhatsApp GB ina raha yake.
Ilikuwa na feature nyingi nyingi sana. Na mara kwa mara wanatoa update inavutia sana.
Sasa majuzi nilishuhudia watu wakitakiwa ku download official WhatsApp app mm najua ni njama tu.
Ile ilikuwa inaruhusu kuona kama mtu alituma kitu akakifuta wewe unaona na hakifutiki.
Ilikuwa inakupa uwanja kuamua group gani hakina umuhim kwako kwa muda huo unaliweka pembeni yaani unalitenga kwa muda hadi pale utakapotaka kulitumia.
GBwhatsapp ilikuwa ina theme tele. Unaamua muonekano wa app yako wkt wa kuitumia uwekeje.
Kwa ufupi ikuwa inavitu vingi. Nimeoatwa na masikitikito kwa kuwa ilikuwa inakupa nafasi kujitenga na baadh ya contacts ukawa na wachache ukawa free na faraghani.
Baada ya kutakiwa kuwa katika official nimejiona kama vile nataka niachane na WhatsApp. Nahisi imefikia mwisho