ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,115
- 49,835
Mashirika ya kutetea Haki za binadamu yamekosoa kiyendo Cha Rais wa Malawi bwana Lazarus Chakwera kuamua kuwauza Wananchi wake takribani Vijana 221 kuwa Manamba wa kufanya kazi kwenye mashamba huko Israel baada ya Israel kutoa Msaada wa $60mil(Bil.150) Kwa Malawi.
My Take
Nawakumbusha Watanzania huyu Rais alishinda Kupitia chama Cha Upinzani na ni Mchungaji cc Gekul aliyelelelewa na Chadema.
Miafrika ni takataka,si Bora angeomba hata Msaada Kwa Nchi jirani kama Tanzania?
=============
Wanasiasa wa upinzani nchini Malawi na mashirika ya kutetea haki za binadamu yamemkosoa Rais Lazarus Chakwera na serikali yake kwa kutuma vijana 221 wa Malawi kufanya kazi katika mashamba nchini Israel.
Hatua hiyo ya Jumamosi ilifuatia msaada wa Israel wa $60m (£47m) wiki mbili zilizopita kusaidia kuimarisha uchumi wa Malawi.
Mpango huo wa mauzo ya nje ya nchi umekosolewa huku kukiwa na wasiwasi juu ya usiri ambao ulifanyika na hatari zinazowezekana kwa raia wakati ambapo Israeli iko kwenye mzozo na kundi la Hamas la Palestina.
"Kutuma watu katika nchi inayokumbwa na vita kama Israel, ambako baadhi ya nchi zinaondoa raia wake ni jambo ambalo halijasikika," kiongozi wa upinzani wa Malawi Kondwani Nankhumwa aliambia kipindi cha Newsday cha BBC.
Pia alihoji ni kwanini serikali iliweka mpango huo kuwa siri, na kuliarifu bunge tu kuhusu mpango wa kutuma wafanyikazi katika nchi ambayo haikutajwa tarehe 22 Novemba.
Serikali imetetea mpango huo, ikisema kuwa itasafirisha Wamalawi kwenda Israel na nchi nyingine "kutimiza ahadi ya utawala huu wa kubuni nafasi za kazi na kuwawezesha vijana".
Chanzo: BBC