Kadampinzani asema: MBOWE AHOJIWE!

Status
Not open for further replies.
Kazi kweli kweli naona mambo ya touchy, mushy,

Hapa mafisadi hawakopeshwi mpaka wakione hiki kijiwe kichungu au wawe passive kama baadhi yao hapa walivyoamua kubadilika na kupambana na ufisadi au kukaa kimya.
 
angalia usije ukaondoka wewe tu na ukatuacha wengine hapa JF tunapeta !
 
Kumbe nimeshajua wapi umepotoka sio kila mtu anaekuwa tofauti na wewe ni CCM, nmechangia thread hii kwa sababu nimeona kada ana point

We fikiria kama kila anejua siri ya ufisadi akiwa anauwawa hizo priorities za buzwagi, IPTL, richmond and so on ni nani atazisimamia?

Muache Mbowe aseme hizo njia za mauaji zinazo tumika ili tuzizuie na tuendelee kuwaweka wazi mafisadi bila ya kuogopa kuuwawa!

Wewe ni fisadi na nimesoma posts zako nyingi kabla sijakuita hivi. Wengine hapa tunachukua muda kidogo kusoma posts za watu hata kwenye thread zingine kabla ya kujibu hapa.

Mimi simzuii Mbowe kusema chochote ila nawakumbusha nyie mafisadi kuwa hamtafanikiwa kubadili mwelekeo wa forum kwa side shows. Hata hivyo bado nawashauri ccm wafuate ushauri wa fisadi kada na wamshitaki MBowe ili hata kina Mkapa wapatikane na kutoa statement zao.

Kesi hiyo itakuwa kubwa hadi mshangae, go ahead and do it.
 
dogo ushasema mwenyewe humjui mbowe,then you need to dumb it down slim ! na aliyekwambia hii ni kesi nani ? hadi utakapoelewa wanachoandika big dogs ndio uje hapa, lakini kwa sasa wengine tunaenjoy frustrations zako dogo ! and keep that frustrations freenzy going on maana wengine tunakuwa motivated by that !
 
Ukitaka kujuwa uozo wa wapinzani basi soma kauli za Mbowe....wakati mwingine anatia huruma. Bora amwachie Zitto na Chacha....angalau pumba zao zinafanana na mchele.

Inauzunisha pale rais mtarajiwa anapobwabwaja kwa kutumia consipiracy theories alizozipata kutoka magengeni.....tuna safari ndefu kuelekea maisha bora!
 
Mafisadi kama wewe mtapeta wapi? Angalia hii forum ni 95% against nyie mafisadi, Huko kupeta mtapeta hapa?

tatizo sio kuwa against something booty man ! be for something penny-head ! dont just talk about it, be about it chi chi man !

and kadampinzani is being about it ! soma nilichoandika na itakuchukua muda mrefu but you will finally get it !
 
Ukitaka kujuwa uozo wa wapinzani basi soma kauli za Mbowe....wakati mwingine anatia huruma. Bora amwachie Zitto na Chacha....angalau pumba zao zinafanana na mchele.

Inauzunisha pale rais mtarajiwa anapobwabwaja kwa kutumia consipiracy theories alizozipata kutoka magengeni.....tuna safari ndefu kuelekea maisha bora!

Sasa wewe Mkuu Mgonjwa unataka nani akuletee maisha bora?

Yule aliyepembeni au yule anayechukua kila kilichochako?

Mimi nilitegemea hizo shutuma za maisha bora ziwaendee wale wa kauli mbiu, waliohaidi watanzania kuwa sasa milo miwili ruksa na baada ya kufika madarakani wakaanza kura badala ya watanzania.
 
Ukitaka kujuwa uozo wa wapinzani basi soma kauli za Mbowe....wakati mwingine anatia huruma. Bora amwachie Zitto na Chacha....angalau pumba zao zinafanana na mchele.

Inauzunisha pale rais mtarajiwa anapobwabwaja kwa kutumia consipiracy theories alizozipata kutoka magengeni.....tuna safari ndefu kuelekea maisha bora
!

Mkuu safari ni ndefu mno tena sana.. Ulichosema ni kweli kabisa. maana hata kuna kipindi alisema wapinzani ni vibaraka wa ccm waliopachikwa ili kutetea maslahi ya ccm ! guess what he did next ? akaungana nao hao hao ! pale ndio kama alinipiga konzi kichwani !

Hili suala pia watu wanataka tukae kimya, kimya for what ?

Mtu makini hawezi kusema alichosema mbowe hata siku moja, na nitafurahi sana nikiona pale mbowe atakapoenda polisi mwenyewe kwa kutaka na kutoa info zaidi ili detectives waweze kuwabana hao wanaccm wanaowaua hao mashahidi wa ufisadi and he will be free !
 
Chuki zako dhidi ya mbowe na mapenzi yako dhidi ya ufisadi yatathibitika hapa kadri hii thread inavyoendelea. Hutakuwa na haja tena ya kuwaambia watu wasome sijui posts zako za mwanzo maana kila unachoendelea kuandika kinaonyesha jinsi unavyofurahia wizi na ufisadi wa ccm.
 
Sasa wewe Mkuu Mgonjwa unataka nani akuletee maisha bora?

Yule aliyepembeni au yule anayechukua kila kilichochako?

Mimi nilitegemea hizo shutuma za maisha bora ziwaendee wale wa kauli mbiu, waliohaidi watanzania kuwa sasa milo miwili ruksa na baada ya kufika madarakani wakaanza kura badala ya watanzania.

kakindo mzee,

lakini kwa hapa (hawa mashahidi wanaouliwa na ccm na mbowe anajua) sidhani kama hili suala ni la kichama ~ watu wanauliwa nenda rudi na mbowe anajua info zaidi kwamba ni ccm ndio wanaowaua hao wanaotoa ushahidi juu ya mafisadi na mwenyewe anadai kwamba watauwana hadi wataisha na wakiisha nani atahojiwa ?? kabla hawajaisha, mbowe nakushauri uende ukasema in more details ulichosema, na kama hao majamaa wataendelea kuuawana waendelee !
 
Wewe ni fisadi na nimesoma posts zako nyingi kabla sijakuita hivi. Wengine hapa tunachukua muda kidogo kusoma posts za watu hata kwenye thread zingine kabla ya kujibu hapa.

.

Kesi hiyo itakuwa kubwa hadi mshangae, go ahead and do it.

Oh, so that was personal attack, well mimi nilikuwa najua tunachangia mada katika hii thread kumbe wewe unachuki binafsi na mimi pole sana.
 
Mkuu safari ni ndefu mno tena sana.. Ulichosema ni kweli kabisa. maana hata kuna kipindi alisema wapinzani ni vibaraka wa ccm waliopachikwa ili kutetea maslahi ya ccm ! guess what he did next ? akaungana nao hao hao ! pale ndio kama alinipiga konzi kichwani !

Hili suala pia watu wanataka tukae kimya, kimya for what ?

Mtu makini hawezi kusema alichosema mbowe hata siku moja, na nitafurahi sana nikiona pale mbowe atakapoenda polisi mwenyewe kwa kutaka na kutoa info zaidi ili detectives waweze kuwabana hao wanaccm wanaowaua hao mashahidi wa ufisadi and he will be free !

Mkuu unataka mbowe aende polisi kwa nini?

Walioibia watanzania na polisi kuwa na ushahidi wa kutosha, polisi hao hao wanakwenda kuwabembeleza hili wawarudishie pesa. Sasa unataka kutwambia sheria za tanzania zinabagua? Apelekwe kwa lipi?
 
unataka kesi zianze kwenda cold moja baada ya nyingine every 5 months au ?? angalia zaidi nilichoandika on pg. 1 !
 
Oh, so that was personal attack, well mimi nilikuwa najua tunachangia mada katika hii thread kumbe wewe unachuki binafsi na mimi pole sana.

Mafisadi inabidi muipate kwenye mioyo ili kieleweke. Hakuna mtu mwenye utu anayeweza kuwa na mapenzi na mafisadi au ufisadi. Kinyume cha kupenda ni chuki basi mimi nachukia mafisadi kama wewe.
 
Mkuu unataka mbowe aende polisi kwa nini?

Walioibia watanzania na polisi kuwa na ushahidi wa kutosha, polisi hao hao wanakwenda kuwabembeleza hili wawarudishie pesa. Sasa unataka kutwambia sheria za tanzania zinabagua? Apelekwe kwa lipi?

Ufisadi umemjaa yeye na wenzake huko ccm na wanachoona wao ni chuki zao dhidi ya Mbowe na wenzake wanaojaribu kutetea na kuokoa mali za watanzania.
 
Mafisadi wakubwa kwa udogo wanajitokeza taratibu, Kada endeleza hii thread ili mafisadi wote hapa JF wajulikane.
.

right on point ! lakini keep in mind sio mafisadi tu, bali hata hao wanaouwa mashahidi dhidi ya ufisadi !
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom