Jamani with all due respect, sikubaliani kabisa na maneno ya Kanali Mgawe, kwa sababu zifuatazo:
1. Jeshi kujihusisha na usalama wa raia na mali si jambo jema hata kidogo. Kimsingi ni kuhatarisha usalama wa taifa.
2. Jeshi kutumika kutuliza ghasia/maandamano kuna hatari ya jeshi kutumiwa kisiasa kama polisi wanavyotumiwa.
3. Jeshi kutumiwa kuzima maandamano ya kidini haina tofauti na kuzima maandamano ya kisiasa: Jeshi halina dini wala
siasa, iweje lijue ni nani anakosea kisiasa au kidini?
4. Jeshi kuingia mitaani ni tangazo la serikali kushindwa - kinachofuata ni jeshi kuiondoa serikali hiyo au kinyume chake,
yaani kuilinda serikali hiyo isiondolewe hata kama imeshindwa kihalali.
5. Jeshi kuingia mitaani ni tangazo kuwa jeshi la polisi limeshindwa, ni ama livunjwe tujue au tuambiwe sababu za
kushindwa kwa jeshi la polisi.
6. Vitisho vya Shimbo wakati wa uchaguzi vingebatilisha matokeo ya uchaguzi kama tungekuwa na katiba huru na
mahakama huru. Tambo za Kanali ni dalili kuwa dola jeshi linapanga kufanya hivyo mwaka 2015.
Kwa hali yoyote ile, maneno ya Kanali ni mabaya, hayastahili na nitashangaa kama Ikulu itakuwa imeridhia maneno haya yasemwe. Jamani mahali pa Jeshi la Wananchi ni Kambini na Porini, si mitaani hata kidogo. Jeshi lituombe radhi.
hujanielewa siongelei kikatiba hapa naongelea kivita...nchi ishashindikana so ni bora jeshi lichukue nchi...katiba yenyewe ingekua inafuatiliwa tusingekua hapa tulipo
MMH isije ikawa tunaingizwa kwenye utawala wa kijeshi haya maneno sio mazuri kanali
jamani with all due respect, sikubaliani kabisa na maneno ya kanali mgawe, kwa sababu zifuatazo: 3. Jeshi kutumiwa kuzima maandamano ya kidini haina tofauti na kuzima maandamano ya kisiasa: Jeshi halina dini wala siasa, iweje lijue ni nani anakosea kisiasa au kidini? Kwa hali yoyote ile, maneno ya kanali ni mabaya, hayastahili na nitashangaa kama ikulu itakuwa imeridhia maneno haya yasemwe. Jamani mahali pa jeshi la wananchi ni kambini na porini, si mitaani hata kidogo. Jeshi lituombe radhi.
Jamani with all due respects, sikubaliani kabisa na maneno ya Kanali Mgawe, kwa sababu zifuatazo:
1. Jeshi kujihusisha na usalama wa raia na mali si jambo jema hata kidogo. Kimsingi ni kuhatarisha usalama wa taifa.
2. Jeshi kutumika kutuliza ghasia/maandamano kuna hatari ya jeshi kutumiwa kisiasa kama polisi wanavyotumiwa.
3. Jeshi kutumiwa kuzima maandamano ya kidini haina tofauti na kuzima maandamano ya kisiasa: Jeshi halina dini wala
siasa, iweje lijue ni nani anakosea kisiasa au kidini?
4. Jeshi kuingia mitaani ni tangazo la serikali kushindwa - kinachofuata ni jeshi kuiondoa serikali hiyo au kinyume chake,
yaani kuilinda serikali hiyo isiondolewe hata kama imeshindwa kihalali.
5. Jeshi kuingia mitaani ni tangazo kuwa jeshi la polisi limeshindwa, ni ama livunjwe tujue au tuambiwe sababu za
kushindwa kwa jeshi la polisi.
6. Vitisho vya Shimbo wakati wa uchaguzi vingebatilisha matokeo ya uchaguzi kama tungekuwa na katiba huru na
mahakama huru. Tambo za Kanali ni dalili kuwa dola jeshi linapanga kufanya hivyo mwaka 2015.
Kwa hali yoyote ile, maneno ya Kanali ni mabaya, hayastahili na nitashangaa kama Ikulu itakuwa imeridhia maneno haya yasemwe. Jamani mahali pa Jeshi la Wananchi ni Kambini na Porini, si mitaani hata kidogo. Jeshi lituombe radhi.[/QUOT
He he he!eti jeshi likuombe radhi

Mtakoma wote mliozoea kutoa rushwa na kuvunja sheria Polisi wameshashindwa kazi mpaka wanatishwa na vijana wa bodaboda eti wanavamia kituo cha polisi hii jeuri kawapa nani ngoja waje wanajeshi kama kuna bodaboda atakayeendesha pikipiki bila leseni au helmet
Siku zote serikali iliyopo madarakani ikishindwa kazi basi jeshi huwa linaingilia kati. Kwa Tz hii ya sasa tunahitaji utawala wa kijeshi ili nidhamu irudi. Muda wa kubembelezana umeshapitwa na wakati. Bigup JWTZ.
makubwa kwan wananchi wakiamua kuvuruga amani yao wao watakuwa na uwezo gani wa kuirudisha?
Big up JWT! Serikali na Jeshi lake la polisi wameshindwa, ni muda sasa jwt wajitokeze!Well said.... focused and reasonably true! upanga utakata kotekote. wenye chuki na waislamu na comments zao za ku-support jeshi kudhibiti maandamano kesho upanga utageuka kukata siasa na sisi CDM tutakuwa wa kwanza. Amini amini ninawambia. tunapashwa kukemea kitendo hiki cha jeshi kuingia mtaani. kwanini wasidhughulikie mafisadi basi na wezi wengine wa rasilimali za nchi zinazoondoka nje kila siku? Hao jeshi wamefungua njia ....na mmewapenda....kesho mtaona madhara yake kwa demokrasia ya nchi hii. mifano tumeiona... Ethiopia! kila unapopita hutakutana na polisi.... every pace you make utaona mwanajeshi na AK47 hata sehemu isiyostahili kulindwa. Kwa nini? wana-protect interests za mabwana wakubwa! Furahieni wanajeshi kuanza kuingia mtaani bila sababu ya msingi.... this is the end of democracy in Tanzania.