Kadampinzani asema: MBOWE AHOJIWE!

Status
Not open for further replies.
Pendekezo lako ni zuri. Ila mimi nilikuwa nadhani kuna listi ndeeefu ya viongozi ambao wanastahili kuhojiwa kwanza kabla hatujakimbilia kumhoji Mheshimiwa Mbowe. Mimi nilikuwa nafikiri wahojiwe kwanza;

1. Benjamin Mkapa - Kwa kuingia dili chafu (kiwira etc) akiwa ikulu, kinyume na maadili ya uongozi.

2. Mkurugenzi wa TAKUKURU - Kwa kukiri hadharani kwamba RICHMOND ni safi, kitu ambacho baadaye kiligundulika kuwa si kweli.

3. JK - (a) Kwa kutotekeleza ahadi yake ya "Maisha Bora kwa wote" aliyoitoa mwaka 2005

( b) Kwa kutoifanyia kazi mpaka leo hii listi ya wauza unga aliyopewa na Amina Chifupa (RIP) pamoja na mikwara yote ya kutaka watu wampelekee majina.

(c) Kwa kutotumia executive power aliyonayo kumweka kifungoni Rais aliyemtangulia licha ya kuwa na vielelezo vyote kwamba alikiuka maadili ya uongozi akiwa Rais wa Jamhuri ya wadanganyika

( d ) Kwa kutowachukulia hatua watendaji wakuu wa serikali (wengine bado wamo madarakani) walioshirikiana na Balali (RIP) katika deals chafu za kuwaongezea wadanganyika umaskini

(e) .............

4. etc etc ...

Kuna wengi sana wa kuwahoji kabla hatujamfikia Mbowe. Kuna maswali mengi sana ambayo wadanganyika tunajiuliza na hatupati majibu yake ambayo niliowataja hapo juu na wengine niliowasahau wangeweza kutupatia kabla hatujamfikiria Mheshimiwa Mbowe.

Wakishahojiwa hao kwanza then ndio ulete rasmi pendekezo la kutaka kumhoji Mbowe. Ama wewe unaonaje ndugu Kada?

Mtetezi wa ufisadi huyo unadhani atakujibu hapa, umesoma chochote siku za karibuni akipondea wizi wa ccm na ufisadi wao? Huyu kuanzia atangaze rasmi kuwa upande wa mafisadi amekuwa hakemei chochote kuhusu ufisadi.

Mimi nawashauri ccm wamfungulie kesi Mbowe ili yote yaliyo sirini yaje wazi na ijulikane kama kweli huyo Ballali amekufa au la.
 
Kwa hiyo wewe ni kati ya wale wanaofanya kazi sio kwa imani yao bali kwa kile ambacho wengine wamefanya? Yaani kwa sababu wengi hapa walikuwa wanakipinga ccm basi wewe ukaamua kuwa mtetezi wa ufisadi?

Watu kama wewe ndio walikuwa wanauza wenzao kuwa watumwa kwa waarabu.

Swali,

Je ulifanikiwa kubadili mwelekeo wa Forum? Wewe unatumiwa na mafisadi na hata mungu hawezi kuwa upande wako. Ndio maana juhudi zako zimeshindwa maana forum imebakia na imeongezeka kupinga ufisadi wa ccm kuliko hata uhamie huko.

Kwa maneno mengine, Kejeli zako dhidi ya wapinzani wa ccm zimejenga watu wengi kuipinga ccm
.

again, sidhani kadampinzani ni talk of the thread. Hapa anayeongelewa ni mbowe na kauli alizotoa. kwa kweli ni maneno mazito sana na tena nakushauri usome tena nilichosema !

Nilichosema ni kwamba, hao mafisadi ni kweli wapo, na sikatai ! Lakini iweje mashuhuda wakuu wa hizo kesi waendelee kuuliwa ili hali Mbowe amekiri hadharani kwamba wanauliwa na ccm halafu hapa tusitake mbowe ahojiwe kwa manufaa ya umma wa watanzania ili hao mashuhuda wasiuliwa na hao wanaccm ili wakamatwe na sheria ifuate mkondo ? Nilichokosea mimi ni nini ?? Kugundulika njia inayotumika kuwaua hao mashuhuda wakuu wa ufisadi au nini haswa nilichokosea, naomba uniambie !

Au wewe huoni kwamba, iwapo hawa mashuhuda (mfano: Ballali na amina chifupa ambao mbowe anadai wameuliwa na ccm) wangekuwa hai tusingepiga hatua kweli katika kuhakiki ufisadi unakomeshwa ? au wewe unafurahia kwa kuwa leo hii sauti za hawa mashuhuda zimesimamishwa na katu hazitosikika tena ?? ni kipi hasa unachojaribu kusema kwamba nimekosea !

Najua Mgaya tuna tofauti, hilo ni jambo la kueleweka. Lakini lets put that bullsh*t to the side, maana your argument is a silly argument in a serious situation !

Huoni kwamba mbowe ata-speed up na kuwapa moyo watu wenye ushahidi na kuwapa moyo wa kuwaanika mafisadi kwa wale wasiokuwa na moyo wa kufanya hivyo kwa kuogopa kuuliwa ??

Hivyo hadi hapo sina cha kuongeza, bali ninachopropose hapa ni Mbowe kuhojiwa !! hili sio suala la kisiasa, kichama, bali ni suala la usalama na manufaa kwa mashuhuda wa ufisadi !
 
Wataweza,

wajaribu kufungua kesi waone nguvu ya watanzania kwenye hii case. Kila mtanzania mwenye uwelewa kidogo tu wa sheria atakuja kumtetea Mbowe.

Na katika hii case ndipo wizi wote na pesa zilizotumika kuiweka ccm ikulu mwaka 2005 zitasemwa na kuandikwa waziwazi.

Nawashauri ccm wafungue kesi hii dhidi ya Mbowe kama wana ubavu

Ha ha haaaaaaaa! Mi confidence ya nguvu! Nimekubali.

Labda kwa sababu itaibua 'masoo' mengine. Lakini kama kesi iki focus kwenye kifo cha Ballali, Mbowe ngoma yake inaweza kuwa ngumu!
 
Mtetezi wa ufisadi huyo unadhani atakujibu hapa, umesoma chochote siku za karibuni akipondea wizi wa ccm na ufisadi wao? Huyu kuanzia atangaze rasmi kuwa upande wa mafisadi amekuwa hakemei chochote kuhusu ufisadi.

Mimi nawashauri ccm wamfungulie kesi Mbowe ili yote yaliyo sirini yaje wazi na ijulikane kama kweli huyo Ballali amekufa au la.

tatizo lako ndio hilo, hili suala sio kuhusu ccm as the way you see it ! Lakini hadi utakapofika mbele na kuelewa ninachosema, ndio utajua nilichokuwa najua !

Na pia nadhani utakuwa hunitendei haki unaposema sitetei ufisadi ! Hayo ni maoni yako, and you have every right to express your thoughts, but they are dead-wrong thoughts ! i'll be happy if you trash those thoughts and carry on new ideas.

Bado tu hutaki mbowe ahojiwe ili watu wasitishiwe maisha yao katika kuhakikisha wapo salama ??
 
Ha ha haaaaaaaa! Mi confidence ya nguvu! Nimekubali.

Labda kwa sababu itaibua 'masoo' mengine. Lakini kama kesi iki focus kwenye kifo cha Ballali, Mbowe ngoma yake inaweza kuwa ngumu!

Nadhani Mgaya na wengi ndani humu hawajaelewa nilichomaanisha ! Hapa sio kufungua "case kuwa against na mbowe".. bali ni mahojiano ambayo yanatakiwa yafanyike ili ijulikane/kuiweka kikomo njia inayotumika kuuwa viongozi ambayo MBOWE amesema imetumika na ccm kuwauwa amina chifupa na ballali ! now people are getting things all twisted up, sijui kuwa against na mbowe! thats what they say, but what am saying ni kwamba mbowe ahojiwe kuhusiana na kauli zake kwamba amina chifupa, na akina ballali wameuliwa.. na akasema watauana zaidi hadi wamalizane ! wakimalizana will that solve anything for us tznians ? NO, sasa before hawajamalizana, nitafutahi kwanza watambulike na njia inayotumika kuua hao viongozi ili "chetu" kirudishwe then kama watataka kuuana they can go ahead !
 
Wataweza,

wajaribu kufungua kesi waone nguvu ya watanzania kwenye hii case. Kila mtanzania mwenye uwelewa kidogo tu wa sheria atakuja kumtetea Mbowe.

Na katika hii case ndipo wizi wote na pesa zilizotumika kuiweka ccm ikulu mwaka 2005 zitasemwa na kuandikwa waziwazi.

Nawashauri ccm wafungue kesi hii dhidi ya Mbowe kama wana ubavu

hahaaa ! endelea kuchangamsha barza !
 
Lakini kama ukisoma mwanzo wa post ya Kada utagundua kwamba ana nia nzuri tu na Watanzania kwa ujumla.Yeye anachopendekeza ni kwamba Mbowe asihojiwe kwa ubaya ila atuambie sisi watanzania hao mafisadi(CCM par say) wanatumia mbinu gani kuua watu ili tuziweke wazi na hatimae kuzuia vifo vingine vya raia wema visitokee
 
again, sidhani kadampinzani ni talk of the thread. Hapa anayeongelewa ni mbowe na kauli alizotoa. kwa kweli ni maneno mazito sana na tena nakushauri usome tena nilichosema !

Nilichosema ni kwamba, hao mafisadi ni kweli wapo, na sikatai ! Lakini iweje mashuhuda wakuu wa hizo kesi waendelee kuuliwa ili hali Mbowe amekiri hadharani kwamba wanauliwa na ccm halafu hapa tusitake mbowe ahojiwe kwa manufaa ya umma wa watanzania ili hao mashuhuda wasiuliwa na hao wanaccm ili wakamatwe na sheria ifuate mkondo ? Nilichokosea mimi ni nini ?? Kugundulika njia inayotumika kuwaua hao mashuhuda wakuu wa ufisadi au nini haswa nilichokosea, naomba uniambie !

Au wewe huoni kwamba, iwapo hawa mashuhuda (mfano: Ballali na amina chifupa ambao mbowe anadai wameuliwa na ccm) wangekuwa hai tusingepiga hatua kweli katika kuhakiki ufisadi unakomeshwa ? au wewe unafurahia kwa kuwa leo hii sauti za hawa mashuhuda zimesimamishwa na katu hazitosikika tena ?? ni kipi hasa unachojaribu kusema kwamba nimekosea !

Najua Mgaya tuna tofauti, hilo ni jambo la kueleweka. Lakini lets put that bullsh*t to the side, maana your argument is a silly argument in a serious situation !

Huoni kwamba mbowe ata-speed up na kuwapa moyo watu wenye ushahidi na kuwapa moyo wa kuwaanika mafisadi kwa wale wasiokuwa na moyo wa kufanya hivyo kwa kuogopa kuuliwa ??

Hivyo hadi hapo sina cha kuongeza, bali ninachopropose hapa ni Mbowe kuhojiwa !! hili sio suala la kisiasa, kichama, bali ni suala la usalama na manufaa kwa mashuhuda wa ufisadi !

Wewe ni fisadi tu na hilo nitalisema hapa mpaka jua likichwa na kuzama.

Kweli kabisa, Mbowe ahojiwe kabla wezi wa EPA na BOT hawajahojiwa? Mbowe ahojiwe kabla mhusika wa Richmond na Kiwira ajahojiwa, Mbowe ahojiwa kabla mhusika wa Buzwagi ajahojiwa? Mbowe ahojiwe kabla yule aliyenunua ndege mbovu ya raisi ajahojiwa?

Wewe kweli ni fisadi hadi kwenye damu, humuogopi mungu wewe?
 
Lakini kama ukisoma mwanzo wa post ya Kada utagundua kwamba ana nia nzuri tu na Watanzania kwa ujumla.Yeye anachopendekeza ni kwamba Mbowe asihojiwe kwa ubaya ila atuambie sisi watanzania hao mafisadi(CCM par say) wanatumia mbinu gani kuua watu ili tuziweke wazi na hatimae kuzuia vifo vingine vya raia wema visitokee

ALikuwa na nia gani nzuri zaidi ya kupoteza mwelekeo, nchi inalia kwa IPTL, richmond, EPA, Kiwira , BUzwagi nk na wewe na wenzako huko ufisadi wa ccm mnaona kuwa MBowe ndiye prioriity?
 
Ha ha haaaaaaaa! Mi confidence ya nguvu! Nimekubali.

Labda kwa sababu itaibua 'masoo' mengine. Lakini kama kesi iki focus kwenye kifo cha Ballali, Mbowe ngoma yake inaweza kuwa ngumu!

Mimi nawashauri ccm wafuate ushauri wa fisadi mwenzao kada na kumhoji au kumfungulia mashitaka Mbowe kwenye hii issue ya Balali.
 
Kada,

Dakika chache zilizopita nimekupatia short list ya baadhi ya viongozi walioshikilia "sensitive issues" vichwani mwao ambazo zinasumbua vichwa vya Wadanganyika wengi, mimi nikiwemo. Ingawa hiyo listi haijaandikwa chronologically, but I think kuna mambo mengi ambayo yametokea tangu uongozi wa sasa uingie madarakani.

Mimi swali langu ni moja tu; Dont you think that viongozi wa Wadanganyika wangehojiwa (kwa kufuatia mfumo wa "first come - first served") kulingana na matukio yalivyotokea? By the time tunamfikia Mbowe ambaye katupa taarifa hizi masaa machache yaliyopita tutakuwa tumewatendea mema wadanganyika. Wewe unaonaje kwa hili?
 
Nadhani Mgaya na wengi ndani humu hawajaelewa nilichomaanisha ! Hapa sio kufungua "case kuwa against na mbowe".. bali ni mahojiano ambayo yanatakiwa yafanyike ili ijulikane/kuiweka kikomo njia inayotumika kuuwa viongozi ambayo MBOWE amesema imetumika na ccm kuwauwa amina chifupa na ballali ! now people are getting things all twisted up, sijui kuwa against na mbowe! thats what they say, but what am saying ni kwamba mbowe ahojiwe kuhusiana na kauli zake kwamba amina chifupa, na akina ballali wameuliwa.. na akasema watauana zaidi hadi wamalizane ! wakimalizana will that solve anything for us tznians ? NO, sasa before hawajamalizana, nitafutahi kwanza watambulike na njia inayotumika kuua hao viongozi ili "chetu" kirudishwe then kama watataka kuuana they can go ahead !

Fisadi wewe nani atakuelewa?

Ukidai kuwa wezi wa richmonduli, buzwagi, epa, kiwira, rada, ndege na mengine yote wahojiwe utaeleweka zaidi.

Waambie wafungue kesi kama wataweza, laana ya mungu itakuwa juu ya mafisadi na watetezi hao.
 
Pendekezo lako ni zuri. Ila mimi nilikuwa nadhani kuna listi ndeeefu ya viongozi ambao wanastahili kuhojiwa kwanza kabla hatujakimbilia kumhoji Mheshimiwa Mbowe. Mimi nilikuwa nafikiri wahojiwe kwanza;

1. Benjamin Mkapa - Kwa kuingia dili chafu (kiwira etc) akiwa ikulu, kinyume na maadili ya uongozi.

2. Mkurugenzi wa TAKUKURU - Kwa kukiri hadharani kwamba RICHMOND ni safi, kitu ambacho baadaye kiligundulika kuwa si kweli.

3. JK - (a) Kwa kutotekeleza ahadi yake ya "Maisha Bora kwa wote" aliyoitoa mwaka 2005, ambayo tumekuja shtukia kuwa alikuwa akiielekeza ahadi hiyo kwa washkaji wake wote (Maisha Bora kwa washkaji wote) na kwa bahati mbaya na sisi wananchi wa kawaida tukafikiria na sisi tumo humo ushkajini, kitu ambacho with time tumekuja ku-prove kuwa ni flat wrong.

( b) Kwa kutoifanyia kazi mpaka leo hii listi ya wauza unga aliyopewa na Amina Chifupa (RIP) pamoja na mikwara yote ya kutaka watu wampelekee majina.

(c) Kwa kutotumia executive power aliyonayo kumweka kifungoni Rais aliyemtangulia licha ya kuwa na vielelezo vyote kwamba alikiuka maadili ya uongozi akiwa Rais wa Jamhuri ya wadanganyika

( d ) Kwa kutowachukulia hatua watendaji wakuu wa serikali (wengine bado wamo madarakani) walioshirikiana na Balali (RIP) katika deals chafu za kuwaongezea wadanganyika umaskini

(e) .............

4. etc etc ...

Kuna wengi sana wa kuwahoji kabla hatujamfikia Mbowe. Kuna maswali mengi sana ambayo wadanganyika tunajiuliza na hatupati majibu yake ambayo niliowataja hapo juu na wengine niliowasahau wangeweza kutupatia kabla hatujamfikiria Mheshimiwa Mbowe.

Wakishahojiwa hao kwanza then ndio ulete rasmi pendekezo la kutaka kumhoji Mbowe. Ama wewe unaonaje ndugu Kada?

je wakihojiwa hao viongozi uliowataja then MASHAHIDI wakahitajika ili kesi iendelee, keep in mind mbowe kasema hao watu waliouliwa ni kwa sababu walikuwa na ushahidi ! JE HAO MASHAHIDI WAKIULIWA HUKU CASE IKO PENDING STILL, huoni huo ndo utakuwa mwisho wa EPA,KIWIRA, RICHMOND na shabagalagala zoooote hizo ?? Hapo tutailaumu tena ccm kwamba imeua mashahidi ili hali tunajua kwamba mbowe anajua zaidi kwamba ni ccm inaoua hao mashahidi ??

Umesema mengi muhimu, lakini its just a matter of configuration, which goes first and what comes next ! Akihojiwa mbowe then hayo uliyosema yatafuata smoothly !
 
Naam ni yule mwenyekiti chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Aikaeli Mbowe. Wiki iliyopita aliweza kutoa maneno makali ambayo kwa kweli ukiangalia kiundani kama unaipenda nchi yako basikamwe hutoweza kuacha hizo kauli ziende tu hivi hivi !

Mbowe ambae anakabiriwa na kesi ya kutolipa mamilioni ya shilingi aliyokopa NSSF aliyokopa kuendesha biashara yake, alisema kwamba vifo vya Marehemu Amina Chifupa na Ballali ambae alikuwa gavana wa benki kuu ya Tanzania wameuliwa na CCM.

Sidhani kama kweli mtu ambae hakumaanisha anaweza kuongea mambo mazito kama haya. Hata kama tofauti za kisiasa mtu mwenye akili timamu hawezi kuongea maneno mazito kama haya halafu ategemee asihojiwe na vyombo vya dola. Kwa kweli nchi yangu ya Tanzania naipenda, na ndio maana nasema Mbowe ahojiwe ili aweze kutoa ushahidi wa kutosha na hao walioshiriki waweze kukamatwa na sheria ishike mkondo wake.

Bwana Mbowe alinukuliwa akisema, "Kuteketea kwa Ballali, tutaamini kuna mkono mchafu wa baadhi ya viongozi wa serikali, kwa sababu ni shahidi muhimu katika vita ya ufisadi. Wasifikiri kufa kwa Ballali, ndiyo mwisho wa mapambano, lakini nawaambia ndiyo kwanza vita ya ufisadi itapamba moto." hapo hapo pia aliendelea na kusema, "“Ufisadi na mchezo mchafu wa CCM, umewatesa watoto wetu, wazazi wetu na sasa basi, tutapambana hadi watakapouana wote waishe. Wamemuua Ballali, Amina Chifupa wataendelea kuuana,” . Hata hivyo Mbowe aliendea kuongea maneno hayo bilaya kutoa ushahidi wa kina ambao unaweza kuwafunga CCM na hao marehemu waliofariki.

- - - - - - - - - - - - - -MWISHO - - - - - - - - - - - - - - - -

Nini kinachotakiwa kifanyike:

(a) Kwa kuwa mbowe ana uhakika kwamba ccm imewaua hao watu, basi afikishwe kwenye vyombo vya dola na kuhojiwa ili kutoa ushahidi mzima.

(b) Kutokana na ushahidi atakaotoa, hao wafuatiliaji waweze kulinganisha na hali halisi ya matukio yaliyotokea ili kupata ukweli !

Naamini Mbowe atakuwa anajua zaidi ya hayo aliyosema, hivyo ahojiwe ili kupatikana ukweli !

Wewew mtoto acha utoto ama waone washauri na madaktari wako wa akili wakupime.Hivi wewe una mtindio wa akili nini??Yani wewe hupati cha kuandika hadi Mbowe aseme??Acha utoto bwana unabore na ushamba wako.Yani unafikiri watu wanakufurahia??tumekuchoka bwana mdogo.
 
Kada,

Dakika chache zilizopita nimekupatia short list ya baadhi ya viongozi walioshikilia "sensitive issues" vichwani mwao ambazo zinasumbua vichwa vya Wadanganyika wengi, mimi nikiwemo. Ingawa hiyo listi haijaandikwa chronologically, but I think kuna mambo mengi ambayo yametokea tangu uongozi wa sasa uingie madarakani.

Mimi swali langu ni moja tu; Dont you think that viongozi wa Wadanganyika wangehojiwa (kwa kufuatia mfumo wa "first come - first served") kulingana na matukio yalivyotokea? By the time tunamfikia Mbowe ambaye katupa taarifa hizi masaa machache yaliyopita tutakuwa tumewatendea mema wadanganyika. Wewe unaonaje kwa hili?

Sidhani kama ana jibu la hakika kwenye hili,

Yuko obsessed na Mbowe, soma signature yake.
Yuko kwenye kazi ya kumshambulia Mbowe na CHadema hapa kwa kila wanachofanya. Yeye hana uchungu kabisa na maisha ya watanzania.
 
Lakini kama ukisoma mwanzo wa post ya Kada utagundua kwamba ana nia nzuri tu na Watanzania kwa ujumla.Yeye anachopendekeza ni kwamba Mbowe asihojiwe kwa ubaya ila atuambie sisi watanzania hao mafisadi(CCM par say) wanatumia mbinu gani kuua watu ili tuziweke wazi na hatimae kuzuia vifo vingine vya raia wema visitokee

Mafisadi wamehojiwa wangapi mpaka sasa? , kuna kazi nyingi za kufanya kabla ya kufikiria hili la mbowe Mkuu. Hivi kwa nini hawakumhoji Balali akiwa tanzania wakati ule badala yake wakaunda tume wakati majibu walikuwa nayo?

Kuna kipya alichokitoa ern&yng au ni yale yale yaliyokuwa tayari yanaeleweka? waambie wasipoteze muda wa kujiongezea kazi wakati zile za zamani zimewashindA.
 
Kada,

Dakika chache zilizopita nimekupatia short list ya baadhi ya viongozi walioshikilia "sensitive issues" vichwani mwao ambazo zinasumbua vichwa vya Wadanganyika wengi, mimi nikiwemo. Ingawa hiyo listi haijaandikwa chronologically, but I think kuna mambo mengi ambayo yametokea tangu uongozi wa sasa uingie madarakani.

Mimi swali langu ni moja tu; Dont you think that viongozi wa Wadanganyika wangehojiwa (kwa kufuatia mfumo wa "first come - first served") kulingana na matukio yalivyotokea? By the time tunamfikia Mbowe ambaye katupa taarifa hizi masaa machache yaliyopita tutakuwa tumewatendea mema wadanganyika. Wewe unaonaje kwa hili?

Ok ! not a bad idea ! lakini wakihojiwa hao kwanza, then watu wanaotakiwa kujustify kama hizo claims ni za kweli au la, then mmoja baaada ya mwingine katika hao mashahidi wakaanza kudedi na case zikaturn COLD, ITAKUWAJE HAPO ?? maana hili la ballali mzee, trust me, the sh*t will go cold like it never happened !
 
je wakihojiwa hao viongozi uliowataja then MASHAHIDI wakahitajika ili kesi iendelee, keep in mind mbowe kasema hao watu waliouliwa ni kwa sababu walikuwa na ushahidi ! JE HAO MASHAHIDI WAKIULIWA HUKU CASE IKO PENDING STILL, huoni huo ndo utakuwa mwisho wa EPA,KIWIRA, RICHMOND na shabagalagala zoooote hizo ?? Hapo tutailaumu tena ccm kwamba imeua mashahidi ili hali tunajua kwamba mbowe anajua zaidi kwamba ni ccm inaoua hao mashahidi ??

Umesema mengi muhimu, lakini its just a matter of configuration, which goes first and what comes next ! Akihojiwa mbowe then hayo uliyosema yatafuata smoothly !

Mafisadi hata mjaribu kubadili kasi ya watanzania kudai haki zao hamtafanikiwa. Wana JF hapa watakushambulia hadi ushangae.

Watu wamechoka na ufisadi wa ccm na wewe na wenzako lazima mjue hilo sasa. Wakati wa zidumu fikra za mwenyekiti wa ccm umepita.
 
ALikuwa na nia gani nzuri zaidi ya kupoteza mwelekeo, nchi inalia kwa IPTL, richmond, EPA, Kiwira , BUzwagi nk na wewe na wenzako huko ufisadi wa ccm mnaona kuwa MBowe ndiye prioriity?

Kumbe nimeshajua wapi umepotoka sio kila mtu anaekuwa tofauti na wewe ni CCM, nmechangia thread hii kwa sababu nimeona kada ana point

We fikiria kama kila anejua siri ya ufisadi akiwa anauwawa hizo priorities za buzwagi, IPTL, richmond and so on ni nani atazisimamia?

Muache Mbowe aseme hizo njia za mauaji zinazo tumika ili tuzizuie na tuendelee kuwaweka wazi mafisadi bila ya kuogopa kuuwawa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom