JK na ziara zake kwenye Wizara

hakuna lolote wadau, hii ni danganya toto tu, huwez kumtibu kumfundisha mbinu mpya mbwa mzee, alishachelewa, awaache watu wafanye kazi kwa mazoea kama kawaida.. labda ajiuzulu na slaa achukue nchi ndo tutakuwa busy na kaz kwa kuwa tutakuwa tunamsapot rais wetu kipenz ktk ujenzi wa taifa lakin co mkwere
 
Hivi siku hizi kumbe unaweza kukaguwa ufanisi wa mtu kazini kwa siku moja! hapa nadhani tuna zaidi ya tatizo, huyu Mkwere ni janga la Taifa.
 
hatutegemei mabadiliko, kwa kuwa rais ni msanii nafikiri hatafika huko kwenye wizara, anaweza akaishia mlangoni akiona watu wako busy na comp atadhani ndo utendaji kazi wenyewe bila kuangalia wanchokifanya, ataridhika na kuondoka
 
kuwa busy kutoa michango humu JF ni kazi kubwa sana na tena ya kuleta maendeleo kuliko kazi hizo za maofisi ya public service.....!

hayo maendeleo yatakujaje kama hao hao wanaacha kufanyia kazi michango yetu?
Kikubwa waweze kupangilia muda. Wasiishie kutoa michango tu.
 
Jana alikuwa wizara ya fedha then akaenda TRA, alipata kusikiliza kero za wananchi wateja wa huduma za TRA bt cha ajabu hakuzitolea majibu!


majibu ayatoe wapi wakti twamjua anazurura kutafuta tu manzi huyo mkwere, hana lolote, sis watoto wa mjini tuliokuwa tunakesha-ga naye disco twamjua. hizo ndo huwa-ga mbinu zake za kutafutia manzi. Kwere ni Kwere tu bana!!
 
Nimecheka mpaka wenzangu wakaniuliza kulikoni???

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete, leo (21/03/2011) ametembelea wizara ya miundombinu kwa ajili ya kufuatilia utekelezaji wa maagizo aliyotoa kwenye wizara hiyo wakati alipoitembelea (wizara hiyo) hapo January 2006.

Nikajiuliza hii Monitoring ya Jk ya interval ya 5 years, aliipata chuo kikuu gani? Ataweza kurekebisha nini!
Haya akina Jeikey mwenyewe, tujuze maana ninyi ndo wenyewe katika kumpamba JK.

Nawasilisha
:A S clock:
 
Yawezekana alipanga kwenda U.S. Lakini Obama yuko bize na Gaddafi na jk asingependa topic hii kwa sasa
 
Hizo ziara zake hazina malengo. Nia yake ni kutafuta umaarufu. Shekhe mmoja hapa Dar alinifurahisha Ijumaa iliyopita aliponambia "Kikwete amefanikisha alichotaka"
Nikamwuliza unamaana gani
Akajibu Kikwete alikuwa na lengo la kuwa Rais tu. He want to feel the presidency. Mambo ya majukumu, wajibu au nini afanye kama Rais, hayo kwake si muhimu. Ili mradi anaita rais hiyo inatosha. Na mimi nikapigilia mstari kuwa ni kweli. sasa leo wakati wa Taarifa ya TBC ndo nikaprove usemi wa shekhe. Leo ameenda kufuatilia maagizo aliyotoa january 2006!
 
Hata mimi sikuona logic ya ziara hizo za kihuni but just one serious observation; kwanini aende kwenye wizara za "wakali" ambao wako against rafiki zake? Tibaijuka ndio alishinikiza bomoabomoa ya maeneo ya wazi, Magufuli ndio hivyo tena! je alienda kuwaziba mdomo? mi naona lengo la ziara target ilikua ni hizi wizaea mbili tu maana zinagusa interest za rafiki zake! Halafu alikua anawakandia flani ivi....MZUSHI
 
Kama yalivyo maajabu mengine ya Mhesh Rais wetu, ziara zake katika Wizara zimeendelea kuibua kile ninachokiona kama maendelezo ya kituko.

Hivi huyu mwanakwetu huko ofisini kwake hapakaliki? Kila siku kiti kile kinahama hama tu kwenda kwenye venue mpya kuchapa porojo. Na hao watu wazima na akili zao wanalazimishwa kukaa kitako kusikiliza porojo hizo?
 
Haya yamezoeleka toka 2006 na tija hatukuziona zaidi ya madudu.......angetilia mkazo umakini kwenye baraza la mawaziri liwe moja lenye msimamo mmoja na kauli moja inayoelekea kufanya jambo moja zaidi ya ziara zisizo na mantiki

Cha kusikitisha (kwa uzoefu wa ziara zake za 2006) ni kuwa anapotoa mgongo tu kwenye wizara baada ya kumwaga mi-agizo kama ushuzi wa kunde, wenzake huku nyuma wanafanya kazi ya kumng'ong'a....kama natania angalia maagizo yake ya 2006 na vile watu wamefanya kama sio kinyume..........i hope he is just the same person na yule wa 2006 na sitarajii tofauti na maagizo yake
 
kutembelea wizara imefunua mambo ya uzembe mengi na rais alisimama waziwazi akatoa maagizo ya utekelezaji.
 
Back
Top Bottom