sharia itawale tz.tz ijiunge ns OIC.Mi sijaelewa lengo lenu ni nini hasa,je ni mnataka mpewe vyeo vya upendeleo serikalini endapo mtabainika ni weng kuliko wakristo hata kama hamkusoma?au lengo lenu ni kuishinikiza serikali iwape ruzuku hata kama hamna jambo llt la maendeleo mnaloliendesha au lengo lenu ni kuleta udini kwenye taifa la Tanzamia,Au mnataka kuleta fujo?
Kuna na nafasi ambazo ni za kuteuliwa hizi hapana shaka yoyote zinaenda kwa Wakristo (soma madai ya Edwin Mtei kuhusu tume ya Katiba), zile za kuchaguliwa nazo mazingira yanaandaliwa kimakusudi ili wapitishwe na kuchaguliwa Wakristo ndio maana sasa tuna mameya, makatibu kata, wabunge, makatibu tarafa Wakristo katika sehemu za Waislamu, lakini kwa Muislamu kutoka sehemu za Waislamu kwenda kugombea Umeya au Ubunge wachilia mbali kuteuliwa kwenda sehemu za Wakristo kama vile Peramiho sahau!Halafu hiyo 1% ya huko Mtwara inachaguliwa na 99% kushika uongozi.
Kama tovuti ya wakatoliki imetoa hizo takwimu,pengine waulizwe wamezipataje ili na waislam nao wafanye hivyo.
kun watu wanaojua kuwa wakristo ni wakatoliki tu basi
nimeenda huko mtaani , nikaja na hii, ikafutwa
Inasadikika kuwa sensa ya mwisho kufanyika wakati wa ukoloni Tanzania ilikuwa na Waislamu asilimia kama 60, Tukisema kuwa serikali ilikiondoa kipengele hiki kwa sababu maalumu ikiwemo kuwa na nafasi ya kuendeleza na kusadikisha takwimu za uongo ili kushamirisha Mfumo Kristo (MK) Tanzania tunakosea?
- Kwa nini kipengele cha sensa kiliondolewa?
Mfano 0fisi ya waziri mkuu inadai wakristo ni 45%-waislamu 35%. TBC1, imetangaza wakristo ni 52%-waislamu 32%.Bodi ya watalii -Christianity and Islam are the predominant religions of Tanzania. About 40-45% of the population practice Christianity, about 35-40% practice Islam.,Tovuti kikatoliki (RCNet) waislamu 34%- na wakristo ni 44%
- Kwa nini taasisi mbalimbali za serikali na binafsi zimekua zikitoa takwimu za watu na dini zao?
Na hapa kuna hoja mbili,
a) kwa nini takwimu zinatofautiana? na b)kwa nini pamoja na kutofautiana zote zinaonesha wakristo ni wengi kuliko waislamu?
Kwa kawaida jambo la uongo lazima hukwama, takwimu zinatofautiana kwa sababu ni za uongo, Zote zinaonesha wakristo ni wengi kwa sababu za kukidhi matakwa ya MK.
Mkurugenzi wa TBC alipoulizwa kuhusu takwimu katoa wapi aliishia kuomba radhi, kakosea, swali ni je kakosea nini? Amekuwa akikosea mambo mangapi ya kitaifa kwa ujumla wake kama lilivyo hili? Huu ndio MK
3.Kwa nini kiwepo kipengele cha kuhesabiwa kwa nyumba za ibada?
Waislamu wakisema kuwa kuhesabiwa kwa nyumba za ibada pekee kunaweza kutumiwa na wapotoshoshaji wa Umma kupitia MK, kuwa Wkristo ni wengi kwani siku hizi kuna utitiri wa madhehebu kikristo na makanisa binafsi hata kama yana waumini wachache achilia mbali uyoga wa makanisa yanojiita ya wokovu? Kwa nini nyumba za ibada na sio na wanaoabudu humo?, Serikali inataka kugawa misala misikitini na mabench kanisani?
Waislamu wa leo ni tofauti na wa enzi hizo, wanajua wanachokifanya na hili la sensa ni moja na mengine yatakuja,hatuhitaji kumtafuta kiongozi wala Sheikn Ponda kwa hili, elimu tulishapata , macho yalishafumbuliwa na Tunaelewa athari za mfumo Kristo katika jamii
TUMEKATAA KWENDA KWA MATAKWA YA MK, NARUDIA WAISLAMU HATUHESABIWI.
- Tulisadikishwa kuwa waislam hawakusoma, kumbe data zinaonesha NECTA inawapunguza
- Tukasadikishwa kwamba hawajengi Mashule na Hospitali ila wanajenga misikiti, kumbe wenzetu wanajenga kupitia fedha wanazopewa na serikali hii hii kupitia MoU
- Tukasadikishwa kuwa nchi hii haina dini , kumbe serikali yetu ina mfumo Kristo ambao haukuandikwa popote lakini unafanya kazi zake kwa siri na waziwazi
Angalia msingi ya hiyo nchi. Kwa uingereza sijui lakini nchi kama ujerumani serikali yake mpaka inakusanya kodi ya kanisa(kirchensteur) ili kuliwezesha kanisa kufanya kazi zake. Sasa hao wakiweka kipengele cha dini tutawaelewa.sensa ya 2011 kule uk waliweka kipengele cha dini lakini tanzania Hawataki kuweka kutokana na CCM (CATHOLIC MOVEMENT CHURCH) kukataa .swala la kujiuliza why not us?
angalia sample ya uk census 2011 hapo chini.View attachment 62898
unashabikia kifo na kaburi la ukristo. Haijatokea nchi hii ikaongozwa na mkristo pekee yake lakini mfumo uliopo waislamu watano wanaongoza nchi bial kuingiliwa na wakristo. 1. Jmk, 2. G.b,3. M.s, 4. I.s na 5. Maalim seif . Sasa kuwaongezea 10 years tena si tayari tutakuwa tumesilimishwa hapa tanzania? Tumia kiona mbali . Once upon atime nyerere alisema hatashangaa kuona nchi hii inaongozwa na waislamu mfululizo , nafikiri alitaka kuwaamusha wakristo juu upungufu alioanza kuuona katika hila za watu kuanza kuongoza nchi kwa udini. Tatizo kuna watu wanafikiri jambo hil;o haliwezekana wabongo tuamke tuache usingizi kokoro linaendela kuwasomba wakristo kuelekea pwanisipati picha jk angekuwa mkristo ni tani ngapi za mabomu ya machozi yangetumika ijumaa ijayo. Naomba mungu raisi ajaye awe muislamu ili wakose ajenda...
by this kind of approach moslems must be incited. these kind of motives had conspiracy agenda to make them incited and react violently and irritativelywatanzania wote wanashauku ya kujua idadi kamili ya waumini wa kiislam/kikristo, lakini ni wakristo hawataki idadi hiyo ijulikane katika sensa bali ipikwe pikwe tu. Shauku ya kutaka kujua idadi ya waumini inathibitishwa katika taarifa zao tofauti ikiwemo pamoja na hii niliyoiquote.
Makubwa, kweli wenzetu wamefundishwa kupika pika taarifa, kumbe hata hicho kipengele kingekuwepo wangekipika tu. Hilo sio la kushangaza kwani tokea nchi ikabidhiwe kwa nyerere, ajenda kubwa ilikuwa ni kuichristinise tanzania, jambo ambalo limeshindikana.
nasisi tukiweka picha za maaskofu wananyonyana ndimi baada ya kufunga ndoa ya jinsia mmoja huko uk utajiskiaje?,kuwa mstaarabu dada.nilichofanya ni kukuza tu hii picha,
nasisi tukiweka picha za maaskofu wananyonyana ndimi baada ya kufunga ndoa ya jinsia mmoja huko uk utajiskiaje?,kuwa mstaarabu dada.
Amsterdam, mimi kinachoniboa zaidi ni ufinyu wakufikiri kwetu ktk hili. Kama ni kweli nia yetu ni kujua idadi ya waislam, kwanini tusikubali kuhesabiwa. Serikali ikimaliza na matokeo kutangazwa ndipo nasisi tutafute pesa na kwenda kufanya sensa ya waislam ili kujua waislam ni asilimia ngapi ya watanzania wote? Na hii itakuwa rahisi kwani tunafanya sensa yetu kupitia miskiti tu huku tukitaka kufahamu ni waislamu wangapi wanaosali katika kila msikiti na wanao watiti wangapi. Kwani ni lazima tuilazimishe serikali kufanya yale tunayoyataka sisi? Hivi, mahitaji ya huduma za kijamii (elimu, afya, ulinzi n.k) yanatofautiana kati ya muislam na mkristo? Hii dini kwakweli inawadhalirisha wasomi wake kwani inaonekana hawafanyi kazi zao kisawasawa ndani ya kundi la mambumbumbu walio wengi. Kweli waislam wakitanzania tuliosoma ni the odd ones and we need to go out of this group.