Joyce Banda wa Malawi ni hatari kwa Tanzania

Janjaweed, tudokeze na liweke wazi hilo tamko la kutaka wakristu wote waondolewe baraza la mitihani? na ni kalitoa na kwa nini wakristu wote? kwani wamefanya kosa gani huko? tujuze zaidi.
 
hapa naona hoja yake inajadiliwa kwa itikadi ya magamba na magwanda.....jambo analoliongelea muhusika ni la msingi sana.......ni mke na mume wajinga ambao wataendelea kulumbana kwa masuala ya kukosekana uaminifu katika ndoa yao wakati wanamuona jambazi akivunja mlango na wakamuacha aendelee.....
 
sizungumzii hayo mambo yake ya kupiga vita ufisadi etc

nazungumzia kwa mtazamo mwingine kabisaa ambao nyinyi ma great thinkers mnajua ni upi na hasa kuwa na jirani kama huyu

I'm very uncomfortable kuwa na jirani kama huyu.

Labda atamchemsha mkuu wa kaya maana amezidi kukandamiza wananch wake.
 
sizungumzii hayo mambo yake ya kupiga vita ufisadi etc

nazungumzia kwa mtazamo mwingine kabisaa ambao nyinyi ma great thinkers mnajua ni upi na hasa kuwa na jirani kama huyu

I'm very uncomfortable kuwa na jirani kama huyu.

Nafikiri Sasa GT watakuwa wamekuelewa kuhusu huyu mama Joyce Banda na Tanzania Yetu
 
Naona sasa wale niliowasema kuwa nje wanaonekana wa Tanzania lakini ndani ni Wa Malawi washaanza kuandika na kupiga kampeni kuwa tuache jazba

Nchi hii iko pabaya kweli

sasa loyalty za hawa watu ziko wapi?
 
Janjaweed, tudokeze na liweke wazi hilo tamko la kutaka wakristu wote waondolewe baraza la mitihani? na ni kalitoa na kwa nini wakristu wote? kwani wamefanya kosa gani huko? tujuze zaidi.

udini umekujaa mpaka akili yako haifanyikazi,watu wanachangia mada mambo ya tanzania na malawi wewe unatuletea mambo ya necta kweli ww kichwa box
 
Hii ndiyo statement yake ya mwisho juu ya Mgogoro wa Lake Malawi/Nyasa:
Malawi has pulled out of discussions on its border conflict with Tanzania, President Joyce Banda announced yesterday. ... countries bang in the middle of Lake Malawi, which is officially known as Lake Nyasa on the Tanzania side. ...
President Banda said she had decided to call off the dialogue because her Tanzanian counterpart, Jakaya Kikwete, was bluffing her.

Haya sasa...Back to drawing board:poa
 
JK ndo kilaza hakuna mjadala hapo ni kufanya aliyosema Membe na Lowasa "tutalinda mipaka yetu kwa ghalama yeyote!"
 
JWTZ wapo wapi hapa ndo muda mzuri kwa hawa watu wawajibike maana wanatuotea mavitambi na kuturukisha kichura chura mitaani ambayo yote hayo ukosefu batle tangu watoke depo.
 
Hii thread nayo iliwaumiza sana kichwa GREAT THINKERS wa JF

safi sana mkuu

lakini mwishowe watu walipata picha kamili
 
Back
Top Bottom