Washirika wa ask.Kakobe wanaamini kuwa,mradi wa Tv yao;umezuiwa na Fisadi papa.
Je,kuna mtu aweza kuzuia kazi ya Mungu ?
Hii Thread ya 2011 ilinistua maana siku hizi Kakobe huyu kausishwa na Nguvu nyingine kabisa
Hii verse ya Biblia ni uhongo maana ina support "Geocentric theory" i.e Jua kuizunguka Dunia
Na hii ni verse iliyo mhukumu Galileo Galilei mpaka kanisa likamuua wakidai alikua anafanya "Heresy" kwani ilitoka Order toka kwa Papa kwamba wote wafundishao mafundisho ya uhongo(heres) waondoshwe duniani....
Kwa kua Galileo Galilei alikua ana-advocate Heliocentric Theory(Dunia kuzunguka jua) ambayo iko kinyume na hiyo verse na kinyume na uelewa watu enzi hizo basi Kanisa lilimuua Galileo Galilei kwa kutetea ukweli ambao sote tunaujua leo hii
Mpaka hapo baaadae Pope John Paul II ambaye amekua Canonized kama SAINT hizi siku za karibu aliposimama kuomba msamaha kwa hilo kosa lilo fanyika....
Hivo tumia usitumie hiyo verse hata siku moja maana imelitia doa Kanisa na wakristo kiujumla
mkuu samsoni alikua mtata,na muuaji mzuri tu,wala hakua mtu wa mungu wala nini....yap anaweza kwa kutumiwa na shetani. Mfano ninachoami samsoni haikuwa aishie kutobolewa macho na kuangusha jengo,bali kunakazi hakuimaliza kwakuwa wapo watu walizuia ila kazi yake. ..
mkuu samsoni alikua mtata,na muuaji mzuri tu,wala hakua mtu wa mungu wala nini.
Hoja yako ni tofauti kabisa na Galileo.
Uhakika uliopo ni jua lilisimama juu ya vichwa vya wanadamu.
Whether ni matokeo ya jua kusimama ama dunia kusimama; lazima kimojawapo kilisimama.that's what we're interested of. Explanation zitaendelea kubadilika kutokana na wakati, but TUKIO litabakia milele. Na muujiza upo kwenye tukio.
<br />
<br />
A voice of a man in the wilderness!!
Sawasawa,hawa watu sasa wameshajifunza kwamba Giza haliwezi kuishinda Nuru!!
Bishop Kakobe is a Man of God!!
Ule Umeme kamwe hautowaka mpaka Matakwa yake(Kakobe) yatimizwe!!
Hoja yako ni tofauti kabisa na Galileo.
Uhakika uliopo ni jua lilisimama juu ya vichwa vya wanadamu.
Whether ni matokeo ya jua kusimama ama dunia kusimama; lazima kimojawapo kilisimama.that's what we're interested of. Explanation zitaendelea kubadilika kutokana na wakati, but TUKIO litabakia milele. Na muujiza upo kwenye tukio.
If bible books are written by Inspiration then wasingeandika huo uongo ambao umepotosha dunia na ukapelekea kifo cha mtu....
Na iwapo Verse inakosa kama hilo who is going to believe kwamba hiyo ni Historical event?
Vinginevyo hiyo ni myth or it has to mean anything else than whats written
Kuwa kafir lazima akil uziweke pemben wakuu.hiv kwel tunapigania maendeleo jitu linasifu umeme kuto flow.ujinga kwel mtakufa kama wafuas wa kibwetele.nenda kaguse one kama utokufa
kibwetele ni nani?
Hakuna uongo wowote mkuu. No namna unavyoweza ghamua. Only Story ya kale inaweza athiriwa na:-
1)technology/nyakati. Mfano: Babu zetu walisema mtoto akianza kuota meno, anaharisha. Lakini leo tunajua sababu ya kuhara. Hivyo tumebadilisha statement.
2)Lugha iliyotumika.biblia imeandikwa kiebrania. To understand better, chambua matumizi ya neno lililotumika kumaanisha 'kusimama'