JK na EMANUEL LUHAHULA wana mgodi wa dhahabu ndani ya hifadhi ya KIGOSI wilayani BUKOMBE

Please kama una ushahidi kidogo tupe kaka ili tuone jinsi gani ya kufanya

Mbona umeshawekewa kwenye post za hapo juu, najua hujaielewa lakini kwa kusaidia katika kampuni ya Tanzania Royalty Exploration wakati wakiuza mgodi wao kwa kampuni ya Barrick -Buzwagi, JK alikuwa na share 35% pamoja na Salum Msabaha, sasa hakuna mahari iapoelezwa kuwa share hizo zimeuzwa na lazima atakuwa bado anazimiliki na dizo hizo Ridhiwan anatamba nazo.

Code:
Tanzanian Royalty Announces Arrival
of Gravity Plant at Kigosi Gold Project
Tanzanian Royalty Exploration Corporation is pleased to announce that a 20 ton per hour mobile gravity
separation plant has arrived at the Company's Kigosi Gold Project in Tanzania. Initial testing has
confirmed the functionality of the plant and fine tuning will take place over the next month to optimize
performance and metal recoveries.
According to Tanzanian Royalty Senior Vice President, Riaan Van der Westhuizen, "Once the
optimization process has been completed, the bulk testing of surface gravels at Kigosi will begin in
earnest after which we expect to proceed to commercial production."
More production modules have been ordered and these will be added to the existing plant to increase gold
output on a staged basis, he added.
"We also expect to receive two demonstration plants from the manufacturer that will be placed on the
Company's Lunguya property. These will be used as exploratory tools to evaluate surface gravels and the
plants' effectiveness for potential clients of the manufacturer," Van der Westhuizen said.
For additional information regarding developments at Kigosi please visit the "Operational Updates"
section on the Company's website at: www.tanzanianroyalty.com
"Joseph Kahama"
Joseph Kahama
President, Director
 
Kama mtu ana miliki hata nchi nzima peke yake tatizo ni nini kama amevipata kwa njia halali na analipa kodi stahili ? kiongozi sio raia kama wewe ? hana haki ya kumiliki mali anazotaka yeye ambazo amezitengeneza kwa nguvu yake yeye mwenyewe ? tena wengi wamepata mali hizo kabla ya kuwa viongozi wa sehemu mbalimbali nchini haswa katika serikali .
 
Hakika inashangaza kuona kwamba muda wote huu tuna-entertain pumba za ng'ombe huyu. Kilichomo humu ni uvumi na speculation za kipuuzi ambazo hazipaswi kupewa nafasi katika dunia ya leo. Eti mtu anatoa tuhuma then anazama msituni kutafuta namna ya kuhalalisha ukweli wa tuhuma na hata hivyo anashindwa. Hakuna ushahidi wowote zaidi ya ule wa kwamba TANCAN ndiyo wamiliki wa hicho kinachoitwa mgodi na shareholders wa kampuni hiyo, nje na ndani wanafahamika. Sasa leo mtu anakurupuka na michuki yake na kuanza kuingiza jina la Rais bila hata kufanya utafiti, na kuhisi kwamba eti Ridhiwan anakwenda usiku. Hivi ana sababu ya kwenda usiku kweli wakati angeweza kutuma tu watu wakamletea mzigo huo tena akiwa sebuleni kwake Dar?

Watu wajue kwamba humu JF kuna watu werevu kuliko huyu ng'ombe na kwa hiyo anapokuja na uvumi na porojo zake watu wataona kwamba huu ni mzaha ambao haustahili hata kupewa muda wa kusikilizwa. Ifike wakati tuwe responsible kwa matamshi yetu na siyo wewe kuonekana champion kwa kujaza ma-thread ya uongo na kutafuta sifa. Kila aliyechangia humu ameona kwamba thread hii ni kamba kama lilivyo jina lake na kwa kweli huyu ng'ombe ana bahati kwamba thread hii bado inaendelea kuishi!

Wewe mbopo, kuna mawili, either ni rizwani au umetumwa na akina rizwan na akina kahama! Ushahidi wa maelezo uliotolewa unajitosheleza, sijui wewe unataka nini zaidi? Njaa zako zitakufanya uendelee kuwakumbatia mafisadi na kusahau jukumu lako kwa nchi hii na vizazi vyako vinavyokuja! Huna akili tena wewe ni ZUZU kabisa! Nakufananisha na ephraim kibonde!
 
Kama mtu ana miliki hata nchi nzima peke yake tatizo ni nini kama amevipata kwa njia halali na analipa kodi stahili ? kiongozi sio raia kama wewe ? hana haki ya kumiliki mali anazotaka yeye ambazo amezitengeneza kwa nguvu yake yeye mwenyewe ? tena wengi wamepata mali hizo kabla ya kuwa viongozi wa sehemu mbalimbali nchini haswa katika serikali .

Wewe nawe ni wale wale tu! Kama huna la kuonge humu jamvini nenda kalale!
 
uzalendo wa kiongozi ni kutumikia serikali yake kwa uaminifu na wananchi kutumikia serikali yao kwa nguvu zote
 
Back
Top Bottom