Habari wadau.
Sisi wafanyabiashara tunajitahidi kulipa kodi hata wakati ambao hatuoni faida lakini tunalipa ili nchi isonge!
Lakini ajabu matumizi ya kodi zetu hayaheshimiwi hata kidogo!
Yanga siyo timu ya taifa Bali ni club binafsi inayomilikiwa na wafanyabiashara wanaofaidika na uwekezaji katika soka ambao ni kina gharibu na washirika wenzake kutoka msoga (GSM). Kuitumia kodi vibaya ni kutudharau sana sisi walipa kodi tunaojinyima ili taifa lisonge!
Kutumia pesa vibaya ni kutubebesha mzigo mkubwa zaidi sisi wananchi!
Baadae CAG akipitia shirika la ndege itaonekana linajiendesha kwa hasara.
Ndani ya mwezi mmoja ndege ya shirika inazurura bure tu!
1. Ilisafiri kwenda Dodoma kwenye msiba wa lemutuz
2. Ilisafiri kwenda Mwanza kwa Nimrod
3. Imesafirisha mashabiki kwenda na kurudi Algeria
4. Inakwenda mbeya
Jumla ya gharaza za uendeshaji wa hizo safari ni takribani 250M plus Air allowance 50M. Zaidi ya 300M zinapotea bure bure wakati huo kuna hospitali hazina dawa, madaraja hakuna watu wanasombwa na mafuriko, walimu mishahara duni, n.k
Tatizo la nchi hii siyo kodi bali matumizi mabaya ya kodi. Tunaoumia ni sisi tunaotafta kwenye jua na mvua.