Jiwe Linaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,736
- 2,138
dhaifu wa rais na mawaziri wake uko wazi mh Mnyika kahitimisha tu au wanataka tuandamane??
Inazidi kujidhihirisha kuwa CHADEMA NI CHAMA KINACHOKUMBATIA UHUNI.
Katika chama cha CHADEMA mtu makini ni mmoja tu Zitto.
Huwezi kuenda nje ya mada na kuanza kusema raisi dhaifu duniani kote watu wanakutazama na wewe ni mbunge wa Ubungo. Wewe Mnyika umekuwa mtu mtovu wa nidhamu, ndio chama chako mnavyotaka?
Hivi sasa bunge limekuwa sehemu ya kupiga porojo?
Nyie watu wa CHADEMA mnadhani nchi hii ni yenu tu?
ninaona mmeanza kulewa madaraka.
Wewe mnyika jifunze kutumia nidhamu. Mbungeni sio sehemu ya mipasho.
Kama huelewi waulize wengine.
ina maana haruhusiwi kusema ukweli??
JK ni rais goigoi na legelege sana
Kwanini hakuambiwa athibitishe? Au wameogopa kuumbuliwa? Big-up kamanda