tuache kudanganyana, taifa kubwa mtakuwa wairaqw? labda kwa uvivu, umalaya, na ushamba. Kila mahali nyumba ya wageni kwanini ? hafu guest house zenyewe za chap chap! du mnatisha.
Kuna uwezekano mkubwa wa kabila la Kiiraqw lilopo mkoa wa manyara kupotea kabisa au asili ya watu hawa kupotea kabisa siku za mbeleni. na hasa ukizingatia na udogo wa kabila lenyewe. Hii ni kutokana na sheria zao kali za kimila zinazoweka mazingira magumu sana ya wenyewe kwa wenyewe kuoana na kusababisha asilimia kubwa ya watu kulazimika kuoa au kuolewa na makabila mengine, sisemi kama kuna ubaya kuoa au kuolewa na makabila mengine. Katika hili kabila kuna kitu kinaitwa DAWI, maana ya DAWI ni uhusiano wa kikoo au kidamu kati ya watu wawili, hata kama ni kitukuu wa kitukuu ambaye Bibi yake ni ukoo wako basi huwezi kumuoa au kuolewa naye kwasababu atakuwa ni DAWI yako. Sasa kutokana na udogo wa hili kabila vijana wengi walioanzisha uhusiano wamejikuta wameingia kwenye huo mtego na kushindwa kuoana.
kweli hawa ndio zao malaya na wengi ni wauzaji wa mabaa, mtoto anavyokuwa mdogo hukabidhiwa opener ya kufungua bia mabinti wakimbulu husifika mjini arusha kama wauzaji wa baa na wafanyakazi wandani
Uendelee hadi Endalaqanet,Dareda, Maganjwa, Masqaroda, Gudedesh, Endasak, Nangwa, Giting, Sabilo, Basoduqwang, Endagaw,Sigino..............
Pamoja na sababu hiyo, kabila la ki-Iraqw ni wengi sidhani kama litapotea. Ukianzia Karatu, Daudi, Masieda, Bargish antsi, Arri, Mbulu mjini, Anslay, Gehandu, Gedamar, Titiwi, Kwermusl, Khaday, Kainamu, Nahasey, Tsaayo-raat, Hayloto, Murray, Qwam, Kuta, Siday, Tlawi, Masqaroda, Diyomati, Bashay, Dongobesh, Tumati, Mongahay, Endoji, Bashnet, Gidhim, Maretadu, Gibdiyo, Gidmadoy, Gidarudadaw, Simhha, Haydrer, Semonyandi, Mewadani, Musru, Endagikot, Endaharghadakt, Endamasaki, Endamilay, Endanachan, Endanyawish, Erboshan, Ngwandakw, Yarotamburda, Qatabella, Qamatananat, Qambush, Datlaa, Dumanangw, Endagew, Muguruchan, Maghang, Haydom mpaka kule Murkuchida ni wao tu. Pia kule Yaeda chini na Mungowamono kwa Wahadzabe wapo wachache.
Kuna uwezekano mkubwa wa kabila la Kiiraqw lilopo mkoa wa manyara kupotea kabisa au asili ya watu hawa kupotea kabisa siku za mbeleni. na hasa ukizingatia na udogo wa kabila lenyewe. Hii ni kutokana na sheria zao kali za kimila zinazoweka mazingira magumu sana ya wenyewe kwa wenyewe kuoana na kusababisha asilimia kubwa ya watu kulazimika kuoa au kuolewa na makabila mengine, sisemi kama kuna ubaya kuoa au kuolewa na makabila mengine. Katika hili kabila kuna kitu kinaitwa DAWI, maana ya DAWI ni uhusiano wa kikoo au kidamu kati ya watu wawili, hata kama ni kitukuu wa kitukuu ambaye Bibi yake ni ukoo wako basi huwezi kumuoa au kuolewa naye kwasababu atakuwa ni DAWI yako. Sasa kutokana na udogo wa hili kabila vijana wengi walioanzisha uhusiano wamejikuta wameingia kwenye huo mtego na kushindwa kuoana.
Aiseee hii ni tanzania ama?
Mkuu haya majina mbona yanafanana na baadhi ya mitaa ya ulaya? is there any relationship? origin ya hawa wairaqw ni wapi? ...interesting...Pamoja na sababu hiyo, kabila la ki-Iraqw ni wengi sidhani kama litapotea. Ukianzia Karatu, Daudi, Masieda, Bargish antsi, Arri, Mbulu mjini, Anslay, Gehandu, Gedamar, Titiwi, Kwermusl, Khaday, Kainamu, Nahasey, Tsaayo-raat, Hayloto, Murray, Qwam, Kuta, Siday, Tlawi, Masqaroda, Diyomati, Bashay, Dongobesh, Tumati, Mongahay, Endoji, Bashnet, Gidhim, Maretadu, Gibdiyo, Gidmadoy, Gidarudadaw, Simhha, Haydrer, Semonyandi, Mewadani, Musru, Endagikot, Endaharghadakt, Endamasaki, Endamilay, Endanachan, Endanyawish, Erboshan, Ngwandakw, Yarotamburda, Qatabella, Qamatananat, Qambush, Datlaa, Dumanangw, Endagew, Muguruchan, Maghang, Haydom mpaka kule Murkuchida ni wao tu. Pia kule Yaeda chini na Mungowamono kwa Wahadzabe wapo wachache.
Mkuu haya majina mbona yanafanana na baadhi ya mitaa ya ulaya? is there any relationship? origin ya hawa wairaqw ni wapi? ...interesting...