Kazi kweli kweli naona mambo ya touchy, mushy,
Hapa mafisadi hawakopeshwi mpaka wakione hiki kijiwe kichungu au wawe passive kama baadhi yao hapa walivyoamua kubadilika na kupambana na ufisadi au kukaa kimya.

Kumbe nimeshajua wapi umepotoka sio kila mtu anaekuwa tofauti na wewe ni CCM, nmechangia thread hii kwa sababu nimeona kada ana point
We fikiria kama kila anejua siri ya ufisadi akiwa anauwawa hizo priorities za buzwagi, IPTL, richmond and so on ni nani atazisimamia?
Muache Mbowe aseme hizo njia za mauaji zinazo tumika ili tuzizuie na tuendelee kuwaweka wazi mafisadi bila ya kuogopa kuuwawa!
angalia usije ukaondoka wewe tu na ukatuacha wengine hapa JF tunapeta !
Hii Naona Ipelekwe Pengine Maana Moja Tu Ilikuwa Inatosha Kabisa.
Wewe ni fisadi na nimesoma posts zako nyingi kabla sijakuita hivi. Wengine hapa tunachukua muda kidogo kusoma posts za watu hata kwenye thread zingine kabla ya kujibu hapa.
Mimi simzuii Mbowe kusema chochote ila nawakumbusha nyie mafisadi kuwa hamtafanikiwa kubadili mwelekeo wa forum kwa side shows. Hata hivyo bado nawashauri ccm wafuate ushauri wa fisadi kada na wamshitaki MBowe ili hata kina Mkapa wapatikane na kutoa statement zao.
Kesi hiyo itakuwa kubwa hadi mshangae, go ahead and do it.
Mafisadi kama wewe mtapeta wapi? Angalia hii forum ni 95% against nyie mafisadi, Huko kupeta mtapeta hapa?
Ukitaka kujuwa uozo wa wapinzani basi soma kauli za Mbowe....wakati mwingine anatia huruma. Bora amwachie Zitto na Chacha....angalau pumba zao zinafanana na mchele.
Inauzunisha pale rais mtarajiwa anapobwabwaja kwa kutumia consipiracy theories alizozipata kutoka magengeni.....tuna safari ndefu kuelekea maisha bora!

Mkuu safari ni ndefu mno tena sana.. Ulichosema ni kweli kabisa. maana hata kuna kipindi alisema wapinzani ni vibaraka wa ccm waliopachikwa ili kutetea maslahi ya ccm ! guess what he did next ? akaungana nao hao hao ! pale ndio kama alinipiga konzi kichwani !
Hili suala pia watu wanataka tukae kimya, kimya for what ?
Mtu makini hawezi kusema alichosema mbowe hata siku moja, na nitafurahi sana nikiona pale mbowe atakapoenda polisi mwenyewe kwa kutaka na kutoa info zaidi ili detectives waweze kuwabana hao wanaccm wanaowaua hao mashahidi wa ufisadi and he will be free !
Sasa wewe Mkuu Mgonjwa unataka nani akuletee maisha bora?
Yule aliyepembeni au yule anayechukua kila kilichochako?
Mimi nilitegemea hizo shutuma za maisha bora ziwaendee wale wa kauli mbiu, waliohaidi watanzania kuwa sasa milo miwili ruksa na baada ya kufika madarakani wakaanza kura badala ya watanzania.
Wewe ni fisadi na nimesoma posts zako nyingi kabla sijakuita hivi. Wengine hapa tunachukua muda kidogo kusoma posts za watu hata kwenye thread zingine kabla ya kujibu hapa.
.
Kesi hiyo itakuwa kubwa hadi mshangae, go ahead and do it.
Oh, so that was personal attack, well mimi nilikuwa najua tunachangia mada katika hii thread kumbe wewe unachuki binafsi na mimi pole sana.
Mkuu safari ni ndefu mno tena sana.. Ulichosema ni kweli kabisa. maana hata kuna kipindi alisema wapinzani ni vibaraka wa ccm waliopachikwa ili kutetea maslahi ya ccm ! guess what he did next ? akaungana nao hao hao ! pale ndio kama alinipiga konzi kichwani !
Hili suala pia watu wanataka tukae kimya, kimya for what ?
Mtu makini hawezi kusema alichosema mbowe hata siku moja, na nitafurahi sana nikiona pale mbowe atakapoenda polisi mwenyewe kwa kutaka na kutoa info zaidi ili detectives waweze kuwabana hao wanaccm wanaowaua hao mashahidi wa ufisadi and he will be free !
Mkuu unataka mbowe aende polisi kwa nini?
Walioibia watanzania na polisi kuwa na ushahidi wa kutosha, polisi hao hao wanakwenda kuwabembeleza hili wawarudishie pesa. Sasa unataka kutwambia sheria za tanzania zinabagua? Apelekwe kwa lipi?
Oh, so that was personal attack, well mimi nilikuwa najua tunachangia mada katika hii thread kumbe wewe unachuki binafsi na mimi pole sana.
Mkuu unataka mbowe aende polisi kwa nini?
Walioibia watanzania na polisi kuwa na ushahidi wa kutosha, polisi hao hao wanakwenda kuwabembeleza hili wawarudishie pesa. Sasa unataka kutwambia sheria za tanzania zinabagua? Apelekwe kwa lipi?
Mafisadi wakubwa kwa udogo wanajitokeza taratibu, Kada endeleza hii thread ili mafisadi wote hapa JF wajulikane.
.