Kabila la Kiiraqw laweza kupotea kabisa Tanzania

Pamoja na sababu hiyo, kabila la ki-Iraqw ni wengi sidhani kama litapotea. Ukianzia Karatu, Daudi, Masieda, Bargish antsi, Arri, Mbulu mjini, Anslay, Gehandu, Gedamar, Titiwi, Kwermusl, Khaday, Kainamu, Nahasey, Tsaayo-raat, Hayloto, Murray, Qwam, Kuta, Siday, Tlawi, Masqaroda, Diyomati, Bashay, Dongobesh, Tumati, Mongahay, Endoji, Bashnet, Gidhim, Maretadu, Gibdiyo, Gidmadoy, Gidarudadaw, Simhha, Haydrer, Semonyandi, Mewadani, Musru, Endagikot, Endaharghadakt, Endamasaki, Endamilay, Endanachan, Endanyawish, Erboshan, Ngw’andakw, Yarotamburda, Qatabella, Qamatananat, Qambush, Datlaa, Dumanangw, Endagew, Muguruchan, Maghang, Haydom mpaka kule Murkuchida ni wao tu. Pia kule Yaeda chini na Mungowamono kwa Wahadzabe wapo wachache.
Mbona majina mengi ya maeneo uliyoyataja ni majina ya kimang'ati?
 
Mbona majina mengi ya maeneo uliyoyataja ni majina ya kimang'ati?
Mbona majina mengi ya maeneo uliyoyataja ni majina ya kimang'ati?
Kiasili wairaqw ni wakulima,wamangati ni wafugaji!maeneo yote ukifuatilia yana asili ya majina ya kimang'ati kwa sababu mwiraq anapofyeka sehemu kwa ajili ya kilimo,mbarbaing anasongea mbele!wakisogea mwiraq naye anasogea akiwa anaendelea kulima !the mangati they were then driven away leaving back majina yao ya asili!
 
Kiasili wairaqw ni wakulima,wamangati ni wafugaji!maeneo yote ukifuatilia yana asili ya majina ya kimang'ati kwa sababu mwiraq anapofyeka sehemu kwa ajili ya kilimo,mbarbaing anasongea mbele!wakisogea mwiraq naye anasogea akiwa anaendelea kulima !the mangati they were then driven away leaving back majina yao ya asili!
Dumisha mila ile ingine kusha shindwa.
 
Hakuna mtu mwenye asili ya Tanzania. Wairaqw wanaaminika ndio waliohamia East Africa mapema zaidi kuliko makabila mengine ya Kibantu na nilotes na kwamba waliwakuta Bushmen(Khoisan speaking tribes like Hadza and tsandawe). For your information, Tanzania (mainly Manyara Region) is the only place in the continent where the four major African language families - Bantu, Khoisan, Cushitic, and Nilotic - occur together. Iraqw is the only tribe of Cushitic origin in the region as they grew totally isolated from their original Cushitic cluster who settled in Horn of Africa and southern Kenya. By no means kabila hili itakuja potea if it survived for so long...

Wairaq ni watanzania pure na kama ulivyosema hujakosea. Kihistoria hawa wameishi east africa muda mrefu kuliko wabantu ambao ni wengi Tanzania.
 
Endelea bado bagara,mamire,kiru,riroda,himiti,boay,gidas,bonga,galapo etc
 
Mbona wananitisha na Mimi Nina mpango wa kuoa muiraq.. Eti ni kweli sio wachoyo?
 
Pamoja na sababu hiyo, kabila la ki-Iraqw ni wengi sidhani kama litapotea. Ukianzia Karatu, Daudi, Masieda, Bargish antsi, Arri, Mbulu mjini, Anslay, Gehandu, Gedamar, Titiwi, Kwermusl, Khaday, Kainamu, Nahasey, Tsaayo-raat, Hayloto, Murray, Qwam, Kuta, Siday, Tlawi, Masqaroda, Diyomati, Bashay, Dongobesh, Tumati, Mongahay, Endoji, Bashnet, Gidhim, Maretadu, Gibdiyo, Gidmadoy, Gidarudadaw, Simhha, Haydrer, Semonyandi, Mewadani, Musru, Endagikot, Endaharghadakt, Endamasaki, Endamilay, Endanachan, Endanyawish, Erboshan, Ngw’andakw, Yarotamburda, Qatabella, Qamatananat, Qambush, Datlaa, Dumanangw, Endagew, Muguruchan, Maghang, Haydom mpaka kule Murkuchida ni wao tu. Pia kule Yaeda chini na Mungowamono kwa Wahadzabe wapo wachache.uko vizuri mkuu nimejaribu kutamka naoana sauti imekataa
 
Issue ya kuchunguza daawi wakati wa mchakato wa ndoa ipo ila cricital follow-up ya family trees za kila upande imepunga nowadays. Pia kuna faini huwa inaweza kulipwa kama kuna kauhusiano baina ya wachumba.
Suala la utunzaji wa mila na tamaduni nzuri ni tatizo kwa kabila la wairaqw.

Wimbo wenyewe wanaimba kwa kiswahili, haina ladha walitakiwa kuimba ki iraqw.
 
wewe hujui kabisa historia ya Wairaqw. Hawana uhusiano wowote na Iraq na hawawezi kupotea kwenye ramani ya Tz.
Historia inasema walitokea hapo Ethiopia(kush).
Ila sasa mbona kila mtoto anaitwa zakaria,au daudi
 
Kuna uwezekano mkubwa wa kabila la Kiiraqw lilopo mkoa wa Manyara kupotea kabisa au asili ya watu hawa kupotea kabisa siku za mbeleni na hasa ukizingatia na udogo wa kabila lenyewe.

Hii ni kutokana na sheria zao kali za kimila zinazoweka mazingira magumu sana ya wenyewe kwa wenyewe kuoana na kusababisha asilimia kubwa ya watu kulazimika kuoa au kuolewa na makabila mengine, sisemi kama kuna ubaya kuoa au kuolewa na makabila mengine.

Katika hili kabila kuna kitu kinaitwa DAWI, maana ya DAWI ni uhusiano wa kikoo au kidamu kati ya watu wawili, hata kama ni kitukuu wa kitukuu ambaye Bibi yake ni ukoo wako basi huwezi kumuoa au kuolewa naye kwasababu atakuwa ni DAWI yako.

Sasa kutokana na udogo wa hili kabila vijana wengi walioanzisha uhusiano wamejikuta wameingia kwenye huo mtego na kushindwa kuoana.
Hawa ndio wenye Bonde la Ngorongoro
Mwaka 1959, serikali ya mkoloni ya Mwingereza iliwahamisha Wamasai kutoka mbuga ya Serengeti, na walihamishiwa Ngorongoro, ili Serengeti wabaki wanyama tuu, na Ngorongoro, iwe na wafugaji na wanyama Pori, ila hawakuruhusiwa kulima wala kujenga makazi ya kudumu, walipewa huduma zote bure. Wamasai wakazidi kuongezeka huku wenye Ngorongoro yao wakizidi kusinyaa.

Hivyo serikali inapopanga kuwahamishia Lushoto is doing the right thing. Ila kuhama huku ni kwa hiyari hakuna ansyehamishwa kwa nguvu.
Tuiaminie Serikali yetu ina nia na dhamira njema na raia wake wote wakiwemo wana Ngorongoro.
P
 
Back
Top Bottom