JK unapotoa rambirambi kwa kanumba 10,000,000/= je wazee wa EAC utwalipa lini mafao yao?

ni majengo wanayomiliki wenyewe.tena wana uwanja mzuri tu nyuma unaotosha kwa tukio lolote kubwa.hata kanumba angetosha kuagiwa pale km nduguze wangetaka.nataka kukuonesha umiliki halali na ukubwa wa eneo walionao chadema pamoja na kupata ruzuku kiduchu toka serikalini isiyolingana na ccm hata robo.

FirstLady hapa unamaanisha nini labda
 
katika uongozi hakuna kitu kidogo wala kikubwa, kutataua changamoto na kero kwa wananchi ndo utawala bora.Kwahiyo, hao wasitaafu wa EAC, ni serikali inayotakiwa kuwajibika na si vinginevyo.Msemaji mkuu wa serikali ,ni raisi kikatiba.Kwahiyo mtoa hoja ana mashiko sababu hao wastaafu wanateseka sana kuliko hata kutoa rambirambi, pia kuchelesha haki kisheria ni kumnyima haki mhitaji haki wana haki kulipwa, sema serikali ni kiziwi ila kukotokea msiba rambi rambi inapatikana.

Nashukuru kwa hoja yako ,naamini hata watanzania wenzangu wengine nashauri tujaribu kujikita kwenye hoja kuijadili badala ya kukurupuka ,tumaini langu na imani yangu kwa wana jf kuwa hapa ni kisima cha chemi chemi ya maarifa .sasa tutaonesha udhaifu mkubwa kama tutakuwa tunahamisha maada badala ya kupanua mawazo na imengenya hoja .tutafute nini kimejificha kwenye hoja inayoletwa kwenye mjamvi huu.serikali yetu haina vipaumbele imechanganyikiwa kuwatelekeza wazee wetu wa EAC ni dhambi mbaya sana ccm itawatafuna ,hivi kweli wizara inasimama kutao hundi ya million kumi kodi za wananchi kwenda kuhani msiba ,tbc wametuonesha mtoto kule tanga wa mika miwili anahitaji msaada wa matibabu serikali inahani msiba.kweli ndicho yesu aliema waache waafu wazikane wafu wenyewe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom