JWTZ wa Tanzania Wamewasili DRC Kulinda Amani.Ni Baada ya "Kutimuliwa" Kwa Wanajeshi wa Kenya.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,109
49,811
Wanajeshi wa Jeshi la Tanzania JWTZ Wamewasili Mashariki ya DRC Ili kulinda amani baada ya kikosi Cha awali Cha Jeshi la Afrika Mashariki kikiongozwa na Kenya Kuondolewa kwenye hayo majukumu Kuifuatilia kuelezwa kwamba kilishindwa kutekeleza majukumu yake.

Wanajeshi wa Tanzania wataungana na Wanajeshi wa kutoka Afrika Kusini.

View: https://www.instagram.com/p/C0_vD4UCGnI/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

My Take
Tanzania inaendelea kuaminiwa kwenye Kila Nyanja kuanzia Diplomasia Hadi Ulinzi na Usalama na kuwa kimbilio la Mataifa mengine ya Afrika.

Kenya ni matapeli Huwa hawaaminiki na yeyote na pia ni vibaraka wa Wazungu.

Rwanda na M23 tunajua mtanuna sana maana mnafahamu moto wa JWTZ.
 
Mods rekebisheni heading ya uzi
 
My Take
Tanzania inaendelea kuaminiwa kwenye Kila Nyanja kuanzia Diplomasia Hadi Ulinzi na Usalama na kuwa kimbilio la Mataifa mengine ya Afrika.

Kenya ni matapeli Huwa hawaaminiki na yeyote na pia ni vibaraka wa Wazungu.

Rwanda na M23 tunajua mtanuna sana maana mnafahamu moto wa JWTZ.
Bangui ni DRC? Seleka na anti-balaka ni wa-DRC?
Naona uchawa unahamia mpaka kwny majeshi- hivi hili jeshi ni lile no. 6 kwa ubora duniani?
 
Mbona wapo huko kitambo tu ..? Tena kama FIB iliyo chini ya Monusco.
Wanajeshi wa Jeshi la Tanzania JWTZ Wamewasili Mashariki ya DRC Ili kulinda amani baada ya kikosi Cha awali Cha Jeshi la Afrika Mashariki kikiongozwa na Kenya Kuondolewa kwenye hayo majukumu Kuifuatilia kuelezwa kwamba kilishindwa kutekeleza majukumu yake.

Wanajeshi wa Tanzania wataungana na Wanajeshi wa kutoka Afrika Kusini.

View: https://www.instagram.com/p/C0_vD4UCGnI/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

My Take
Tanzania inaendelea kuaminiwa kwenye Kila Nyanja kuanzia Diplomasia Hadi Ulinzi na Usalama na kuwa kimbilio la Mataifa mengine ya Afrika.

Kenya ni matapeli Huwa hawaaminiki na yeyote na pia ni vibaraka wa Wazungu.

Rwanda na M23 tunajua mtanuna sana maana mnafahamu moto wa JWTZ.
 
Wanajeshi wa Jeshi la Tanzania JWTZ Wamewasili Mashariki ya DRC Ili kulinda amani baada ya kikosi Cha awali Cha Jeshi la Afrika Mashariki kikiongozwa na Kenya Kuondolewa kwenye hayo majukumu Kuifuatilia kuelezwa kwamba kilishindwa kutekeleza majukumu yake.

Wanajeshi wa Tanzania wataungana na Wanajeshi wa kutoka Afrika Kusini.

View: https://www.instagram.com/p/C0_vD4UCGnI/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

My Take
Tanzania inaendelea kuaminiwa kwenye Kila Nyanja kuanzia Diplomasia Hadi Ulinzi na Usalama na kuwa kimbilio la Mataifa mengine ya Afrika.

Kenya ni matapeli Huwa hawaaminiki na yeyote na pia ni vibaraka wa Wazungu.

Rwanda na M23 tunajua mtanuna sana maana mnafahamu moto wa JWTZ.

Umechanganya.
DRC ni nchi nyingine,
Afrika ya Kati Nchi nyingine...
 
Machawa mna matatizo ya akili, habari inazungumzia nchi ya Afrika ya kati wewe unabwabwana drc
 
Kikosi kilichokwenda Bangui-Jamuhuri ya Afrika ya kati ni tofauti na vikosi vya Kenya ndani ya DRC chini ya mwavuli wa Jumuia ya Afrika Mashariki.

Kikosi cha Jeshi la Tanzania nchini CAR kiko huko miaka sasa, nadhani waliokwenda sasa watachukua nafasi ya waliokwenda huko mwaka juzi au mwaka jana, ambao wamemaliza muda wao wa kulinda amani.
 
Wanajeshi wa Jeshi la Tanzania JWTZ Wamewasili Mashariki ya DRC Ili kulinda amani baada ya kikosi Cha awali Cha Jeshi la Afrika Mashariki kikiongozwa na Kenya Kuondolewa kwenye hayo majukumu Kuifuatilia kuelezwa kwamba kilishindwa kutekeleza majukumu yake.

Wanajeshi wa Tanzania wataungana na Wanajeshi wa kutoka Afrika Kusini.

View: https://www.instagram.com/p/C0_vD4UCGnI/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

My Take
Tanzania inaendelea kuaminiwa kwenye Kila Nyanja kuanzia Diplomasia Hadi Ulinzi na Usalama na kuwa kimbilio la Mataifa mengine ya Afrika.

Kenya ni matapeli Huwa hawaaminiki na yeyote na pia ni vibaraka wa Wazungu.

Rwanda na M23 tunajua mtanuna sana maana mnafahamu moto wa JWTZ.

Hao pia wapo huko miaka na wengine waliletwa kuzikwa huku.
 
Majeshi chini ya UN ni utopolo mtu. Warusi na Wagner yao waliingia hapo na kufanya CAR kuwa safi kabisa. Hawa wa UN na kofia zao za bluu ni wauza sura tu. Si wa kuwakaribisha kulinda amani.
 
DRC tena na Bangui wapi na wapi?.

Waangalie pale CAR kuna wahuni wa Wagner wanamiliki na kuendesha migodi kadhaa, waendelee na kazi yao ya kulinda amani wasiingizwe kwenye hizo mambo za wahuni wa dunia, maana tutapokea pine boxes za kutosha.
 
Wanajeshi wa Jeshi la Tanzania JWTZ Wamewasili Mashariki ya DRC Ili kulinda amani baada ya kikosi Cha awali Cha Jeshi la Afrika Mashariki kikiongozwa na Kenya Kuondolewa kwenye hayo majukumu Kuifuatilia kuelezwa kwamba kilishindwa kutekeleza majukumu yake.

Wanajeshi wa Tanzania wataungana na Wanajeshi wa kutoka Afrika Kusini.

View: https://www.instagram.com/p/C0_vD4UCGnI/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

My Take
Tanzania inaendelea kuaminiwa kwenye Kila Nyanja kuanzia Diplomasia Hadi Ulinzi na Usalama na kuwa kimbilio la Mataifa mengine ya Afrika.

Kenya ni matapeli Huwa hawaaminiki na yeyote na pia ni vibaraka wa Wazungu.

Rwanda na M23 tunajua mtanuna sana maana mnafahamu moto wa JWTZ.

Mbona unaandika uwongo hapa? Bangui ni CAR sio DRC na wanaenda baada ya wenzao waliokuwepo kumaliza zamu yao.
 
Back
Top Bottom