JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

Mnafiki tu! Anawalea mwenyewe hao wanaopiga domo la kususia sensa kwa kipengele cha udini halafu anajifanya hayupo nao. Hipocrite!

jana nikiwa kwenye daladala abiria mmoja akasema eti baadhi ya watu wamesema mpaka yule mjusi aliyepelekwa Ujerumani arudi ndo watakubali kuhesabiwa , akaongezea unajua sisi waislamu tunapenda ligi sana hicho kipengele cha udini kikiwekwa kwenye sensa utasikia kwakuwa waislamu idadi yetu ni kubwa KIPINDI CHA RAMADHANI HAKUNA KWENDA OFISINI nilichoka kabsaaa kwa kauli hii , sisi wakristo kila mwaka kupitia jumuiya ndogo ndogo tunapewa makarati ya kujaza idadi yetu ili kufahamu waumini wangapi wako active na wana participate kwenye jumuiya , labda waislamu nao waanzishe jumuiya za kusali pamoja watajua idadi yao ,
 
source habari leo na jambo leo

akiwa mjini mbeya rais j. Kikwete kasema kuwa ni marufuku kuweka kipengere cha dini kwenye hesabu ya sensa na makazi itakayo anza mwezi ujao na kusisitiza kuwa dhamila ya serikali ni kujua idadi ya watu wake sio idadi ya waumini wa tanzania na kuainisha kuwa vitu vya msingi ni;

kujua idadi ya watu kwa maendeleo ya mipango ya serikali tu hakuna cha ziada.

Concern

liwalo na liwe

kwani jk hakwenda kwenye msiba wa waziri mkuu wa ethiopia?
 
Umetoa vapour nyingi lakini nadhani kinachowauma sana ni hicho nilichokikata toka kwenye riwaya yako inayotudhalilisha kwamba hatujasoma. Boko Haram! Badala ya kutumia akili na kujiwekea malengo ya muda mrefu mnatafuta short cut za mafanikio ya kugawiwa bila kufuzu. Sasa wanenu wataacha kusoma wakisubiri kuja kupewa madaraka bure. Wakristo ndo wanafelisha shule zilizopo Zanzibar ambako unadai asilimia 99 ya wakazi ni waislamu na tunajua inaongozwa na waislamu?

unaongeza vapour zaidi kwani unajua hicho ulichokiandika hapo mwisho nani anayesababisha hayo
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom