JK na EMANUEL LUHAHULA wana mgodi wa dhahabu ndani ya hifadhi ya KIGOSI wilayani BUKOMBE

Mtu anasoma raia mwema alafu anaumba story MY BULLSHIT DETECTOR IS BEEPING
 
Kwa kifupi ni hivi, kampuni ya utafiti ya Tancan mining ambayo ina leseni ya
utafiti katika msitu wa kigosi imeanza kuchimba dhahabu kimya kimya kwa
kushirikiana na mafisadi wazoefu katika nchi hii. Wanaotajwa katika scandal hii
ni Rostam na Ridhiwani kikwete. taarifa zisizo rasmi zinasema Ridhiwan huwa
anaenda kuchukua mzigo (dhahabu) kwa siri kutoka Bukombe nyakati za usiku.

Maswali ya kujiuliza ni je lini serikali imetangaza kuwa Tanzania ina mgodi
mwingine hata kama ni mdogo kiasi gani unazalisha dhahabu? Na ilikuwaje mpaka
Ridhiwan either mara zote au siku moja moja awe ndio mbebaji wa hiyo dhahabu
kuitoa msituni?



This is a seroius allegation, proof pls. baada ya kupata uhakika, tuiweke hadharani
 
Hakuna mzalendo kama jk. Hakuwahi somesha mwanae nje ya nchi

Kutosomesha watoto nje ndo uzalendo???? Kama ni hivyo basi karibu watanganyika wote ni wazalendo...... Mpaka majambazi na vibaka wote ndani ya Tanganyika ni wazalendo!!!....
 
jamani tusishangae sana,hata uvccm imesema na kuwaaaaaambia wazee wa ccm kuwa,sasa ni wakati wao wa kula kwa hiyo waachwe wale,kitendo cha mtoto wa mkuu kuwa na mgodi huku yeye ni uvccm kinadhihilisha usemi wao wa kuwa huu ni mda wao wa kula mpaka wavimbiwe
kama tutabaki kimya nchi italiwa mpaka mwisho
 
Nimesoma habari ya mgodi huu kwenye gazeti la Mwanahalisi. Gazeti linataarifu kuwa wafanyakazi wa mgodi huo walionyesha jeuri isiyo kifani kwa mbunge Kahigi na askari alioandamana nao kutembelea mgodi huo hadi kuligonga gari la mbunge makusudi. Jeuri hii ya wafanyakazi lazima iwe inatokana na kiburi cha kujua kuwa kuna mtu mzito sana nyuma yao. CDM tusaidieni kulifuatilia hili.
 
Inashangaza mpaka sasa thread ya kijinga kama hii haijafutwa. Mtu anaamka tu huko alikotoka anaandika upuuzi kabisa. Nasema ni upuuzi kwa sababu hakuna ushahidi wala maelezo yoyote yenye mantiki. Inakuwa kama anawaletea mada watu wa vijiweni. Si mbaya mtu kuleta habari, ila leta basi na proof. lakini habari tu mara ooh Riziwani anakwenda usiku kubeba mzigo ni maneno ya hovyovhoyo kabisa.
Napita tu wakuu
 
mgodi ni wa kampuni ya tancan mali ya sinclair, jk ni shareholder katika mgodi huo. kiongozi wa kampuni hiyo kwa hapa tanzania ni mtoto wa mzee kahama anaitwa joseph. ubalozi joseph atakaopewa hivi karibuni ni fadhila za huo mgodi
 
mgodi ni wa kampuni ya tancan mali ya sinclair, jk ni shareholder katika mgodi huo. kiongozi wa kampuni hiyo kwa hapa tanzania ni mtoto wa mzee kahama anaitwa joseph. ubalozi joseph atakaopewa hivi karibuni ni fadhila za huo mgodi

Hili nalo neno!!!
 
Ndugu watanzania naomba mjue viongozi wetu walivyo wezi, jk na aliyekuwa mbunge wa bukombe (2005-2010) wanamiliki mgodi wa dhahabu ndani ya hifadhi ya Taifa ya KIGOSI kinyume na utaratibu. Hakuna kiongozi wa wilaya wala mkoa aliyekemea swala hilo, hata waziri wa maliasili na utalii anayetamba kusafisha wizara hiyo yuko kimya katika suala hilo.Wananchi wa kawaida wakikata kuni tu tatizo, naomba viongozi wa serikari, siasa, kidini, wanajf na wananchi wote tulisemee suala hili ili waondoke katika hifadhi hii kwa amani kabla nguvu ya umma haijawatoa kwa aibu.
NG'OMBE vipi tena? mbona unaingia kimugongo mugongo na kiudaku udaku? Leta evidence mazee kama kweli tumeliwa kekundu hapo.
 
ukisha ona mahali jina KAHAMA ujue RA,JK,KARAMAGI,EL wamo!hako ni kamtandao kao bila kumsahau mkono!
 
Hakuna mzalendo kama jk. Hakuwahi somesha mwanae nje ya nchi

Kweli ukizunguka dunian kukusanya wajinga hutawamaliza. Yaani mtu anapimwa uzalendo wake kwa kusomesha familia ndani ya Nchi. Mengine yote huyaoni.
 
Ili kuwahakikishia juu ya hili wiki mbili zilizopita baraza la madiwani la bukombe lilikwenda katika eneo la tukio na mwandishi wa habari wa mwanaharisi kuhoji uhalali wa kampuni hiyo kuwepo katika eneo hilo. Wahusika walisema mmiliki anaishi NETHERLAND na mmoja ni mtanzania ambae waligoma kumtaja. Kampuni inayojihusisha na kazi hiyo inaitwa TANCAN. Mbunge aliyepita amekuwa akionekana mara kwa mara katika eneo hilo, pia Lidhiwani Kikwete amekuwa akifika Bukombe mara kwa mara. lakini hufikia Kahama kwenye hotel ya RIVERMARK na kuigia Bukombe kwa siri. Pia hakuna kiongozi aliyehoji juu ya hili isipokuwa madiwani tu, hii ni wazi watu hawa wanahusika. lakini kwa vile liko mezani kwa mwanahalisi ukweli ujulikana tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom