Kafulila aifunika KIGOMA

Movies za series siku zote zina mvuto maana kila inapoisha season moja unatamani kuiona inayofuata, lets wait to see
 
Kama ni wafuatiliaji wa hali ya kisiasa nchini Tanzania, pia kufanya summary ya wachangiaji humu JF, utapata clue kuwa ZITO anamkakati wa kuwania uongozi wa juu CHADEMA ili kujiweka sawa mbio za urais, hii ni baada ya kufeli mkakati wa kumwengua MBATI nccr!

TATIZO ni kauli za Dr slaa kipindi kile wanamtimua KAFULILA kuwa huyu Bw mdogo alikuwa sisimizi aliyekuwa anataka kuivuruga cdm,
na akasema ama kafulila aondeke au yeye Slaa aondoke!

sasa ZITO amesuka mpango, slaa ale matapishi yake...je slaa atakubali?

elewa kuwa viongozi wa nccr waliohamia cdm kule arusha juzi ni mkakati!

elewa kule jimboni kigoma viongozi wanapiga debe kuwa watahamia chadema, ikimaanisha wanamfuata kafulila....sasa je ...slaa atampokea kafulila cdm?

Well n' good YOTE SIASA! THE TIME WILL TELL, BUT ASAP!


Bangi inataka Msosi
 
Mnamtetea mtu asiyekuwa na adamu.. msaurini huyo muha Kafulila na zitto wake waanzishe chama chao cha wanafiki CCW
 
kama atarudi kama mwanachama wa kawaida mbona halina tabu hilo?
Ila uongozi mhm?

andare,
keep in mind that, kule uvinza, nguruka, malagarasi wananchi wamesema wao na kafulila tuu!

so akija chadema ujue ni mgombea ubunge wao! uongozi tayari huo!
 
Mnafiki huyo, mpaka nimebadilisha signature... hana lolote na akirudishwa cdm na zitto wake, tutakihama, hatuwezi kukaa na mnafiki
 
zitto yuko bright sana kuliko kiongoz unayemtaka wewe chadema,tunataka chadema iwe chama sasa na sio saccos ya kupiga pesa.
Teh teh teh. Zito yupo bright kwa lipi? Ndo nyie mtakayeanza kutuambia Zito anafaa kuwa Rais wa nchi!! Kwa hiyo wewe unaona CHADEMA ni kama Saccos? Na unaona Zitto ndo anaweza kuibadilisha CHADEMA kuelekea kwenye mwelekeo wa kichama? kama ni hivyo basi kazi tunayo. Bora hata ungesema Lissu!
 
Teh teh teh. Zito yupo bright kwa lipi? Ndo nyie mtakayeanza kutuambia Zito anafaa kuwa Rais wa nchi!! Kwa hiyo wewe unaona CHADEMA ni kama Saccos? Na unaona Zitto ndo anaweza kuibadilisha CHADEMA kuelekea kwenye mwelekeo wa kichama? kama ni hivyo basi kazi tunayo. Bora hata ungesema Lissu!

sikulazimishi ukubaliane na mimi,ila huo ndio ukweli..hatuitaji kiongozi aliye too logical na asiyeshaurika km hao unaodhan wewe wanafaa,tunahitaji kiongoz anayejenga hoja bila ushabiki na sio kiongoz anayepelekwa na emotion za watu au wapambe..
 
Ngoja tusikilizie,embu watachukua maamuzi gani,kama kweli bwana mdogo aliondolewa cdm basi haina haja ya kupokelewa tena cdm!Mbowe,Slaa na wengineo,chukueni maamuzi ya busara
Hakuondolewa CDM bwana! alikimbia mwenyewe.CDM walimvua madaraka ndani ya chama, Jamani mbona mnasahau mambo ya juzi tu? Ntaacha kuchangia hapa JF kama watu wanasahau kiasi hicho!
 
sikulazimishi ukubaliane na mimi,ila huo ndio ukweli..hatuitaji kiongozi aliye too logical na asiyeshaurika km hao unaodhan wewe wanafaa,tunahitaji kiongoz anayejenga hoja bila ushabiki na sio kiongoz anayepelekwa na emotion za watu au wapambe..
Hakuna hoja hapo! Chama hakiwezi kumpa uenyekiti mtu ambaye ameanza kutengeneza mitandao namna hiyo. Watu kama hao wanafit ccm ambako mitandao ndio jadi yao japo imeanza kuwatokea puani. Bora tumpe hata Prof. Abdallah safari lakini sio huyo kibaraka wa kikwete. Kwanza amevumiliwa vya kutosha haiwezekani mtu ampigie kampeni kafulila wa nccr amwache mgombea wa CDM kisa kafulila ni rafiki yake. Hao ndo hata wakipata madaraka wanaunda serikali za kishikaji.
 
Swala la Arusha kama kuna watu wanafikiria kwamba ni hasara kwa wananchi wa chadema nadhani ni fikra potofu,Swala la unyang'anyaji wa demokrasia na ufinyaji wa haki wa CCM na serikali yake umeshawatokea puani hawaelewi wafanye nini kwa sababu wa deni kwa wale madiwani,hawana namna ya kuwaweka kilazima lakini pia hawataki kuonyesha wamevunja sheria,wazo lao la kufikiria wananchi wangewaunga mkono liliposhindwa sasa watatumia dola ,Polisi na Mahakama

Wailindimishe kesi ya madiwani huko mahakamani hata 2015 doa Kwa serikali na chama chao limeshawafika hawana namna lazima kila wanakokwenda kukinga bakuli wajibu maswali kuhusu Arusha ha ha kazi wanayo
Kweli kabisa hapo umeongea watu hawajui kuwa mkwamo unaoonekana arusha ni ushindi kwa CDM. Hakuna chama cha upinzani ktk nchi hii kimewahi kuibana ccm kama CHADEMA pale arusha. Hawapumui kabisa wao walidhani watapiga porojo tu mambo yataisha lakini wamekutana na makamanda hawadanganyiki. Wee fikiria inafika mahali ccm inaogopa kuingia kwenye uchaguzi na hata propaganda zao walizozoea kuzitoa za amani itavunjika sasa hivi haziwaingii akilini watu sasa palipobaki ni mahakamani wanahangaika kuhakikisha uchaguzi haufanyiki maana itakuwa aibu kwao ukifanyika lakini chadema hawana pressure ufanyike usifanyike sawa tu. Wakitaka waahirishe na ule wa 2015.
 
Hauwezi kumfananisha Zitto na Lema utachekwa Ndugu,Lema bado sana kwa Zitto...tunachujua munatumia muda mwingi kumpromote Lema na kufanya kila hila ili zitto aonekane mbaya lakin wapi..Lema hawez siasa ndugu.
Usichanganye mambo wewe, zito na lema wako chama kimoja isipokuwa mmoja anaaminika zaidi wakati mwingine ana mawasiliano na chama tawala na anauota sana urais. Watu hao wanatoka mazingira tofauti, huwezi kutumia siasa za zito kuongoza arusha maana wananchi watakustukia mapema kuwa ni puppet wa ccm, siasa za zito zinalifaa jimbo la kijijini kama kigoma kaskazini.
 
Suala la viongozi wa NCCR Arusha kuamia CHADEMA kusema ni mkakati, ni uongo wenye agenda ya kumsafishia njia "kijana mbishi "kurudi CDM. Wale viongozi wameamia CDM kwa kujua ni chama chenye nguvu. Arusha vyama vingine kama CUF, TLP na vinginevyo ni weak. Mwenye akili timamu hawezi kwenda hivyo vyama zaidi ya CMD. Ni sawa sawa na Kigoma, unategemea viongozi wa NCCR wataenda chama gani zaidi ya CDM? Je uo nao utasema ni mkakati? Nionavyo CDM ina vijana wengi wazuri wanaweza kugombea kigoma kusini na kushinda sio lazima Kafurila.
 
Back
Top Bottom