JK akikosa safari ya Ethiopia nifungieni mwezi mzima!!!

Status
Not open for further replies.

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,269
54,664
Jk hawezi ku-miss msiba wa Meles.The thing is hata kwenda kwenye msiba inabidi walipa kodi tumlipe.

Kweli kwa Tanzania uraisi ni urahisi.
 
Hawezi kukosa kamwe!wee atakosa mambo yoote ya ndani si misiba na mikutano ya nje ya nchi!!
 
..Jk hawezi ku-miss msiba wa Meles.

..the thing is hata kwenda kwenye msiba inabidi walipa kodi tumlipe.

..Kweli kwa tanzania uraisi ni urahisi.

Je ni kwa nini? Uhusiano wa nchi, huyu PM nirafiki yake sana, kuna ubwabwa ambao haupatikani ikulu, nk
 
Tatizo una MWILI NYUMBA na ubongo wa ndege. Think twice usitake kutafuniwa kila kitu kama kweli wewe ni great thinker


Acha matusi kereng'ende wewe,jibu hoja kwanini asiende kwenye msiba siyo unarukia kutukana tu!

Duh!JK sijui anajionaje sasa hivi aisee maana mwezi wa sita walikwenda USA na marehemu Prof. John Atta Mills aliyekuwa rais wa Ghana na Melles Zenawi kwenye ule mradi mkubwa wa kilimo ambapo Ghana,Ethiopia na Tanzania zikachaguliwa kuwa nchi pekee zitakazojumuishwa kwenye mradi huo,ndani ya miezi miwili kabaki peke yake wenzake wote wawili wamefariki duh!!
 
Acha matusi kereng'ende wewe,jibu hoja kwanini asiende kwenye msiba siyo unarukia kutukana tu!

Duh!JK sijui anajionaje sasa hivi aisee maana mwezi wa sita walikwenda USA na marehemu Prof. John Atta Mills aliyekuwa rais wa Ghana na Melles Zenawi kwenye ule mradi mkubwa wa kilimo ambapo Ghana,Ethiopia na Tanzania zikachaguliwa kuwa nchi pekee zitakazojumuishwa kwenye mradi huo,ndani ya miezi miwili kabaki peke yake
wenzake wote wawili wamefariki duh!!

Wewe Nyumba!

Pamoja na chuki zako kwa Dhaifu which is your right hatutaki uchuro kutawaliwa na Mzanzibar even for three months we are not ready! Hasara ya kutawaliwa na Yule Alhaji Mwinyi it's too bad Kama Dhaifu akitutoka while he is in power kwani huyu Taliban Makamu wa Rais Bilali ni bomu kumzidi Mwinyi.
 
Yupo Msonga anakagua shambalake!! kwani ujamuona kwy News za Michuzi?
John mtembezi!!!!!!!!!!!!!!!kwan sasa ivi yupo kona gani?[/QUOTE]
 
Yupo Msonga anakagua shambalake!! anafanya maandalizi ya Safari ya Ethiopia but kunakamuda kidogo mpaka siku sita ndiyo Jamaa anazikwa.
 
Mimi niliandika humu Jana kuhusu safari isiyoepukika ya mpendwa Rais wetu kwenda kuhani msiba,ajabu post yangu ikao dolewa fasta sijajua kwanini?
 
..Jk hawezi ku-miss msiba wa Meles.

..the thing is hata kwenda kwenye msiba inabidi walipa kodi tumlipe.

..Kweli kwa tanzania uraisi ni urahisi.

Nania kufungie ? kwani wewe nani sasa mpaka umzuie Rais kusafiri, sI afadhali hata yule SLAA wenu anaona uchungu kwa vile alitupwa mbali 2010, so anamezea mate. Kwenye katiba mpya itabidi umri wa kugombea mwisho miaka 60 ili akafe na pressure kabisa badala ya wivu na uroho wa madaraka.
 
Kwani kuhudhuria msiba kuna ubaya jamani?

Hata Mkapa akienda sitashangaa, kwani Zenawi ni mtu waliyefanya naye kazi karibu.

I understand there is a concern kuhusu rais kusafiri sana, lakini kuna dynamics za AU, kuna maongezi ya ku forge relationship with the new leader pale, kuna vitu kibao ambavyo huwezi kuvi dismiss tu kwa sababu hujui baadaye vitaweza ku play vipi kwenye national interests.

Mie naweza kusema JK anaweza ku delegate mambo mengi sana, hata huu msiba, lakini akienda napo sitashangaa.
 
Yupo Msonga anakagua shambalake!! kwani ujamuona kwy News za Michuzi?
John mtembezi!!!!!!!!!!!!!!!kwan sasa ivi yupo kona gani?
[/QUOTE]
Mbona mtakonda sana tu, yaani SLAA kawapandkiza wivu, majungu na fitina kiasi kwamba akiwaambia laleni chni awatandike mtatii. Hamtakaa mpate rais anayekubali kupakwa matope kama JK. Tunamsubiri sana kwa hamu huyo mmsai siku moja awe hata Waziri tu aone cha moto kama hatapandisha mori, asifikiri atatuziba midomo. Lazima wanafiki kama akina KUBENEA wa upande wa pili tutaibuka tuone kama hatajinyea.
 
Status
Not open for further replies.
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom