hiyo jkt ataenda yy,katibu wk na mkewe,me chuo udom nalipot tar 13 october, jkt mm nimeshai delete kwenye kichwa changu
Utaenda tu mkuu maana wao wameshika mpini wewe umeshika makali akivuta lazima akukate.

wakati hata regislation hajafanyiwa
bila kuregister watatoaje vyeti
waz soldier,wasilete mapuuza!yataharb kazi
SWALI; kwa wale wa CBE ambao walianza kuripot 15 aug(kma sijakosea) watatolewa vyuon waende jeshi awamu ya tatu au???
Mmh mi ndo nimechoka kabisa...najitahidi niamini jeshi awamu ya tatu hakuna lakini wapi!!
Source waziri wa ulinzi bungeni leo asubuhi
nanukuu
awamu ya pili watamaliza mafunzo yao september(tarehe haikutajwa)
awamu ya tatu wataenda octomber(tarehe haikutajwa)
na awamu ya nne itakuwa january (tarehe haikutajwa)
chuo kuingia najua ntaingia haijalishi ni lini....