Kafulila aifunika KIGOMA

Ngoja tusikilizie,embu watachukua maamuzi gani,kama kweli bwana mdogo aliondolewa cdm basi haina haja ya kupokelewa tena cdm!Mbowe,Slaa na wengineo,chukueni maamuzi ya busara
 
kwa vyovyote vile, hata nahakama iamue vinginevyo, nccr hawatarudisha kafulila,

ila hali ndo hiyo...madiwani waliotimuliwa cdm arusha, walifungua kesi wakashindwa, sasa baada ya kuona kafulila kashinda yakwake, pia CCM arusha ilipoona viongozi nccrarusha wametimkia cdm, wenyewe bila kujua mkakati, wameongezea nguvu kuua chadema kwa kuwashawishai madiwani wafungue kesi nyingine...hii inamaanisha uchaguzi wa madiwani arusha ni dilemma kwani kesi itarindima hadi 2014!

Swala la Arusha kama kuna watu wanafikiria kwamba ni hasara kwa wananchi wa chadema nadhani ni fikra potofu,Swala la unyang'anyaji wa demokrasia na ufinyaji wa haki wa CCM na serikali yake umeshawatokea puani hawaelewi wafanye nini kwa sababu wa deni kwa wale madiwani,hawana namna ya kuwaweka kilazima lakini pia hawataki kuonyesha wamevunja sheria,wazo lao la kufikiria wananchi wangewaunga mkono liliposhindwa sasa watatumia dola ,Polisi na Mahakama

Wailindimishe kesi ya madiwani huko mahakamani hata 2015 doa Kwa serikali na chama chao limeshawafika hawana namna lazima kila wanakokwenda kukinga bakuli wajibu maswali kuhusu Arusha ha ha kazi wanayo
 
zitto yuko bright sana kuliko kiongoz unayemtaka wewe chadema,tunataka chadema iwe chama sasa na sio saccos ya kupiga pesa.
huko kilikotoka (wakati wa kina Kabouru) kilikuwa chama halafu hawa jamaa (Mbowe na Slaa) wakakifanya saccos sasa unataka kukirudisha kuwa chama ee, haya mkuu jitahidi.. ila watanzania wengi na wapenzi wa cdm tunataka hiyo unayoiita saccos
 
Kama ni wafuatiliaji wa hali ya kisiasa nchini Tanzania, pia kufanya summary ya wachangiaji humu JF, utapata clue kuwa ZITO anamkakati wa kuwania uongozi wa juu CHADEMA ili kujiweka sawa mbio za urais, hii ni baada ya kufeli mkakati wa kumwengua MBATI nccr!

TATIZO ni kauli za Dr slaa kipindi kile wanamtimua KAFULILA kuwa huyu Bw mdogo alikuwa sisimizi aliyekuwa anataka kuivuruga cdm,
na akasema ama kafulila aondeke au yeye Slaa aondoke!

sasa ZITO amesuka mpango, slaa ale matapishi yake...je slaa atakubali?

elewa kuwa viongozi wa nccr waliohamia cdm kule arusha juzi ni mkakati!

elewa kule jimboni kigoma viongozi wanapiga debe kuwa watahamia chadema, ikimaanisha wanamfuata kafulila....sasa je ...slaa atampokea kafulila cdm?

Well n' good YOTE SIASA! THE TIME WILL TELL, BUT ASAP!

INAVYOONEKANA WEWE UMETUMWA NA CHAMA CHA MAGAMBA UANZE KULETA CHOKOCHOKO ZAKO HUKU KWETU CDM,TUMESHASTUKA MAPEMA NA MMESHACHELEWA SISI TUKO IMARA TENA WAACHE VIONGOZI WETU WA CDM WAENDELEE NA MIKAKATI YA KUBANDUA CCM 2015,HAPA CDM NI MAJI MAREFU BWANA MDOGOOOOOOOOOOOOOO.
 
Kama ni wafuatiliaji wa hali ya kisiasa nchini Tanzania, pia kufanya summary ya wachangiaji humu JF, utapata clue kuwa ZITO anamkakati wa kuwania uongozi wa juu CHADEMA ili kujiweka sawa mbio za urais, hii ni baada ya kufeli mkakati wa kumwengua MBATI nccr!

TATIZO ni kauli za Dr slaa kipindi kile wanamtimua KAFULILA kuwa huyu Bw mdogo alikuwa sisimizi aliyekuwa anataka kuivuruga cdm,
na akasema ama kafulila aondeke au yeye Slaa aondoke!

sasa ZITO amesuka mpango, slaa ale matapishi yake...je slaa atakubali?

elewa kuwa viongozi wa nccr waliohamia cdm kule arusha juzi ni mkakati!

elewa kule jimboni kigoma viongozi wanapiga debe kuwa watahamia chadema, ikimaanisha wanamfuata kafulila....sasa je ...slaa atampokea kafulila cdm?

Well n' good YOTE SIASA! THE TIME WILL TELL, BUT ASAP!

Ni vizuri ukafahamu kwamba kafulila hakufukuzwa toka chadema, alivuliwa cheo cha afisa habari.
Hii ya kwamba aidha kafulila aondoke slaa abaki ama kafulila abaki slaa aondoke ni kauli yako mwenyewe.
 
kama atarudi kama mwanachama wa kawaida mbona halina tabu hilo?
Ila uongozi mhm?
 
Usiwe na Hofu ndugu yangu CDM ni Chama makini ilishapita kwenye misukosuko mingi sana, haijalishi nani anakuja na malengo gani lakini lazima mwisho wa siku atimize yale ambayo waCDM wanayataka.

Mfano Zito alishajitahidi sana kujirudisha kwenye peak kama 2008/209 lakini amshindwa na sasa anashindwa na kiongozi kijana na mgeni kwenye chama kama Lema, ataweza kushindana na Mbowe na Dr Slaa? Nadhani hata huyu kafulila si mtu wa kuhangaika naye akitaka kurudi aje CDM na kuwa mwanachama wa kawaida.

Kikubwa hapa ni hawa jamaa wote wa kule wana yumba sana katika misimamo yao hawana jipya ndiyo maana leo hii utaona mtu anataka kuhama chama mara tatu ndani ya miaka miwili na kitu.

Mwacheni wamsubiri Hama Rashid kesho waanzishe Chama chao wakatoane roho huko.

Hauwezi kumfananisha Zitto na Lema utachekwa Ndugu,Lema bado sana kwa Zitto...tunachujua munatumia muda mwingi kumpromote Lema na kufanya kila hila ili zitto aonekane mbaya lakin wapi..Lema hawez siasa ndugu.
 
zitto yuko bright sana kuliko kiongoz unayemtaka wewe chadema,tunataka chadema iwe chama sasa na sio saccos ya kupiga pesa.

Bora kuwa na saccos inayojali na kutetea maslahi ya watanzania kuliko chama cha siasa kinachotetea maslahi ya kikundi kidogo cha watu.

Saccos ya chadema inawanyima usingizi magamba na serikali yake na wananchi wameikubali na kuipokea kwa mikono miwili!
 
Mtu mwenye akili hawez kumfananisha Lema na Zitto.Lema bado sana ktk siasa
 
Kuna watu wamekaa kichonganishi sana, wanaelewa lakini wanapotosha makusudi tu.
Ni vizuri ukafahamu kwamba kafulila hakufukuzwa toka chadema, alivuliwa cheo cha afisa habari.
Hii ya kwamba aidha kafulila aondoke slaa abaki ama kafulila abaki slaa aondoke ni kauli yako mwenyewe.
 
Hauwezi kumfananisha Zitto na Lema utachekwa Ndugu,Lema bado sana kwa Zitto...tunachujua munatumia muda mwingi kumpromote Lema na kufanya kila hila ili zitto aonekane mbaya lakin wapi..Lema hawez siasa ndugu.

Zitto na Lema wote ni viongozi wazuri ingawa wanatofautiana katika mambo kadhaa hasa approach ya masuala ya kisiasa na kijamii.

Hakuna mtu anayemmaliza Zitto na kumnyanyua Lema, kilichokuwepo ni Zitto mwenyewe kujipandisha na kujishusha mwenyewe.

Nitakukumbusha kwa mara ya kwanza Zitto kuanza kupoteza uaminifu miongoni mwa wafuasi wake ilikuwa kipindi cha saga la dowans, wakati huo hakuna aliyekuwa anayemfahamu Lema katika siasa za Tanzania.

Sasahivi Lema anajipandisha mwenyewe kwa siasa zake za Arusha. He has nothing to do with Zitto's fall!
 
Mtu mwenye akili hawez kumfananisha Lema na Zitto.Lema bado sana ktk siasa

Mimi naamini kwamba hawa vijana wote Zitto na Lema wana uwezo sawa ila katika mambo tofauti.Na kusema huyu ni zaidi kuliko huyu unatumia vigezo gani ? Yes Zitto ana MSc na Lema na Elimu ya kawaida lakini wote wanajua wanacho kitaka na niseme tofauti yao ni Elimu na kama unabisha ainisha hapa ubora wa zaidi mwingine tuone .
 
Umepewa shilingi ngapi kuleta huu uozo wako hapa? Hiyo kauli ya ama Kafulila aondoke ama Dr slaa aondoke ni umbea na majungu tuu unayojaribu kuyafanya mtot wa kiume wewe! Angekua binti hapo poa lakini na wewe wa kiume tena?

Afu sikia, Kafulila hakufukuzwa CDM ila alitimuliwa cheo cha uafisa habari. Kama ni chama alikimbia mwenyewe so anao uhuru wa kurudi CDM akitaka na wala Dr Slaa hawezi kula matapishi yake kama unavyodai kwa kua hakuwai kutapika
Nikwel kafulila kuludi chadema si dhambi ilimladi afuate katiba na talatibu za cdm
 
Back
Top Bottom