Elections 2010 JK ndani ya Mwanza kuokoa jahazi la Masha

Masha kashindwa ila kakimbilia Dar hajasain. Ilemela nasikia Anthony kakubali na katia saini. Je kuna update nyongine?
 
Jamani tuache utani na tuwe serious damu inakaribia kumwagika Mwanza yote hii itakuwa CCM wameamua vijana wengi wamejikusanya tayari kwa lolote .watu wameshaanza kufunga maofisi yao kukimbilia majumbani kwao ....Masha anataka kutangazwa kwa nguvu kuwa ameshinda Nyamagana ..nasikia kama nilie vile :A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
 
Dikteta sifa zake zinajulikana, huhitaji kutumia nguvu kuwashawishi watu juu ya hili, yeye kama anawapenda wana mwanza aache wafanye mambo yao. Amechoka kuona watu wametulia kama sifa za shetani ni kuharibu na kubomoa tu. Mchawi akikuuo hawezi chukua sifa zako na uwezo wako ila furaha yake kuona umekufa
 
JK DAMU YA WASUKUMA HAPOTEI KIRAHISI KAMA UNAVYOFIKIRIA.KUMBUKA 2005 ULIPENDA KUTAWAZWA KUWA CHIEF WA WASUKUMA LAKINI UNAKUMBUKA KILICHOKUPA KIRUMBA JUKWAANI.NA KUMBUKA MWAKA JANA KILICHOKUPATA PALE CCM KIRUMBA SIKU ULIPOARIKWA NA KANISA LA A.I.C NINI KILIKUPATA.
KUMBUKA WAPIGA KURA MWAKA HUU WAMEKUFANYA NINI PALE NYAMAGANA NA ILEMELA.Wasukuma hawakutaki usilazimishe utaishia pabaya
 
Hivi mna uhakika kuwa yupo Mwanza, kwani ni lazima awepo physically? Barua ya mkurugenzi wa jiji mliisoma?
 
Yaani hii si bure. Ni kutuambia watanzania kuwa Kikwete is a real fisadi. Anajua jinsi anayoshirikiana na Masha katika kuinyonya nchi yetu kuichumi ndo maana hataki kumkosa katika system ya urais wake wa wizi. GOD forbid.
 
Jamani, nani kamuona JK mwanza, this is very serious time. sio vizuri kuweka habari zisizo na uhakika. Kama huna cha kuandika just sit down and relax. Msilete utani, we want real news hapa. watu wapo mbali na Tanzania wanategemea hii forum kupata habari, then mtu unajiandikia tu kama ms............
 
E Mungu wetu kwanini huyu Kikwete asife mwenyewe na Tanzania ikapona? Tumechoka na upuuzi wa CCM
 
Mwanza naona kuna baadhi ya sehemu fujo ndogo ndogo zimeanza kama kuvunjwa magari ya watu na kadharika eeeh mungu baba tusaidie na hili ...Kikwete Na Masha Kama damu ya Mtanzania itamwagika damu hiyo iii juuu yenu .
hamuwezi kutuibia kijinga jinga namna hii ukweli mnataka kuugeuza uwe uongo ...:A S angry:
 
japo ninaandika kwa shida maana watu ni wengi na situlii sehemu moja lakini ukweli ni kwamba

jk hayupo mwanza, narudia hayupo mwanza.

japo shinikizo hilo lipo ila limetumwa.
 
Back
Top Bottom