Kwani kuhudhuria msiba kuna ubaya jamani?
..Jk hawezi ku-miss msiba wa Meles.
..the thing is hata kwenda kwenye msiba inabidi walipa kodi tumlipe.
..Kweli kwa tanzania uraisi ni urahisi.
Tatizo una MWILI NYUMBA na ubongo wa ndege. Think twice usitake kutafuniwa kila kitu kama kweli wewe ni great thinker
Acha matusi kereng'ende wewe,jibu hoja kwanini asiende kwenye msiba siyo unarukia kutukana tu!
Duh!JK sijui anajionaje sasa hivi aisee maana mwezi wa sita walikwenda USA na marehemu Prof. John Atta Mills aliyekuwa rais wa Ghana na Melles Zenawi kwenye ule mradi mkubwa wa kilimo ambapo Ghana,Ethiopia na Tanzania zikachaguliwa kuwa nchi pekee zitakazojumuishwa kwenye mradi huo,ndani ya miezi miwili kabaki peke yake
wenzake wote wawili wamefariki duh!!
Anaweza kuwakilishwa na Makamu wa Rais
John mtembezi!!!!!!!!!!!!!!!kwan sasa ivi yupo kona gani?kwani warsha zimekwisha si ndio kazi ya makamu kufungua
..Jk hawezi ku-miss msiba wa Meles.
..the thing is hata kwenda kwenye msiba inabidi walipa kodi tumlipe.
..Kweli kwa tanzania uraisi ni urahisi.
Kwani kuhudhuria msiba kuna ubaya jamani?
[/QUOTE]Yupo Msonga anakagua shambalake!! kwani ujamuona kwy News za Michuzi?
John mtembezi!!!!!!!!!!!!!!!kwan sasa ivi yupo kona gani?