Elections 2010 JK ndani ya Mwanza kuokoa jahazi la Masha

JK hana mchango kwenye chaguzi hiiapaswa kusubiri matokeo............tu hakuna mwanya wa kuchakachua na wananchi Mwanza nimewaona kwenye Star TV wakiandamana na kusema wamechoka na ufisadi........JK yeye apumzike vinginevyo naye atelekea ICU hivi punde..............
 
tutabanana,waache masihala
wanataka nini hasa?si wakubali matokeo tu?

jamani washashi na wasukuma hawataki masihala ati!!
 
Hiyo ni kinyume cha Tume ya Uchaguzi hakuna kampeni tena baada ya kupiga kura - au ameenda kuahidi nini?
 
masha ajiandae tu rudi marekani ila b4 that atuhakikishie hana madeni yoyote kwa wananchi

huyu jk yawezekana ashahakikishiwa ushindi na necss anaenda mikoani okoa watoto wake watakaomsaidia ktk baraza lake la kifisadi,jamani chadema kuweni machoo yaani dakika moja ni kubwa kwa wna ccm fanya ujambazi wao
 
Hee baraaaa!!!! Sasa saa hii amechelewa, alipaswa kumuinua wakati wa kampeni!!
 
Hii haijakaa vizuri kabisa, yaani president kabisa ameamua kuja mwenyewe!:A S angry::A S angry::A S angry:Jk :nono::nono::nono::nono:
 
Hata akija mwanza wananchi wa mwanza tumeshaamua kumuadhibu pamoja na mafiga yake yote,na kama wakichakachua watawajibishwa kwa maafa yatakayotokea baadae maana taarifa za vituo vyote tunazo kama nyamagana hawana hata kata 1
 
Mwanza wamegoma kutoa matokeo wanasingizia eti network iko slow eti wanataka ku attach karatasi za matokeo kwa tume ya uchaguzi
rakini nawahakikishia network iko very fasta mimi mwenyee natumia internet
 
Back
Top Bottom