Jkt ipo kama kawaida......!!

Tafadhali Al shabab....kalipue hilo Bomu huko somalia, hapa hatulitaki..!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

mkuu Yeyeli nimefukuzwa somalia nikaja hapa Tanzania sababu hapa amani ipo ila nanyie mmeanza kidogokidogo
 
Last edited by a moderator:
Alivyosema kuna hadi awamu ya nne nahisi awamu ya 3 na 4 hazitawahusu form six leaver! Maana ni obviously awamu ya nne(january) haitawahusu!
Kumbukeni jkt ni kwa vijana wote(kuna waliomaliza cheti,diploma vyuo mbalimbali)
kwa mtazamo wangu kuanzia october jkt itawahusu kundi lingine nje ya form six leaver!

Ila bado kuna kitu najiuliza
walioko jkt sasa hivi wanasema wanatoka tar 27 sept, na kuna vyuo vinafungua mapema september! Sasa hapo itakuwaje?
 
Mh Ina maana ile inshu yakuvusha poda haifuatilii!! Ye daily Jkt araaaaaa!!!! Haendi mtu hapa hata somalia nitaenda!!
 
Back
Top Bottom