Kabila la Kiiraqw laweza kupotea kabisa Tanzania

tuache kudanganyana, taifa kubwa mtakuwa wairaqw? labda kwa uvivu, umalaya, na ushamba. Kila mahali nyumba ya wageni kwanini ? hafu guest house zenyewe za chap chap! du mnatisha.

kweli hawa ndio zao malaya na wengi ni wauzaji wa mabaa, mtoto anavyokuwa mdogo hukabidhiwa opener ya kufungua bia mabinti wakimbulu husifika mjini arusha kama wauzaji wa baa na wafanyakazi wandani
 
Wairaqw husifika kwa uaminifu ndiyo maana hupewa kazi kama hizo kwani kuuza baa ni umalaya au huduma?
Je, kuuza baa ndiyo kunaweza kupoteza kabila la Kiiraqw au wewe NYAMULEHA JR una bifu zako na kabila?
 
Kuna uwezekano mkubwa wa kabila la Kiiraqw lilopo mkoa wa manyara kupotea kabisa au asili ya watu hawa kupotea kabisa siku za mbeleni. na hasa ukizingatia na udogo wa kabila lenyewe. Hii ni kutokana na sheria zao kali za kimila zinazoweka mazingira magumu sana ya wenyewe kwa wenyewe kuoana na kusababisha asilimia kubwa ya watu kulazimika kuoa au kuolewa na makabila mengine, sisemi kama kuna ubaya kuoa au kuolewa na makabila mengine. Katika hili kabila kuna kitu kinaitwa DAWI, maana ya DAWI ni uhusiano wa kikoo au kidamu kati ya watu wawili, hata kama ni kitukuu wa kitukuu ambaye Bibi yake ni ukoo wako basi huwezi kumuoa au kuolewa naye kwasababu atakuwa ni DAWI yako. Sasa kutokana na udogo wa hili kabila vijana wengi walioanzisha uhusiano wamejikuta wameingia kwenye huo mtego na kushindwa kuoana.

Garma lo lowale.

kweli hawa ndio zao malaya na wengi ni wauzaji wa mabaa, mtoto anavyokuwa mdogo hukabidhiwa opener ya kufungua bia mabinti wakimbulu husifika mjini arusha kama wauzaji wa baa na wafanyakazi wandani

kama wauza baa n malaya wanaoenda baa jee n kinani kama sio malaya
hivi ukienda mbeya wauza baa n wambulu au
na dar beki tatu n wawapi
nadhaani jiographia ya akili yako inamuona kila anachuchuma anakunya tu
 
Pamoja na sababu hiyo, kabila la ki-Iraqw ni wengi sidhani kama litapotea. Ukianzia Karatu, Daudi, Masieda, Bargish antsi, Arri, Mbulu mjini, Anslay, Gehandu, Gedamar, Titiwi, Kwermusl, Khaday, Kainamu, Nahasey, Tsaayo-raat, Hayloto, Murray, Qwam, Kuta, Siday, Tlawi, Masqaroda, Diyomati, Bashay, Dongobesh, Tumati, Mongahay, Endoji, Bashnet, Gidhim, Maretadu, Gibdiyo, Gidmadoy, Gidarudadaw, Simhha, Haydrer, Semonyandi, Mewadani, Musru, Endagikot, Endaharghadakt, Endamasaki, Endamilay, Endanachan, Endanyawish, Erboshan, Ngw’andakw, Yarotamburda, Qatabella, Qamatananat, Qambush, Datlaa, Dumanangw, Endagew, Muguruchan, Maghang, Haydom mpaka kule Murkuchida ni wao tu. Pia kule Yaeda chini na Mungowamono kwa Wahadzabe wapo wachache.

Aiseee hii ni tanzania ama?
 
Kuna uwezekano mkubwa wa kabila la Kiiraqw lilopo mkoa wa manyara kupotea kabisa au asili ya watu hawa kupotea kabisa siku za mbeleni. na hasa ukizingatia na udogo wa kabila lenyewe. Hii ni kutokana na sheria zao kali za kimila zinazoweka mazingira magumu sana ya wenyewe kwa wenyewe kuoana na kusababisha asilimia kubwa ya watu kulazimika kuoa au kuolewa na makabila mengine, sisemi kama kuna ubaya kuoa au kuolewa na makabila mengine. Katika hili kabila kuna kitu kinaitwa DAWI, maana ya DAWI ni uhusiano wa kikoo au kidamu kati ya watu wawili, hata kama ni kitukuu wa kitukuu ambaye Bibi yake ni ukoo wako basi huwezi kumuoa au kuolewa naye kwasababu atakuwa ni DAWI yako. Sasa kutokana na udogo wa hili kabila vijana wengi walioanzisha uhusiano wamejikuta wameingia kwenye huo mtego na kushindwa kuoana.

Tunataka life kabisa kabisa, hata kaburi lake lisionekane. Karne ya ishirini na moja mnazungumzia ukabila!!!Kabila linatusaidia nini sisi kama taifa? Source: Jullius Kambarage Nyerere, 1995.
 
Pamoja na sababu hiyo, kabila la ki-Iraqw ni wengi sidhani kama litapotea. Ukianzia Karatu, Daudi, Masieda, Bargish antsi, Arri, Mbulu mjini, Anslay, Gehandu, Gedamar, Titiwi, Kwermusl, Khaday, Kainamu, Nahasey, Tsaayo-raat, Hayloto, Murray, Qwam, Kuta, Siday, Tlawi, Masqaroda, Diyomati, Bashay, Dongobesh, Tumati, Mongahay, Endoji, Bashnet, Gidhim, Maretadu, Gibdiyo, Gidmadoy, Gidarudadaw, Simhha, Haydrer, Semonyandi, Mewadani, Musru, Endagikot, Endaharghadakt, Endamasaki, Endamilay, Endanachan, Endanyawish, Erboshan, Ngw’andakw, Yarotamburda, Qatabella, Qamatananat, Qambush, Datlaa, Dumanangw, Endagew, Muguruchan, Maghang, Haydom mpaka kule Murkuchida ni wao tu. Pia kule Yaeda chini na Mungowamono kwa Wahadzabe wapo wachache.
Mkuu haya majina mbona yanafanana na baadhi ya mitaa ya ulaya? is there any relationship? origin ya hawa wairaqw ni wapi? ...interesting...
 
Ni ngumu makabila kuisha nadani ya muda uliosema, maana Wairaqw wengi sana wanazaliwa na watabaki kuwa maeneo yao ambao bado hayajachanganyika saa makabila miongoni mwao...

Nitaamini ukisema kutakuwa na mchanganyiko mkubwa sana utakaowafanya watu wengine kutojua makabila yao katika maeneo yenye mchanganyiko mkubwa wa watu....

Kuna watu wanashindwa kutunza asili zao na kuchukulia uswahili (na uwestern) kuwa dili sana, na wanawaona wenzao wanao tunza asili yao kuwa ni washamba, kumbe wao hawana tena asili zao (za kikabila)...
 
saitaaa sayuuu............nimekuja na ile ngariii yenyee koroboi juu...aglafuuu ngaranaro ni kubwaa kuliko arushaa
 
Kuna uwezekano mkubwa wa kabila la Kiiraqw lilopo mkoa wa manyara kupotea kabisa au asili ya watu hawa kupotea kabisa siku za mbeleni. na hasa ukizingatia na udogo wa kabila lenyewe. Hii ni kutokana na sheria zao kali za kimila zinazoweka mazingira magumu sana ya wenyewe kwa wenyewe kuoana na kusababisha asilimia kubwa ya watu kulazimika kuoa au kuolewa na makabila mengine, sisemi kama kuna ubaya kuoa au kuolewa na makabila mengine. Katika hili kabila kuna kitu kinaitwa DAWI, maana ya DAWI ni uhusiano wa kikoo au kidamu kati ya watu wawili, hata kama ni kitukuu wa kitukuu ambaye Bibi yake ni ukoo wako basi huwezi kumuoa au kuolewa naye kwasababu atakuwa ni DAWI yako. Sasa kutokana na udogo wa hili kabila vijana wengi walioanzisha uhusiano wamejikuta wameingia kwenye huo mtego na kushindwa kuoana.

Ndugu hili tatizo la kabila na lugha kupotea linaishughurisha sana dunia. UN kupitia UNICEF imetoa takwimu kwamba kati ya jamii na lugha 6000 zilizokuwepo na kuzungumzwa duniani miongo kadhaa iliyopita kwa sasa kuna lugha 3000 tu. Na bado lugha nyingi zinazidi kupotea.

Kwa hapa Tanzania lugha ambayo iko katika hatari zaidi ya kupotea ni Kividunda inazungumzwa Kilosa. Utafiti uliofanywa mapema mwaka 2005 ulionesha kwamba lugha hiyo inazungumzwa na watu 200 tu.

Aidha,miaka ya 1990 iligundulika kwamba lugha fulani iliyokuwa inazungumzwa karne kadhaa zilizopita maeneo ya mipakani mwa Marekani na Canada na ambayo haikuwa na kumbukumbu imeonekana kuzungumzwa na bibi kikongwe mmoja ambaye wakati huo alikuwa na umri wa miaka takribani 110. Ilibidi wataalamu wa sayansi ya lugha - Isimu na wataalamu wa anthropolojia walitumwa kurekodi matamshi, msamiati na sarufi ya lugha hiyo kwa kikongwe hicho ili kuihifadhi.

Pia, lugha ya kiebrania (Hebrew) karne zilizopita ilitoweka na kukaribia kufa kabisa. Serikali ya Israeli ilianza kuchukua hatua kadha za makusudi za kuifufua lugha hiyo. Hadi sasa, kiebrania ni lugha inayofundishwa Israeli na sehemu nyingine duniani. Inazungumzwa huko Israeli.

MADHARA YA LUGHA KUFA AU KUPOTEA
Kuna athari nyingi hutokea lugha inapotoweka. Athari hizo huwa za kiutamaduni, kitaaluma, kihistoria, kuijiografia, kisiasa nk. Kwa mfano, tuseme lugha ya kipare itoweke. Hapo maarifa na amali za kiutamaduni za kipare na mazingira ya upareni nazo zinaweza kupotea. Wapare wana maarifa mengi kuhusu utamaduni na maarifa kuhusu mazingira yao kupitia lugha yao. Utamaduni na maarifa hayo huwezi kuyakuta katika kiswahili wala katika kiingereza.

Ni kwa mantiki hiyo,UNICEF na UN kwa jumla, wameanzisha juhudi za kuhifadhi lugha asilia za maeneo mbali mbali duniani.
Watanzania tulinde lugha zetu kwa manufaa yetu na ulimwengu kwa jumla.
 
Back
Top Bottom