Tabia na kabila katika mahusiano ni vitu viwili tofauti na ukiingia kwenye mahusiano usiangalie kabila la mtu

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,206
12,747
Huwa nachoshwa sana na watu wanaotaka kuoa au kuingia kwenye mahusiano lakini cha kwanza wanaangalia Kabila la mtu kwa kuamini kabisa kuwa kabila Fulani Wana tabia hizi na hizi.

Bila kupepesa macho NALIA NGWENA napinga hoja hiyo kwani Haina mantiki kwani Tabia ni tofauti kabisa na kabila la mtu.

Tabia ni kitu Cha kurithi ama kujifunza Kama tabia yako/umerithi tabia mbaya (umlaya,uchoyo nk) basi utakua ni wa hivyo tu.

Hivyo basi kusema kabila Fulani ni Malaya, wachoyo, hawajui kukataa, wachawi sana hapo tunakosea pakubwa sana kuhukumu kundi la watu kwa sababu tu ulikaa na mtu wa kabila Hilo na ukaona ana tabia hizo.

Hivyo basi, tabia mbaya za mtu binafsi zisikupelekee na kusema wazaramo au wahaya ni Malaya sana kwa kuwa tu ulidate na mzaramo au muhaya mwenye tabia hizo, Sasa hupaswi kuhukumu kundi la watu kwa sababu ya mtu mmoja mwenye tabia hizo uliyekutana nae.

Ni hivi kwenye Kila kabira Kuna wezi, malaya, wachawi n.k

Binafsi napinga makabila kuhusishwa na Tabia kwani kwenye hayo hayo makabila yanayohusishwa na Tabia mbaya wapi pia wanawake/wanaume wenye tabia nzuri kabisa.

My take unapotaka /kuoa au kuingia kwenye mahusiano ni vyema kusoma tabia ya mtu unayemtaka na ndiyo maana wazee wetu wa zamani walisema "kijana kaone ukoo fulani wanatabia nzuri sana wanaheshima sana" huo ni mfano tu.

Vijana tusidanganyane kuwa kabila Fulani ndiyo linafaa kuoa na kabila Fulani halifai kabisa na Wala halifai hizo ni story tu chagua MTU wakuendana nae haijalishi katoka kabila gani.

Nawasilisha hoja yangu.

Screenshot_20230518-162620.jpg
 
Kila kabila Lina tabia zake so huwezi kusema makabila yote ni sawa vile vile tabia ni zao la mazingira japo Kuna elements kwa wachache ambazo hazihusiani na makabila ya wanakotoka
Sikatai hicho unachokizungumza Ila Mimi nimezungumzia tabia.

Suala la tabia nzuri/mbaya lipo katika kila kabila lakini Sasa isiwe mzigo wa lawama kuwa kabila Fulani ni Malaya /wanatabia mbovu Hilo nakataa mpaka kifo changu.

Kama umalaya/tabia mbovu kwa wakuliya, wanyamwezi, wanyiramba ,wasukuma nk.
Vyote hivyo vipo

Na tabia nzuri pia wapo Sasa na ndiyo maana nikasema unapomtaka mtu you better know him/her very well kwani itakusaidia Sasa pale atakapokuwa mke wako/mpenzi wako wa kudumu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huwa nachoshwa sana na watu wanaotaka kuoa au kuingia kwenye mahusiano lakini cha kwanza wanaangalia Kabila la mtu kwa kuamini kabisa kuwa kabila Fulani Wana tabia hizi na hizi.

Bila kupepesa macho NALIA NGWENA napinga hoja hiyo kwani Haina mantiki kwani Tabia ni tofauti kabisa na kabila la mtu.

Tabia ni kitu Cha kurithi ama kujifunza Kama tabia yako/umerithi tabia mbaya (umlaya,uchoyo nk) basi utakua ni wa hivyo tu.

Hivyo basi kusema kabila Fulani ni Malaya, wachoyo, hawajui kukataa, wachawi sana hapo tunakosea pakubwa sana kuhukumu kundi la watu kwa sababu tu ulikaa na mtu wa kabila Hilo na ukaona ana tabia hizo.

Hivyo basi, tabia mbaya za mtu binafsi zisikupelekee na kusema wazaramo au wahaya ni Malaya sana kwa kuwa tu ulidate na mzaramo au muhaya mwenye tabia hizo, Sasa hupaswi kuhukumu kundi la watu kwa sababu ya mtu mmoja mwenye tabia hizo uliyekutana nae.

Ni hivi kwenye Kila kabira Kuna wezi, malaya, wachawi n.k

Binafsi napinga makabila kuhusishwa na Tabia kwani kwenye hayo hayo makabila yanayohusishwa na Tabia mbaya wapi pia wanawake/wanaume wenye tabia nzuri kabisa.

My take unapotaka /kuoa au kuingia kwenye mahusiano ni vyema kusoma tabia ya mtu unayemtaka na ndiyo maana wazee wetu wa zamani walisema "kijana kaone ukoo fulani wanatabia nzuri sana wanaheshima sana" huo ni mfano tu.

Vijana tusidanganyane kuwa kabila Fulani ndiyo linafaa kuoa na kabila Fulani halifai kabisa na Wala halifai hizo ni story tu chagua MTU wakuendana nae haijalishi katoka kabila gani.

Nawasilisha hoja yangu.

View attachment 2626595
ukikua na ukakumbana nayo ndipo utajua kwa nini it matters a lot
 
Sikatai hicho unachokizungumza Ila Mimi nimezungumzia tabia.

Suala la tabia nzuri/mbaya lipo katika kila kabila lakini Sasa isiwe mzigo wa lawama kuwa kabila Fulani ni Malaya /wanatabia mbovu Hilo nakataa mpaka kifo changu.

Kama umalaya/tabia mbovu kwa wakuliya, wanyamwezi, wanyiramba ,wasukuma nk.
Vyote hivyo vipo

Na tabia nzuri pia wapo Sasa na ndiyo maana nikasema unapomtaka mtu you better know him/her very well kwani itakusaidia Sasa pale atakapokuwa mke wako/mpenzi wako wa kudumu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unachokizungumzia hapo boss ni mwingiliano wa makabila unakuta kabila hili limeolewa na hili lazma Kuna vitu watashea ila ukweli ni kwamba Kila kabila halisi na tabia zao halisi hao machotara ndio wanaweza kushea nusu huku nusu kule
 
Kaka nayazungumza haya kwa kua nimekaa mikoa mingi mno na kujifunza tamaduni za makabila mengi kwa hiyo hiki ninachokizungumza kipo sahihi.

Sawa tunasema wagogo ni ombaomba lakini kiuhalisia wapo wasio ombaomba hata ukifika usukumani utakuta watu wa namna hii hivyo hivyo ukienda Mara huko mwisenge Hawa watu wapo

Sasa siwezi nikasema wagogo ni ombaomba Nika include wagogo wote wakati wapo ambao ni very smart hawana hayo Mambo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kaka nayazungumza haya kwa kua nimekaa mikoa mingi mno na kujifunza tamaduni za makabila mengi kwa hiyo hiki ninachokizungumza kipo sahihi.

Sawa tunasema wagogo ni ombaomba lakini kiuhalisia wapo wasio ombaomba hata ukifika usukumani utakuta watu wa namna hii hivyo hivyo ukienda Mara huko mwisenge Hawa watu wapo

Sasa siwezi nikasema wagogo ni ombaomba Nika include wagogo wote wakati wapo ambao ni very smart hawana hayo Mambo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu Jua tuu wewe na Mimi na wao tumeathiriwa na mazingira ambayo ndio tabia zetu,Kuna vitu vinabaki kwenye kabila uwezi kuvitoa
 
Back
Top Bottom