JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

waarabu waliwapa maendeleo ya kuwauza utumwani

Hapo hapo, na ndo tabia. Hii ya kuzana ingeishia wapi bila hao wanaolalamikiwa wasingetokea? Sometimes waarabu hawana issue, when it comes to historical bkgrnd zao. Yote yamepita, kwa sababu sasa hakuna anayelazimishwa kwenda kusoma uarabuni wala uingereza wala kwa obama... Woooote tunaenda soma bila kuwa na kivuli cha udini wala nini. Tukirudi hapa ndo tunaanza kupondana, mara tunaonewa,,, mara ohooo waislamu wakolofi... Mara ohooo ...
Hii ni Kukosa kazi extra ya kufanya.
 
Kafiri sio tusi ni jina la asie kuwa Muislam i.e mkristo,mbudha,myahudi mpagani kwa pamoja wanaitwa makafiri kama vile embe,pera,chungwa kwa pamoja ni matunda!

Kwa tafsri ya kamusi ipi nami niitafute?? Wakristo ni watu wenye hekima sana maana neno kafiri lingezusha mgogoro mkubwa, sensa cha mtoto!
 
.
Hadi kufikia mwaka wa 1960 Kanisa likawa taasisi kubwa inayomiliki mamilioni ya dola ya misaada inayopokelewa kutoka wahisani na wafadhili walioko katika ulimwengu wa Kikristo. Kanisa sasa hivi linahodhi mahospitali, misururu ya ndege binafsi, viwanja vya ndege, makampuni ya uchapaji na mitambo ya kupiga chapa, stesheni za radio, tv na magazeti.

Wakati ule mgongano kati ya Kanisa na serikali haukupata kusikika hata kidogo. Baada ya uhuru kupatikana tu na serikali ikawa mikononi mwa wananchi, Kanisa likaanza kusikika likisema kuwa lina haki na wajibu kuwa na ushawishi ndani ya serikali, kuikosoa serikali na kuingooza pale inapoona serikali haifanyi mambo sawa kwa matarajio yake.

Umetoa vapour nyingi lakini nadhani kinachowauma sana ni hicho nilichokikata toka kwenye riwaya yako inayotudhalilisha kwamba hatujasoma. Boko Haram! Badala ya kutumia akili na kujiwekea malengo ya muda mrefu mnatafuta short cut za mafanikio ya kugawiwa bila kufuzu. Sasa wanenu wataacha kusoma wakisubiri kuja kupewa madaraka bure. Wakristo ndo wanafelisha shule zilizopo Zanzibar ambako unadai asilimia 99 ya wakazi ni waislamu na tunajua inaongozwa na waislamu?
 
hii makala bila shaka iliandikwa mwishoni mwa miaka ya 70. Mleta mada kajaribu bila mafanikio kuhariri baadhi ya namba. Hata hivo kama mwandishi angekuwepo leo angeandika tofauti sana kama edition ya pili ya makala hii. Leo hii waislamu nasi tumeelimika, na tunashika nafasi lukuki serikalini. Tunamiliki vituo vya tv na redio, magazeti na wavuti nyingi za habari. Asimia kubwa ya makampuni makubwa Tanzania sasa yanamilikiwa na waislamu, na bila shaka zaid ya nusu ya uchumi wa nchi unategemea makampuni yetu. Sioni tena sababu ya sisi kulalamika ovyo.
 
kun watu wanaojua kuwa wakristo ni wakatoliki tu basi

Hata mihadhara inayofadhiliwa na serikali za kiarabu na kusapotiwa na serikali na CCM inashambulia wakatoliki tu. Inaonekana huyo mfadhili wao alikoseshwa biashara fulani na mkatoliki, chuki binafsi zimetumika kuipinga dini
 
hii makala bila shaka iliandikwa mwishoni mwa miaka ya 70. Mleta mada kajaribu bila mafanikio kuhariri baadhi ya namba. Hata hivo kama mwandishi angekuwepo leo angeandika tofauti sana kama edition ya pili ya makala hii. Leo hii waislamu nasi tumeelimika, na tunashika nafasi lukuki serikalini. Tunamiliki vituo vya tv na redio, magazeti na wavuti nyingi za habari. Asimia kubwa ya makampuni makubwa Tanzania sasa yanamilikiwa na waislamu, na bila shaka zaid ya nusu ya uchumi wa nchi unategemea makampuni yetu. Sioni tena sababu ya sisi kulalamika ovyo.

Well said Tuko!
 
Just imagine! Songoro kasema eti kafiri siyo tusi. hata neno washenzi siyo tusi kwa wakristo. ha ha ha ha.... wenzetu hao bana ni wachokozi....

kweli kafiri ni kafiri, yaani kafiri ni sawa protestant = mpingaji. acheni ujinga wenu makafiri!!
 
Tuna mshukuru mungu Mh sheikh Ponda amekubali kuhesabiwa na amesifu zoezi linalo endelea!
Sasa umebaki wewe kuhesabiwa either nyumbani au rumande

SENSA KWA MAENDELEO
JIANDAE KHESABIWA

kweli kafiri ni kafiri, yaani kafiri ni sawa protestant = mpingaji. acheni ujinga wenu makafiri!!
 
"Trouble no one about their religion; respect others in their view, and demand that they respect yours" Chief Tecumseh
 
waislam wanosumbua wengi wao ni wale wa elim ya madrasa.
hawana hoja,
misimamo tu.
 
Back
Top Bottom