This is a seroius allegation, proof pls. baada ya kupata uhakika, tuiweke hadharani
Hakuna mzalendo kama jk. Hakuwahi somesha mwanae nje ya nchi
Hakuna mzalendo kama jk. Hakuwahi somesha mwanae nje ya nchi
Toa ufafanuzi wa kutosha wenye ushahidi, hata hivyo mi sioni ajabu kulingana na watu uliowataja kama waliweza dowans na richmond hata hapo wanaweza but we need the fact of your info...
mgodi ni wa kampuni ya tancan mali ya sinclair, jk ni shareholder katika mgodi huo. kiongozi wa kampuni hiyo kwa hapa tanzania ni mtoto wa mzee kahama anaitwa joseph. ubalozi joseph atakaopewa hivi karibuni ni fadhila za huo mgodi
NG'OMBE vipi tena? mbona unaingia kimugongo mugongo na kiudaku udaku? Leta evidence mazee kama kweli tumeliwa kekundu hapo.Ndugu watanzania naomba mjue viongozi wetu walivyo wezi, jk na aliyekuwa mbunge wa bukombe (2005-2010) wanamiliki mgodi wa dhahabu ndani ya hifadhi ya Taifa ya KIGOSI kinyume na utaratibu. Hakuna kiongozi wa wilaya wala mkoa aliyekemea swala hilo, hata waziri wa maliasili na utalii anayetamba kusafisha wizara hiyo yuko kimya katika suala hilo.Wananchi wa kawaida wakikata kuni tu tatizo, naomba viongozi wa serikari, siasa, kidini, wanajf na wananchi wote tulisemee suala hili ili waondoke katika hifadhi hii kwa amani kabla nguvu ya umma haijawatoa kwa aibu.
Mkuu ulitaka hilo suala lije lini? kila kitu kina wakati wake, hata kifo husubiri siku yake!... swali langu ni kuwa kwanini shutuma hizi zinakuja leo?.
Hakuna mzalendo kama jk. Hakuwahi somesha mwanae nje ya nchi
Hakuna mzalendo kama jk. Hakuwahi somesha mwanae nje ya nchi
NG'OMBE vipi tena? mbona unaingia kimugongo mugongo na kiudaku udaku? Leta evidence mazee kama kweli tumeliwa kekundu hapo.
lije mara linapotokea sio mpaka mtu akose ulaji ndio aamue kusigina!Mkuu ulitaka hilo suala lije lini?