Jk anatuambia tusisikilize radio za mbao. Sasa hizo za radio zingine na umeme hakuna

Tanzania haikuwahi kupata rais muhuni namna hii.

Angalizo:
Wasisitize wananchi kumkumbusha Hussein Mwinyi ajiuzulu!!
 
Habari kuwa hana uhusiano na Dowans kaona mdogo wake RA nazo ni source yake ni radio mbao ukweli ukipatikana sijui ataficha uso wake au atacheka cheka tu kama kawaida yake na wasimamizi wa kimataifa wa uchaguzi walisema kuna wizi wa kura pia alicheka cheka tu alipokabidhiwa report akijua source yake ni radio mbao.... hey Can't you behave yourself...........!!
 
Habari ambazo hazitoki kwenye radio mbao ni za Takukuru na Tume yake ya Uchaguzi (kirav) na tume zake zisizoisha bila kumsahau Mtoto wa mkulima anayepeleka habari za radio mbao bungeni bila kuuliza wapinzani kama zipo sawa akiwaambia wafanyakazi wa rali kuwa mkataba na wahindi ushavunjwa.
 
Tanzania hakuna serikali ila kuna kampuni ya kuridhishana ya ccm inayoendeshwa na genge la wahuni fulani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom