The Infamous
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 731
- 121
Vijana wanatembea jiji zima wakiimba parapanda parapanda..ila inavyoonekana wanataka kuchakachua matokeo kwani hawajatangaza mpaka sasa...
Tanzania bwana!!! Hivi hawa CCM wanafikiri nchi hii ni yao peke yao??
Nashangaa kwanini bado hawajatangaza jimbo la nyamagana kwani iliishaeleweka tangia jana usiku kwamba Masha kapigwa chini na taarifa zilifuata baadae asubuhi kwamba Masha kapata BP na amelazwa Bugando. Watoe hayo matokeo wasifanye usanii!!!
Tiba
watanzania si mabwege tenaKuna wenzetu wameshachangia kwamba JK tayari yuko Mwanza.
Taarifa zilizopo ni kweli yupo hapa na ameshaonyeshwa matokeo yote na jinsi Masha alivyoanguka Nyamagana na jinsi Anthony Diallo alivyoanguka Ilemela.
JK hakubali dhana ya kupoteza majimbo yote mawili hapo Mwanza mjini. Hivyo ameamua kushinikiza aheri lipotee jimbo moja.
Taarifa ambazo zimeshaenea kwa kila mmoja hapa Mwanza ni kwamba anamshinikiza mkurugenzi wa uchaguzi amtangaze Masha kama mshindi na Diallo atajijua.
Kaeni mkao wa kulielewa na kulifanyia kazi hilo.