Yalitokea kwa Joyce Banda, Rais wa kwanza mwanamke nchini Malawi kuna la kujifunza

ESCORT 1

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
1,267
2,519
Mwaka 2012, Makamu wa Rais wa Malawi, Joyce Hilda Banda alichukua nchi baada ya kifo cha Rais Bingu wa Mutharika. Waliomuwekea mizengwe kipindi anatakiwa akabidhiwe nchi, alikuja kuwashughulikia alipokuwa Rais. Akawa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa hilo.

Akaingia madarakani, akawa haambiliki, maisha ya wananchi wa Malawi yakapanda maradufu. Wala hakujali, akawa busy na ziara za nje ya nchi yake katika kuifungua mipaka ya nchi.

Mwaka 2014, Uchaguzi Mkuu ukafanyika na Wamalawi hata hawakukosea, wakampiga chini kwenye sanduku la Kura. Ukawa mwisho wa Bi Joyce Banda kama Rais wa kwanza na wa pekee (mpaka sasa) wa Malawi.

Naiona hii simulizi ya Bi Joyce Banda inaendana kabisa na ya sehemu fulani ambapo inaweza ikatokea...
 
Siasa za Malawi ni TOFAUTI sana na Tanzania.

Ni vizuri kuwa na ndoto lakini angalau zifanane na uhalisia.

Tanzania hata Rais akitaka kukaa madarakani mpaka kifo Hakuna kitu MTAFANYA.

Kwa lugha rahisi, Hakuna kundi lolote la kisiasa unaloweza kusema Ni TIIFU kwa wapinzani wa Serikali.

Kuanzia Wasanii , Team za Mpira ( Simba & Yanga ), Matajiri, Vyama vya wafanyakazi, Wanawake, Wanazuoni, Viongozi wa dini ( CCT, TEC, EAGT, TAG, BAKWATA ).

Kwa lugha rahisi, ili uweze kuipa serikali Kash Kash unatakiwa kuwa nguvu ya kuamrisha UMMA ukakutii.

Lakini Kama anakamatwa Mwenyekiti Hakuna mtu anaingia barabarani kushinikiza atoke. Kila mtu anajifanya mwanaharakati nyuma ya keyboard, mpaka anatolewa kwa huruma tu ya aliye mweka.

Katika mazingira hayo, unadhani Kuna INFLUENCE yoyote yenye madhara.

Achaneni na NDOTO ZA ALINACHA.

FACE THE REALITY.
 
Tanzania kuna uwezo huo?
 
Yaliyotokea Malawi yanapaswa kutokea Tanzania.
 
Hii nimeikubali, kwa bongo ni ngumu.ili Samia asiendelee basi huko CCM ndio wamtose, na pia haiwezekani maana huko napo mwenyekiti ni alfa na Omega.
 
jamani tuache unafiki,hiki kinaweza kutokea hapa hapa tz.na hapo ndipo ule utabiri wa shekhe yahya utakapotimia.
JamiiForums2024303612.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nimeikubali, kwa bongo ni ngumu.ili Samia asiendelee basi huko CCM ndio wamtose, na pia haiwezekani maana huko napo mwenyekiti ni alfa na Omega.
Hata CCM hawana UBAVU wa kumtosa Rais.

Kumbuka Rais mweye nguvu yote ( Jeshi & Hazina ) ndiye Mwenyekiti wa chama.

Yaani Rais ndiye CENTER OF GRAVITY.

Na ndio maana, hata ukijifanya unafuruka ndani ya CCM lazima utajifanya unamtaja Rais kwa kumtetea wakati unaowaponda ndani ya CCM Ni wateule wa Rais na mwenyewe kawaacha.

Fuatilia hili, utaliona kwa Pole Pole, Gwajima, Mpina, Msukuma.

Rais wa Tanzania ana POWER kubwa mnoo.

Hakuna Cha Bunge Wala Mahakama.
 
Mwaka 2012, Makamu wa Rais wa Malawi, Joyce Hilda Banda alichukua nchi baada ya kifo cha Rais Bingu wa Mutharika. Waliomuwekea mizengwe kipindi anatakiwa akabidhiwe nchi, alikuja kuwashughulikia alipokuwa Rais. Akawa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa hilo.

Akaingia madarakani, akawa haambiliki, maisha ya wananchi wa Malawi yakapanda maradufu. Wala hakujali, akawa busy na ziara za nje ya nchi yake katika kuifungua mipaka ya nchi.

Mwaka 2014, Uchaguzi Mkuu ukafanyika na Wamalawi hata hawakukosea, wakampiga chini kwenye sanduku la Kura. Ukawa mwisho wa Bi Joyce Banda kama Rais wa kwanza na wa pekee (mpaka sasa) wa Malawi.

Naiona hii simulizi ya Bi Joyce Banda inaendana kabisa na ya sehemu fulani ambapo inaweza ikatokea...
Je hii imeanza kuonekana leo baada ya maamuzi ya Spika?
 
Hata CCM hawana UBAVU wa kumtosa Rais.

Kumbuka Rais mweye nguvu yote ( Jeshi & Hazina ) ndiye Mwenyekiti wa chama.

Yaani Rais ndiye CENTER OF GRAVITY.

Na ndio maana, hata ukijifanya unafuruka ndani ya CCM lazima utajifanya unamtaja Rais kwa kumtetea wakati unaowaponda ndani ya CCM Ni wateule wa Rais na mwenyewe kawaacha.

Fuatilia hili, utaliona kwa Pole Pole, Gwajima, Mpina, Msukuma.

Rais wa Tanzania ana POWER kubwa mnoo.

Hakuna Cha Bunge Wala Mahakama.
Ni kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom