Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,429
Andika kiswahili. ''Kuchoka'' maana yake nini?
View attachment 55511
Nafikiri yalikuwa ni matembezi ya jioni. Ajifunze kwa wenzake wanaoongozwa na instructors (Bi Rice pichani). Sasa jamaa hata akimaliza hizo Km3 anakuwa wabariiidi hata tone la jasho hana.
Ningetamani niione Picha ya Kibaki akiwa anafanya mazoezi, kama anafanya at all