BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,163
tantalila
Ama kweli mmeamua kuwa kazini! Tunajua fedha za MKONO ndo zinafanya kazi kila sehemu ila elewa ZITTO sio maarufu ki-hivyo kama unavyotaka wana-JF tuamini. Ukweli ni kwamba mbinu zote tunazijua hivyo mpe salam kuwa jamaa wameshtukia issue anazotaka kuzifanya. Utata wake hajauanza leo na huyo Dogo Kafulila bora achague kazi za kufanya mbona zipo nyingi sana hapa Tanzania. Siasa zimemshinda Kafulila anatumika na ZITTO na hata wewe mtoa mada kama umetumwa umetukosa!!!!!!!!!!!!!
inaonekana huwajui watu wa kigoma hasa pale anapoenekana kuwa yeye ni mtu muhimu, kamuulize kabouru na magenzi alipowageuka waislam wa mwembechai wakati wakina chuki Athumani hadi leo mlemavu. hawa jamaa wapo kama kinyonga.Kwani wana-jf Kafulila alifanya dhambi gani isiyosameheka?Nadhani dr Slaa ni Mkatoliki anayeamini katika toba na msamaha wa dhambi.Hata iwe nyekundu kama......kwake yeye aaminie itakua nyeupe kama theluji.
Kuenguliwa?Kwa taarifa tu Zitto ni mtendaji zaidi kuliko mblaablaa.Anafaa zaidi kwenye nafasi za katibu mkuu,waziri mkuu na vya kufanana na hivyo.Anajijua,analijua hilo.Sintakaa niamini kuwa nia yake ni kukibomoa chama kilichomjenga kwa kiwango hicho/hiki.
Hata alipotaka kugombea uenyekiti cdm alitaka kujenga taswira ya demokasia ndani ya chama na sio makuu.ALIFANIKIWA HILO!
Kafulila alifanya papara cdm na huko alikokwenda amerudia makosa yaleyale.Zitto alimuonya, kama mnakumbuka!
Hapa mkiangalia na kujadili issues kwenye hii mada mtaachana na u-cdm,u-nccr,u-ccm na u-cuf na mwisho wake mawazo/michango itaonekana mipevu zaidi sana.Think deep.
kingekuwa chama cha kupiga pesa leo kingefika hapo au watu wametumia pesa zao pindi ruzuku ilipokuwa ndogo na bado watu walikua wanakieneza chama hadi leo kimefikia na mtaji zaidi ya milioni saba!zitto yuko bright sana kuliko kiongoz unayemtaka wewe chadema,tunataka chadema iwe chama sasa na sio saccos ya kupiga pesa.
wewe unaita saccos jk aliwaita chama cha msimu lakini du....kwa nilivyoona mjadala wa katiba bungeni nimeamini chadema ni kiboko kila mbunge .aliesimama sio cuf, tlp, ccm, wote walikuwa wanajadili cdm badala ya kilichowapeleka bungeni. hata waliotumwa humu kila siku mnakuja na hoja za kipuuzi kuhusu slaa........ vipi anawaumiza sana maanake watu wanajadili vivuko ada imeongezwa ghafla utafikiri pesa za migodi tumeshaanza kugawiwa kama libya vile .zitto yuko bright sana kuliko kiongoz unayemtaka wewe chadema,tunataka chadema iwe chama sasa na sio saccos ya kupiga pesa.
Kama ni wafuatiliaji wa hali ya kisiasa nchini Tanzania, pia kufanya summary ya wachangiaji humu JF, utapata clue kuwa ZITO anamkakati wa kuwania uongozi wa juu CHADEMA ili kujiweka sawa mbio za urais, hii ni baada ya kufeli mkakati wa kumwengua MBATI nccr!
TATIZO ni kauli za Dr slaa kipindi kile wanamtimua KAFULILA kuwa huyu Bw mdogo alikuwa sisimizi aliyekuwa anataka kuivuruga cdm, na akasema ama kafulila aondeke au yeye Slaa aondoke!
sasa ZITO amesuka mpango, slaa ale matapishi yake...je slaa atakubali?
elewa kuwa viongozi wa nccr waliohamia cdm kule arusha juzi ni mkakati!
elewa kule jimboni kigoma viongozi wanapiga debe kuwa watahamia chadema, ikimaanisha wanamfuata kafulila....sasa je ...slaa atampokea kafulila cdm?
Well n' good YOTE SIASA! THE TIME WILL TELL, BUT ASAP!

Kama ni wafuatiliaji wa hali ya kisiasa nchini Tanzania, pia kufanya summary ya wachangiaji humu JF, utapata clue kuwa ZITO anamkakati wa kuwania uongozi wa juu CHADEMA ili kujiweka sawa mbio za urais, hii ni baada ya kufeli mkakati wa kumwengua MBATIA nccr!
Kama ni wafuatiliaji wa hali ya kisiasa nchini Tanzania, pia kufanya summary ya wachangiaji humu JF, utapata clue kuwa ZITO anamkakati wa kuwania uongozi wa juu CHADEMA ili kujiweka sawa mbio za urais, hii ni baada ya kufeli mkakati wa kumwengua MBATI nccr!
TATIZO ni kauli za Dr slaa kipindi kile wanamtimua KAFULILA kuwa huyu Bw mdogo alikuwa sisimizi aliyekuwa anataka kuivuruga cdm, na akasema ama kafulila aondeke au yeye Slaa aondoke!
sasa ZITO amesuka mpango, slaa ale matapishi yake...je slaa atakubali?
elewa kuwa viongozi wa nccr waliohamia cdm kule arusha juzi ni mkakati!
elewa kule jimboni kigoma viongozi wanapiga debe kuwa watahamia chadema, ikimaanisha wanamfuata kafulila....sasa je ...slaa atampokea kafulila cdm?
Well n' good YOTE SIASA! THE TIME WILL TELL, BUT ASAP!
zitto yuko bright sana kuliko kiongoz unayemtaka wewe chadema,tunataka chadema iwe chama sasa na sio saccos ya kupiga pesa.
I was just thinking so, NCCR ilikuwa threat kwa CDM kama CDM ilivyo threat kwa CCM, hongera Zitto kwa hilo.mnajuaje kuwa kuweko kwa Kafulila ulikuwa ni mpango maalum na sasa kazi ya kuua nccr imeshakamilika? Vyama hivi vidogo hutumika kupunguza kura za chama kikuu cha upinzani kama hamjui.