Elections 2010 JK ndani ya Mwanza kuokoa jahazi la Masha

Hivi wananchi wa hapo Mwanza si nendeni alipo huyo JK na mumwambie asijaribu kubadili maamuzi yenu hata kidogo na ndio maana huwa tunapiga kura kuchagua tunaowataka, kama anampenda Masha si ampe Ubunge wa kumteua...
 
Ni kanuni ipi ya uchaguzi inayoruhusu mgombea mmoja wa urais kufuatilia matokeo ya wabunge kwa njia hii!!! ikiwa mgombea huyo alikuwa rais katika awamu iliyopita ya uchaguzi????
 
Amekwisha, maana wanachokitaka sasa ni kuleta fujo tu na umwgaji damu!!

Kufanya hivyo, trust me kutafanya wananyamagana kuingia mitaani!!!
 
WATU IMECHOKA BANA
 
Hawawezi kupoteza kwani lao.? waliowapa ndo wamewanyang'anya kelele za nini...?
Jk usi-test hasira za Wa-Tanzania..
 
Sasa jamani tushikamane,twendeni tukfie palepale ofisini mpaka kielewekeeee

mapinduziiii daimaaa
 
:bowl::doh::bowl::doh:Kwa kweli hata mimi naona hapa watu wameanza kuleta porojo...............!!!! :A S angry::A S angry::A S angry:Watu tunaamini JF ina mambo ya ukweli sasa kumbe watu wameanza kuwa siyo makini tena aaahaaaaghhhhhhhhh!!!:bowl::doh::bowl::doh::bowl::doh::nono::nono::nono::nono::nono:
 
ebwana hapa ndio tuna ona jinsi JK anavyo takaku anzisha vita hebu jamani fuatilieni yanayo endelea Sumbawanga nasikia Matokeo ya Raisi tayari ila Ubunge eti wata tangaza Saa sita usiku
 
Nafunga Novena kwa ajili ya Huyu Kikwete ndo hapo anendelea kugundua kweli IQW yake ni ndogo sana
 
Badala ya kusubiri matokeo ya kwake yuko busy kuhangahika na matokeo ya watu wengi
 
sijamuona mkwere

ila watu haoa wanasema kuwa jk ameshinikiza jimbo moja liende lingine libak

ndo hapo wanaadjust

wakat huo huo monica mbega yuko hoi kule iringa hosp
 
Ni kanuni ipi ya uchaguzi inayoruhusu mgombea mmoja wa urais kufuatilia matokeo ya wabunge kwa njia hii!!! ikiwa mgombea huyo alikuwa rais katika awamu iliyopita ya uchaguzi????

Sasa huu uchokozi, huyu Kikwete hajashiba jasho letu bado anataka damu yetu, safari hii atainywa tupo tayari kwa uhuru, sio watu wachache wafaidi matunda ya uhuru peke yao. KIKWETE NA WENZAKO SOMENI NYAKATI, THE HED INAWANUKIA.
 
Back
Top Bottom