macho_mdiliko
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 21,791
- 39,584
Watanzania tuu washamba sana. Pale inapobidi tupige kelele hatupigi na pale pasipostahili tunapiga. By the way who is f...k Lulu au Kanumba katika maisha ya mtanzania? Nothing!!! They are just f...kng waasherati ambao hawana msaada wowote kwa maisha yetu, Ni nzi kafia kwenye kidonda... thats all! Hebu tujadili na kuwalilia watu wenye maana lakini sio hawa f...ng .... ******Kwani JK ndiye aliyewaajiri wazee wa EAC?
Hao wazee wanadai toka enzi za Mwinyi akaondoka, akaja Mkapa akaondoka baada ya kuwalipa pesa kiduchu na sasa Jk ambaye bado hajamaliza muda wake. So give him a break...come with something more concrete.