Kakobe katumia sayansi gani umeme usipite kanisani kwake?

Nabii Elia wa Biblia,alituma ujumbe kwa mfalme kuwa"MVUA HAITANYESHA KWA NENO LAKE"
Na umeme haupiti kwa neno la Kakobe!
 
USHAURI:"Aliyeagiza nguzo kujengwa jirani na kanisa;Ndiye anapaswa kutubu kama mfalme kwa Elia na ndipo mvua ikanyesha !
 
Bila toba ya kweli "hakuna umeme kupita kwa ask.Kakobe ",kama msomaji wa Biblia.Kosa kuu ni kuzuia mradi wa Tv wa kanisa
 
Washirika wa ask.Kakobe wanaamini kuwa,mradi wa Tv yao;umezuiwa na Fisadi papa.
Je,kuna mtu aweza kuzuia kazi ya Mungu ?
 
Washirika wa ask.Kakobe wanaamini kuwa,mradi wa Tv yao;umezuiwa na Fisadi papa.
Je,kuna mtu aweza kuzuia kazi ya Mungu ?

...yap anaweza kwa kutumiwa na shetani. Mfano ninachoami samsoni haikuwa aishie kutobolewa macho na kuangusha jengo,bali kunakazi hakuimaliza kwakuwa wapo watu walizuia ila kazi yake. ..
 
Hii Thread ya 2011 ilinistua maana siku hizi Kakobe huyu kausishwa na Nguvu nyingine kabisa

Hii verse ya Biblia ni uhongo maana ina support "Geocentric theory" i.e Jua kuizunguka Dunia
Na hii ni verse iliyo mhukumu Galileo Galilei mpaka kanisa likamuua wakidai alikua anafanya "Heresy" kwani ilitoka Order toka kwa Papa kwamba wote wafundishao mafundisho ya uhongo(heres) waondoshwe duniani....

Kwa kua Galileo Galilei alikua ana-advocate Heliocentric Theory(Dunia kuzunguka jua) ambayo iko kinyume na hiyo verse na kinyume na uelewa watu enzi hizo basi Kanisa lilimuua Galileo Galilei kwa kutetea ukweli ambao sote tunaujua leo hii
Mpaka hapo baaadae Pope John Paul II ambaye amekua Canonized kama SAINT hizi siku za karibu aliposimama kuomba msamaha kwa hilo kosa lilo fanyika....

Hivo tumia usitumie hiyo verse hata siku moja maana imelitia doa Kanisa na wakristo kiujumla

Hoja yako ni tofauti kabisa na Galileo.
Uhakika uliopo ni jua lilisimama juu ya vichwa vya wanadamu.
Whether ni matokeo ya jua kusimama ama dunia kusimama; lazima kimojawapo kilisimama.that's what we're interested of. Explanation zitaendelea kubadilika kutokana na wakati, but TUKIO litabakia milele. Na muujiza upo kwenye tukio.
 
...yap anaweza kwa kutumiwa na shetani. Mfano ninachoami samsoni haikuwa aishie kutobolewa macho na kuangusha jengo,bali kunakazi hakuimaliza kwakuwa wapo watu walizuia ila kazi yake. ..
mkuu samsoni alikua mtata,na muuaji mzuri tu,wala hakua mtu wa mungu wala nini.
 
mkuu samsoni alikua mtata,na muuaji mzuri tu,wala hakua mtu wa mungu wala nini.

Wewe ndo hujui Bible
Nguvu za Samson zilitoka kwa Mungu japo alikaidi maagizo ya Mungu ila zile nguvu sio za kujipatia from nowhere (soma waamuzi 13 :24-25)
Acha Heresies speak with facts
 
Hoja yako ni tofauti kabisa na Galileo.
Uhakika uliopo ni jua lilisimama juu ya vichwa vya wanadamu.
Whether ni matokeo ya jua kusimama ama dunia kusimama; lazima kimojawapo kilisimama.that's what we're interested of. Explanation zitaendelea kubadilika kutokana na wakati, but TUKIO litabakia milele. Na muujiza upo kwenye tukio.

If bible books are written by Inspiration then wasingeandika huo uongo ambao umepotosha dunia na ukapelekea kifo cha mtu....

Na iwapo Verse inakosa kama hilo who is going to believe kwamba hiyo ni Historical event?

Vinginevyo hiyo ni myth or it has to mean anything else than whats written
 
<br />
<br />

A voice of a man in the wilderness!!
Sawasawa,hawa watu sasa wameshajifunza kwamba Giza haliwezi kuishinda Nuru!!
Bishop Kakobe is a Man of God!!
Ule Umeme kamwe hautowaka mpaka Matakwa yake(Kakobe) yatimizwe!!

Usiwake kwa sabab yeye ni Mungu mtu ama???????
ndo mana wafuasi wake walikuwa wanakesha pale nje ati tunazuia umeme usipite, vitu vya ajab kabisa.... wanawake wanashindwa kufanya majukum yao kwa familia zao wanaume wanaacha kwenda kutafuta ati twazuia umeme.....
yaaan hao watumish wake they don even think halaf ati wanaleta hii hoja kwa great thinker!
Hewa kabisa.
 
Hoja yako ni tofauti kabisa na Galileo.
Uhakika uliopo ni jua lilisimama juu ya vichwa vya wanadamu.
Whether ni matokeo ya jua kusimama ama dunia kusimama; lazima kimojawapo kilisimama.that's what we're interested of. Explanation zitaendelea kubadilika kutokana na wakati, but TUKIO litabakia milele. Na muujiza upo kwenye tukio.

kazi ipo!!
 
Kuwa kafir lazima akil uziweke pemben wakuu.hiv kwel tunapigania maendeleo jitu linasifu umeme kuto flow.ujinga kwel mtakufa kama wafuas wa kibwetele.nenda kaguse one kama utokufa
 
hakuna nguvu zozote hizo story tu.. mtu aje na concrete evidence hapa, umeme unaflow vZr tu.. Mungu hajionyeshi kwa kuzuia umeme, uliambiwa anataka kuonyesha ubabe kwa wanadamu? ili iweje? kachezee nyaya ya umeme ka hatujakuokota ofisini kwa katortoise
 
If bible books are written by Inspiration then wasingeandika huo uongo ambao umepotosha dunia na ukapelekea kifo cha mtu....

Na iwapo Verse inakosa kama hilo who is going to believe kwamba hiyo ni Historical event?

Vinginevyo hiyo ni myth or it has to mean anything else than whats written

Hakuna uongo wowote mkuu. No namna unavyoweza ghamua. Only Story ya kale inaweza athiriwa na:-
1)technology/nyakati. Mfano: Babu zetu walisema mtoto akianza kuota meno, anaharisha. Lakini leo tunajua sababu ya kuhara. Hivyo tumebadilisha statement.
2)Lugha iliyotumika.biblia imeandikwa kiebrania. To understand better, chambua matumizi ya neno lililotumika kumaanisha 'kusimama'
 
Ikienda kuangaliwa ikawa siyo hivyo sijui miujiza itakua imeenda wapi?
 
Hakuna uongo wowote mkuu. No namna unavyoweza ghamua. Only Story ya kale inaweza athiriwa na:-
1)technology/nyakati. Mfano: Babu zetu walisema mtoto akianza kuota meno, anaharisha. Lakini leo tunajua sababu ya kuhara. Hivyo tumebadilisha statement.
2)Lugha iliyotumika.biblia imeandikwa kiebrania. To understand better, chambua matumizi ya neno lililotumika kumaanisha 'kusimama'

Mkuu hayo maneno sio yangu ni just nilifundishwa hivo kipindi nasoma Astronomy,Bible knowledge/Divinity na mwisho Theology....

Hatutegemei kukuta kosa ktk Bible maana imeandikwa kwa Muongozo wa Mungu hivo Kama kuna inspiration wasingendika hayo makitu....

Waebrani unao wasema wana same interpretation na yangu niliyonayo
 
Back
Top Bottom