Kakobe katumia sayansi gani umeme usipite kanisani kwake?

Mkuu hayo yote yapo kiimani zaidi..., naomba kama unaweza utupe muujiza uliotokea miaka kama 50 iliyopita ili kila mtu aweze kusema kwamba ni kweli aliliona hilo jambo

Muujiza uliotokea miaka 50 na pungufu ya hiyo ni WOKOVU tupo pamoja,?

Muujiza uliotokea miaka 50 na pungufu ya hiyo ni WOKOVU tupo pamoja,?
Atleast kwenye hii miaka 50 tutakuwa na uhakika kwamba jambo lilitokea na sio tu kupata evidence kwenye vitabu ambapo bila imani inakuwa vigumu kuamini..

Kama kila kitu ambacho hatukijui tukikimbilia kwamba jibu ni supernatural powers nadhani tutakuwa hatupigi hatua. As humanity we need to question things

VOR,
post yangu ilikuwa na lengo la kukuonesha kuwa Yupo aliye juu ya sheria za sayansi anayeweza kuzuia flow ya electrons kama tunavyoifahamu. Na imani haina maana ni kitu unreal. Ili niwe na imani na VOR,
1. Lazima VOR yupo ana exist
2. VOR ni trustworth
nikubaliane tu na mambo uliyoeleza kuhusu imani lakini ulisahau kuiita imani pofu (blind faith). Mimi naongelea reasonable faith

Si jambo la kimpiga mtu bao wala ukidume wa mtu bali kakobe ametumika kuonyesha ukuu wa Mungu katika kristo Yesu. Hata wewe ukiliita jina la Mungu ili kuudhuhirisha utukufu wake maajabu yatatokea.

A voice of a man in the wilderness!!
Sawasawa,hawa watu sasa wameshajifunza kwamba Giza haliwezi kuishinda Nuru!!
Bishop Kakobe is a Man of God!!
Ule Umeme kamwe hautowaka mpaka Matakwa yake(Kakobe) yatimizwe!!

mungu gan hyo asiyetaka watu wengne wapate umeme? Hebu kashike hzo nyaya uone utakavopewa raha!

Umeme wenyewe uko wapi jamani wa kupitisha? hawa tanesco nao makuzi tu yahani migawo kila siku halafu wanasema umeme umekataa kupita! Pengine ni mgao huo ama basi Mungu kaamua kuwaonyeshea mliozoea kudhihaki watumishi wa Mungu.

Kama dawa ya ukimwi hajigundulika hadi leo basi mimi sioni ajabu hata huo umeme kutokupita, kwani Mungu haoni watu wake wanateketa na akiamua kuwawezesha wagunduzi wake kugundua watagundua tu. Msicheze na maombi jamani

Ni nguvu ya Mungu wa kakobe si mchezo mulizeni ngeleja awasimulie A to Z ya nguvu za Mungu tangu alasimishe kupitisha umeme hapo na bado mengi yatamshangaza Amen or shaloom

itabidi TANESCO watuthibitishie kuhusu suala hilo na kama ni kweli watuambie sababu zake na kama hawajui sababu ndio tuanze kuumiza bongo zetu, tukianza kutoa hoja zetu bila ya kuwa na uhakika itakuwa si jambo la busara.

Kaka serekali hilifika hata kuwafukuza kazi waumini wa fgbf kisa askofu Kakobe kusuhia kupitisha umeme' ni kuhakikishie kwamba bado umeme haukatishi pale

Kakobe ni mtumishi wa Mungu, aliwaambia wasipitishe hapo nyaya zao wakamtumia FFU. Kama ni kweli umeme haupiti basi inabidi wakatubu kanisani kwa Kakobe!

Si ajabu Kakobe kuzuia umeme !!! ;maana hata Yoshua alimwomba Mungu;kisha "AKASIMAMISHA JUA NA MWEZI". [YOSHUA 10:12-14]

Askofu Kakobe alitumia sayansi ya ki-Mungu kama aliyotumia akina Musa dhidi Farao;na Yoshua dhidi ya maadui wa Israeli !

na kule iringa kwenye makabuli ya kiyeyeu jiran na mizan mpya ilikuaje umeme ulikuwa hauflow ukipita juu ya hayo makabuli ikiwabidi wafanye divertion kuyakwepa

Hizo ni nguvu za Mungu aliyehai. Afterall, DUNIA na vyote viijazavyo ni Mali yake. Ni yeye ame-disconnect sehemu ambayo macho ya kibinadamu hayawezi ona. Dawa ni kutubu na kuomba upatanisho...

Si ajabu Kakobe kuzuia umeme !!! ;maana hata Yoshua alimwomba Mungu;kisha "AKASIMAMISHA JUA NA MWEZI". [YOSHUA 10:12-14]

Hii Thread ya 2011 ilinistua maana siku hizi Kakobe huyu kausishwa na Nguvu nyingine kabisa

Hii verse ya Biblia ni uhongo maana ina support "Geocentric theory" i.e Jua kuizunguka Dunia
Na hii ni verse iliyo mhukumu Galileo Galilei mpaka kanisa likamuua wakidai alikua anafanya "Heresy" kwani ilitoka Order toka kwa Papa kwamba wote wafundishao mafundisho ya uhongo(heres) waondoshwe duniani....

Kwa kua Galileo Galilei alikua ana-advocate Heliocentric Theory(Dunia kuzunguka jua) ambayo iko kinyume na hiyo verse na kinyume na uelewa watu enzi hizo basi Kanisa lilimuua Galileo Galilei kwa kutetea ukweli ambao sote tunaujua leo hii
Mpaka hapo baaadae Pope John Paul II ambaye amekua Canonized kama SAINT hizi siku za karibu aliposimama kuomba msamaha kwa hilo kosa lilo fanyika....

Hivo tumia usitumie hiyo verse hata siku moja maana imelitia doa Kanisa na wakristo kiujumla

Hii Thread ya 2011 ilinistua maana siku hizi Kakobe huyu kausishwa na Nguvu nyingine kabisa

Hii verse ya Biblia ni uhongo maana ina suupport "Geocentric theory" i.e Jua kuizunguka Dunia
Na hii ni verse iliyo mhukumu Galileo Galilei mpaka kanisa likamuua wakidai alikua anafanya "Heresy" kwani ilitoka Order toka kwa Papa kwamba wote wafundishao mafundisho ya uhongo(heres) waondoshwe duniani....

Kwa kua Galileo Galilei alikua ana-advocate Heliocentric Theory(Dunia kuzunguka jua) ambayo iko kinyume na hiyo verse na kinyume na uelewa watu enzi hizo basi Kanisa lilimuua Galileo Galilei kwa kutetea ukweli ambao sote tunaujua leo hii
Mpaka hapo baaadae Pope John Paul II ambaye amekua Canonized kama SAINT hizi siku za karibu aliposimama kuomba msamaha kwa hilo kosa lilo fanyika....

Hivo tumia usitumie hiyo verse hata siku moja maana imelitia doa Kanisa na wakristo kiujumla

Moja ya hukumu isiyofuata haki katika historia mzee alihukumiwa kisa kazungumzia ukweli

hii thread ya 2011 ilinistua maana siku hizi kakobe huyu kausishwa na nguvu nyingine kabisa

hii verse ya biblia ni uhongo maana ina support "geocentric theory" i.e jua kuizunguka dunia
na hii ni verse iliyo mhukumu galileo galilei mpaka kanisa likamuua wakidai alikua anafanya "heresy" kwani ilitoka order toka kwa papa kwamba wote wafundishao mafundisho ya uhongo(heres) waondoshwe duniani....

Kwa kua galileo galilei alikua ana-advocate heliocentric theory(dunia kuzunguka jua) ambayo iko kinyume na hiyo verse na kinyume na uelewa watu enzi hizo basi kanisa lilimuua galileo galilei kwa kutetea ukweli ambao sote tunaujua leo hii
mpaka hapo baaadae pope john paul ii ambaye amekua canonized kama saint hizi siku za karibu aliposimama kuomba msamaha kwa hilo kosa lilo fanyika....

Hivo tumia usitumie hiyo verse hata siku moja maana imelitia doa kanisa na wakristo kiujumla

itakua umelogwa wewe, hakuna kiumbe yeyote anaeweza kulitia doa kanisa mr, na kanisa si papa

Back
Top Bottom