JK akikosa safari ya Ethiopia nifungieni mwezi mzima!!!

Status
Not open for further replies.
JokaKuu, kama umenisoma kwenye thread ya JK, Muhongo & Symbion utapata clue kuwa something went wrong. Si ajabu JK asiende huko mpaka hili liwe settled.
 
Last edited by a moderator:
Wewe Nyumba!

Pamoja na chuki zako kwa Dhaifu which is your right hatutaki uchuro kutawaliwa na Mzanzibar even for three months we are not ready! Hasara ya kutawaliwa na Yule Alhaji Mwinyi it's too bad Kama Dhaifu akitutoka while he is in power kwani huyu Taliban Makamu wa Rais Bilali ni bomu kumzidi Mwinyi.
Mungu anampenda sana JK na ndiyo maana ananyamaza 2 wachonge hadi mwisho, mimi naamini wanasiasa na hasa SLAA walishamweka sir GOD pembeni ndo maana kila siku kumzushia JK, Mungu atawatandika tu hawana lolote, yule ni mtawala aliywekwa na watu kupitia Mungu wao, so choko choko zozote dhidi yake, mwenyezi mungu anazimaliza kwa kuwaadhibu kimya kimya. SLAA hivi sasa aanajaribu kufuni kashfa ya ndoa zake mbili kwa kufuata fuata Rais, subirini litakapofumuka atakiona cha mtema kuni, malipo ni hapa hapa duniani. Aameshau ana deni kwa Mungu la kuasi kanisa na hajatubu.
 
Ha ha ha ha!mkuu be careful on what you wish.Anaweza akaugua ati akahairisha ama kughairisha safari.
 
acha matusi kereng'ende wewe,jibu hoja kwanini asiende kwenye msiba siyo unarukia kutukana tu!duh!jk sijui anajionaje sasa hivi aisee maana mwezi wa sita walikwenda usa na marehemu prof. John atta mills aliyekuwa rais wa ghana na melles zenawi kwenye ule mradi mkubwa wa kilimo ambapo ghana,ethiopia na tanzania zikachaguliwa kuwa nchi pekee zitakazojumuishwa kwenye mradi huo,ndani ya miezi miwili kabaki peke yake wenzake wote wawili wamefariki duh!!
so, who is next?
 
Acha matusi kereng'ende wewe,jibu hoja kwanini asiende kwenye msiba siyo unarukia kutukana tu!

Duh!JK sijui anajionaje sasa hivi aisee maana mwezi wa sita walikwenda USA na marehemu Prof. John Atta Mills aliyekuwa rais wa Ghana na Melles Zenawi kwenye ule mradi mkubwa wa kilimo ambapo Ghana,Ethiopia na Tanzania zikachaguliwa kuwa nchi pekee zitakazojumuishwa kwenye mradi huo,ndani ya miezi miwili kabaki peke yake wenzake wote wawili wamefariki duh!!

Mkuu hapo kwenye red hebu fafanua kidogo
 
Mungu anampenda sana JK na ndiyo maana ananyamaza 2 wachonge hadi mwisho, mimi naamini wanasiasa na hasa SLAA walishamweka sir GOD pembeni ndo maana kila siku kumzushia JK, Mungu atawatandika tu hawana lolote, yule ni mtawala aliywekwa na watu kupitia Mungu wao, so choko choko zozote dhidi yake, mwenyezi mungu anazimaliza kwa kuwaadhibu kimya kimya. SLAA hivi sasa aanajaribu kufuni kashfa ya ndoa zake mbili kwa kufuata fuata Rais, subirini litakapofumuka atakiona cha mtema kuni, malipo ni hapa hapa duniani. Aameshau ana deni kwa Mungu la kuasi kanisa na hajatubu.
Hapo kwenye red ulikuwa na haraka gani?Halafu huna aibu kabisa hapo kwenye blue
 
JK asipoenda kwenye MAZISHI ETHIOPIA mimi nitajisaidia haja KUBWA SAMORA AVENUE mchana kweupeeeeeeeeee.
 
Mungu anampenda sana JK na ndiyo maana ananyamaza 2 wachonge hadi mwisho, mimi naamini wanasiasa na hasa SLAA walishamweka sir GOD pembeni ndo maana kila siku kumzushia JK, Mungu atawatandika tu hawana lolote, yule ni mtawala aliywekwa na watu kupitia Mungu wao, so choko choko zozote dhidi yake, mwenyezi mungu anazimaliza kwa kuwaadhibu kimya kimya. SLAA hivi sasa aanajaribu kufuni kashfa ya ndoa zake mbili kwa kufuata fuata Rais, subirini litakapofumuka atakiona cha mtema kuni, malipo ni hapa hapa duniani. Aameshau ana deni kwa Mungu la kuasi kanisa na hajatubu.[/QUOTE

aiseee baba yangu kweli unamatope machoni ndio maana ujui hata kuandika nadhani hata kusoma haujui

njoo rombo 2lime maana unapoteza muda mjini
 
Nimesoma habari ya mtoa mada, baadhi ya maoni, majibizano, n.k., nimeendelea kuamini kuwa baadhi yetu tunatafuna viroba kabla ya kuandika.

Mfano, ukianza na mtoa mada: Hajaeleza anataka afungiwe nini; akaunti? mlango? maandazi? viatu? kuni?
 
Acha matusi kereng'ende wewe,jibu hoja kwanini asiende kwenye msiba siyo unarukia kutukana tu!

Duh!JK sijui anajionaje sasa hivi aisee maana mwezi wa sita walikwenda USA na marehemu Prof. John Atta Mills aliyekuwa rais wa Ghana na Melles Zenawi kwenye ule mradi mkubwa wa kilimo ambapo Ghana,Ethiopia na Tanzania zikachaguliwa kuwa nchi pekee zitakazojumuishwa kwenye mradi huo,ndani ya miezi miwili kabaki peke yake wenzake wote wawili wamefariki duh!!

Jiulize who is next ......?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom